Sophia Mjema: Rais Samia ni hadi 2035

Sophia Mjema: Rais Samia ni hadi 2035

Mkapa alizaliwa November 12, 1938 na akastaafu mwaka 2005 akiwa na miaka 66

Kikwete alizaliwa October 7, 1950 na akastaafu mwaka 2015 akiwa na miaka 65

Magufuli alizaliwa October 29, 1959 na kama asingefariki angestaafu mwaka 2025 akiwa na miaka 65

Hivyo hata Samia aliyezaliwa January 27, 1960 angestaafu mwaka 2025 akiwa na miaka 65...zaidi ya hapo atakuwa kikongwe - atapigwa hela na wahuni mpaka basi, atachomekewa vitu kama majina ya teuzi, mikataba, nakadhalika; leo tu akiwa na nguvu kiasi mambo yanamlemea sembuse mwaka 2030 au 2035
Ngoja tuone hii !!
 
Habari ziwafikie mapeeemaaa kuwa mtaendelea na makasiliko hadi mkome.

Kwa mujibu wa Sophy Mjema ni kuwa mama Samia ni hadi 2035.

Ndani ya chama wewe kama humtaki basi andaa panadol za kutosha.

Hiyo ni kwa mijibu wa gazeti la Nipashe likimnukuu boss Mjema.
View attachment 2777273


Kwa hiyo yeye ndo kura yake inaamua?
 
Hiyo ni kwa mujibu wa wana ccm wenyewe
Ikiwa wana mkataba na Mungu basi sawa.

Halafu katika siasa si kila makofi ni ya kukushangilia, mingine huwa ni kung'ong'wa. Si ajabu kwenye hadhara anasema Samia mpaka 2035 lakini wakiwa mbali ya upeo wa halaiki wanapiga madongo.

Hata Samia mwenyewe anajua kuna hati hati za kutoboa 2025 achilia mbali 2035.
 
Habari ziwafikie mapeeemaaa kuwa mtaendelea na makasiliko hadi mkome.

Kwa mujibu wa Sophy Mjema ni kuwa mama Samia ni hadi 2035.

Ndani ya chama wewe kama humtaki basi andaa panadol za kutosha.

Hiyo ni kwa mijibu wa gazeti la Nipashe likimnukuu boss Mjema.
View attachment 2777273
Naunga mkono hoja,hapa alikuwa anamalizia nafasi ya Mwendazake tunaenda na mama Hadi 2035 🔥🔥🔥
 
Back
Top Bottom