Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 903
- 789
Sonona ni ugonjwa wa umasikini—kukosa mtu unayemwamini, mtu mmoja mwelewa, anayeweza kuelewa unachopitia, umtwishe shida zako, bila hofu ya kudhalilika, kuaibika au kufedheheka.
Hatutibu sonona kwa vidonge na sindano zinazotusahalisha umasikini wetu huo bali kumsaidia mtu kurejesha imani kwa watu, kuona anaweza kusikika tena, kuonekana tena, kueleweka tena, kusitiriwa tena na kutendewa staha tena.