Kwanini shuleni hakuna somo la madini na uchimbaji wake?

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,658
20,887
Habari wandugu,

Wenzetu wazungu wanujuzi sana wa madini, wanafundishwa shuleni. Mzungu nu rahisi kutambua Ruby, dhahabu au almasi akiiona.

Lakini mbongo hata anafika form six hawezi tambua madini aina yoyote. Kama elimu inamuwezesha mtu kupambana na mazingira yake, na mazingira yetu yamejaa madini, kwa nini hatufundishi somo la madini, upatikanaji na uchimbaji wake shuleni?

Elimu ambayo itamuwezesha mhitimu kujijiri kwenye uchimbaji akimaliza.
 
Hao weupe, wanapambana juu chini, ili sisi tusijue vitu vya muhimu na vyenye maana. Wanahakikisha tunapata historia ya sayansi na sio sayansi halisia.
 
Kifupi Ni kwamba si kwamba Hamna masomo hayo, laa hashaa!

Kama ulikuwa msomaji mzuri wa masomo ya sayansi, utakuja kugundua kwamba madini tumeyasoma vzr TU mpaka uchimbwaji wake!

O'level, Chemistry form3 Kuna topic inaitwa extraction of Metals (Sijui kwa Sasa)

Tulijifunza aina nyng za metals na uchimbwaji wake, mfano Iron, copper nk

Vilevile kulikua na mafundisho ya carbon (upande wa non-metal) na aina zake! Haya yote Ni sehemu ya madini!

A'level chemistry ndyo usiseme kabisaaah!

Sema hawajayachulia seriously, ila yapo vzr tu, ni ufuatiliaji wako TU!
 
Lugha ya ufundishaji na waalimu vinachangia sana haya mambo. Ila sasa kuna muda ukiangalia vizuri unagundua elimu yetu ya msingi tu kama ikifundishwa serious ina.

Uwezo wakumfanya kijana akajitegemea kabisa maajabu elimu ya msingi lugha ni kiswahili ila wanafunzi hawaelewi sio masomo bali hata wanafundishwa ili nini.
 
Habari wandugu,

Wenzetu wazungu wanujuzi sana wa madini, wanafundishwa shuleni. Mzungu nu rahisi kutambua Ruby, dhahabu au almasi akiiona.

Lakini mbongo hata anafika form six hawezi tambua madini aina yoyote. Kama elimu inamuwezesha mtu kupambana na mazingira yake, na mazingira yetu yamejaa madini, kwa nini hatufundishi somo la madini, upatikanaji na uchimbaji wake shuleni?

Elimu ambayo itamuwezesha mhitimu kujijiri kwenye uchimbaji akimaliza.
Masomo yapo ila kama ulikimbilia HGL utaishia kulaumu. Extraction of metals. Ukija level ya degree kuna mining engineering na nyingine nyingi
 
Masomo yapo ila kama ulikimbilia HGL utaishia kulaumu. Extraction of metals. Ukija level ya degree kuna mining engineering na nyingine nyingi
Hata form two angetulia angejua methods of extracting minerals, angejua metallic minerals na non metallic minerals n.k
 
Habari wandugu,

Wenzetu wazungu wanujuzi sana wa madini, wanafundishwa shuleni. Mzungu nu rahisi kutambua Ruby, dhahabu au almasi akiiona.

Lakini mbongo hata anafika form six hawezi tambua madini aina yoyote. Kama elimu inamuwezesha mtu kupambana na mazingira yake, na mazingira yetu yamejaa madini, kwa nini hatufundishi somo la madini, upatikanaji na uchimbaji wake shuleni?

Elimu ambayo itamuwezesha mhitimu kujijiri kwenye uchimbaji akimaliza.
Somo hilo linafundishwa chuoni, kuanzia certificate hadi degree
 
Somo hilo linafundishwa chuoni, kuanzia certificate hadi degree
Nu kweli, ila kwa wenzetu mtu akimaliza sekondari anakuwa anaweza kutambua aina za madini na mbinu za uchimbaji. Unaweza mchukua ukampeleka field na akaonyesha tofauti na asiyeenda shule.
 
Hukussoma Geography wewe ndugu?
Kuna topic ya mining kwenye geography Kuna topic au subtopic ya minerals kwenye chemistry.
Kwenye geography unafundishwa Aina ya madini na yanakopatikana nchini, barani Africa na ulimwenguni.
We jamaa itakuwa ulikuwa unakimbia vipindi maana sio kwa ujuha huo.
 
Back
Top Bottom