Foum Jnr
JF-Expert Member
- Jul 27, 2012
- 272
- 132
Huyu air head Nape asikuumizeni kichwa, kuna politicians wenye integrity na kuna air head kama yeye wasio na upeo wa kufikiri, kutambua wala kuona mbele zaidi ya kivuli chake mwenywe. politics kwao ni sawa na ugomvi wa wake wenza au kasheshe za majirani zilizojaa mipasho na bataani. Na awaulize wanasiasa wote Tanzania, kutokana na mfumo haramu wa chama kimoja ni nani baada ya mabadiliko ya multiparty system aliejali kuwarejeshea kadi yao? Hivi hii kazi ya uenezi ni kubishana upuuzi wa kadi au kueleza policy za chama na kuwavuta wananchi?
Huyu ndie aliekwenda Zanzibar katika mkutano wa hadhara akawaamrisha vijana wa CCM kuwashughulikia wapinzani wao kabla ya kuwafikisha katika mikono ya sheria, kama angelikuwa katika nchi zilizo na uhuru wa mahakama na sheria angelikwisha poteza hadhi hata ya kuongoza familia yake mwenyewe. Au kuwashurutisha civil servants kuattend mikutano yao ya kisiasa kwanza yeye ni kama nani katika serikali ya wananchi wote hata awe na kauli ya kuwashurutisha civil servants kuingilia mahusiano ya kisiasa? the man has shown stupidity on epic propotion, Nape Nauye -air head at his best.