kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 12,310
- 12,604
Mitaala ya shule za wazungu tangu shule za awali hadi vyuoni Kuna somo linalowafundisha wanafunzi namna ya kufikiria ( critical thinking and problems solving).
Mfano, wazungu wanakwambia there is no free lunch (hakuna chakula Cha bure), lakini watanzania na waafrika wanashindwa kuuelewa huo msemo wa wazungu badala yake wanakwenda kuomba misaada wasaidiwe na wazungu haohao. Badala yake wanashindwa kuona na kukwepa mitego inayoambatana na misaada hiyo.
Wananchi wanashindwa kumtoa madarakani kiongozi au chama kisichowasaidia, kiongozi anaiba mali nyingi huku akifahamu kuwa Tanzania itabaki yeye atakufa. Wananchi watamwimbia hiyena hiyenda kiongozi mwizi na mbadhilifu wa malibzao.
Uwezo wetu wa kufikiria Ni mdogo Sana, ndio maana watu wanawashangaa watu wenye critical thinking kubwa Kama Nyerere, JPM, Mkapa, Lissu, Mboe, na wengine wengi. Wanaona Kama wanakosea kumbe ndio wako sahihi.
Ukosefu wa critical thinking unasababisha watu kutishiwa na kuogopa hata kwa haki zao, kuhongwa fulana tu na hela kidogo wakati wa chaguzi.
Mtu anayefikiria critically hawezi kukubali bunge liwe la chama kimoja, mtu anayefikiria critically hawezi kuhongwa ili achague chama fulani maana anafahamu kwanini anahongwa na anayemhonga atarudishaje hela yake.
Mtu anayefikiria critically atachukua hela aliyopewa kumalizia shida yake lakini kura hampi mtoa rushwa.