Sonona: Ugonjwa wa Umasikini wa Imani

Sonona: Ugonjwa wa Umasikini wa Imani

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
911
Reaction score
792
Sonona ni ugonjwa wa umasikini—kukosa mtu unayemwamini, mtu mmoja mwelewa, anayeweza kuelewa unachopitia, umtwishe shida zako, bila hofu ya kudhalilika, kuaibika au kufedheheka.

Hatutibu sonona kwa vidonge na sindano zinazotusahalisha umasikini wetu huo bali kumsaidia mtu kurejesha imani kwa watu, kuona anaweza kusikika tena, kuonekana tena, kueleweka tena, kusitiriwa tena na kutendewa staha tena.
 
Mada yako potovu, kama unadhani sonona inawapata masikini tu, hujui sonona ni nini
 
Hata mama yenu anasonona

Anatumia tabiri teuzi yote kurejesha imani yake kwa watu lakini wapi
 
Back
Top Bottom