Somo la Katiba ya CCM kwa Nape & Co

- Huwezi kumtumikia Mungu huku umemficha Shetani nyumbani uvunguni mwa kitanda chako, unatakiwa kumchukia shetiani kwa akili zako zote na uwezo wako wote, Slaa anapopewa kadi za wasioitaka CCM na huku yeye binafsi anajua anayo vipi akili au nafsi yake haimsuti?

- I mean kama Slaa ana kadi ya CCM airudshe now, kuendelea kuwa nayo ni dalili kwamba ahana uhakika na anachokifanya huko kwenu, hawezi kutumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja!! mbona ni simple common sense tu!

Es!

Usibishe kwakutumia fikra zako mkuu, bisha kikatiba!

Lete vifungu vya katiba vinavyosema kuwa uanachama wa mwanaccm utakoma lini?

Kuwa na kati mbili sioo tatizo katiba ya ccm haizuii ndiomaana karume na Shein wanazo mbili, ya ccm na ASP.

Jambo muhimu hazitakiwi kuwa kadi hai, sasa mtueleze kadi ya Slaa huko kwenu mnatambua kama kadi hai?

Fungukeni wanaccm jadilini maendeleo mliyomletea mtanzania sio uzushi
 
- Hoja ni batili cause mimi sio Malecella, sorry! ha! ha! ha! halafu next time kabla hujarusha majina ya watu wasiokuwepo kwa nini suitaje lako kwanza? ha! ha! ha! si nilisema hoja zinzwapa taabu sana bila matusi na kurusha rusha majina ya watu hamuwezi kujadili anything chellenging, mkishakuwa challenged mnaanza kurusha rusha majina ya watu vipi bro simamia hoja hapa! ha! ha1

- Hoja yangu ni kwamba huwezi kumtumikia shetani na Mungu kwa wakati mmoja, so Slaa kama anayo kadi kama dalili zote zinavyoonyesha arudishe kadi, wala hakuhitaji mjdala on that ni waste of time!!

Es!

Mtanzania wa kawaida na mwanaccm atanufaika na nini kadi hiyo ikirudi?
 
- Huwezi kumtumikia Mungu huku umemficha Shetani nyumbani uvunguni mwa kitanda chako, unatakiwa kumchukia shetiani kwa akili zako zote na uwezo wako wote, Slaa anapopewa kadi za wasioitaka CCM na huku yeye binafsi anajua anayo vipi akili au nafsi yake haimsuti?

- I mean kama Slaa ana kadi ya CCM airudshe now, kuendelea kuwa nayo ni dalili kwamba ahana uhakika na anachokifanya huko kwenu, hawezi kutumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja!! mbona ni simple common sense tu!

Es!

Unadhani ukitumia ID hii kongwe hatutajua kwamba wewe ndio yule yule wa Kwiro Sekondari?
 
- Huwezi kumtumikia Mungu huku umemficha Shetani nyumbani uvunguni mwa kitanda chako, unatakiwa kumchukia shetiani kwa akili zako zote na uwezo wako wote, Slaa anapopewa kadi za wasioitaka CCM na huku yeye binafsi anajua anayo vipi akili au nafsi yake haimsuti?

- I mean kama Slaa ana kadi ya CCM airudshe now, kuendelea kuwa nayo ni dalili kwamba ahana uhakika na anachokifanya huko kwenu, hawezi kutumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja!! mbona ni simple common sense tu!

Es!
Wengi wetu wa umri mkubwa kidogo tunazo hizi kadi za CCM. Lakini sio wanachama HAI kama unaifahamu katiba ya CCM. Hata kama nitajiunga CHADEMA sitawarudishia CCM kadi hii. Niliinunua kwa pesa yangu. Ni sehemu ya historia ya maisha yangu.

Hata nikibadili DINI au dhehebu sitarudisha cheti changu cha ubatizo cha dini niliyoanza nayo. Kumbukumbu hizi sio za kutupa hovyo kwa mtu makini.
 
Hahaaaha hawa wanasikitisha sana, kwakuwa hata katiba ya chama chao tu hawajui,

Huu wote ni upofu wa ulevi wa madaraka, wanahisi watanzani ni wajinga kiasi hicho!
 
Inahusu WANACHAMA NA VIONGOZI.

Uanachama utakwisha kwa:
(a) Kufariki.
(b) Kujiuzulu mwenyewe.
(c) Kuachishwa kwa mujibu wa Katiba.
(d) Kufukuzwa kwa mujibu wa Katiba.
(e) Kutotimiza masharti ya uanachama.
(f) Kujiunga na Chama kingine chochote cha siasa.
(2) Mwanachama ambaye uanachama wake unakwisha kwa sababu yoyote ile hatarudishiwa kiingilio alichokitoa, ada aliyotoa wala michango yoyote aliyoitoa.

Kama Nape Nnauye angekuwa makini kidogo angekuja na kauli kwamba CCM atuko makini, atukufuata KATIBA ya chama yaani (c) <hapo juu> kutekeleza <(D) hapo juu> kumfukuza uachama Dr Slaa maana ni mwana chama HAI na amekuwa akilipia uanachama wake (hapo tunaitaji ushahidi wa kutosha maana ada za ccm hakuna anayejua zinatoka wapi) lakini ujinga ni mkubwa zaidi kwa Nape pale anaposubiria Dr Slaa arudishe kazi ya CCM ili asiwe mwana CCM wakati kanuni (F) ya chama chake imeshamkana Dr Slaa kama mwanachama wana CCM kwa kujiunga na chama kingine.

Mwisho kabisa ni udhaifu kumsakama mwanasiasa kisa alitaja mafisadi PALE KIDONGO CHEKUNDU, kama ccm zinawatosha watumie hiyo fusra waliyopewa na Dr Slaa kuwataja mafisadi kwa kuwaondoa/kuchukua hatua,
Kumpiga vita vya kisiasa ni sawa na kusema kwamba tuacheni na mafisadi wetu sisi CCM ndivyo tulivyo,
Labda nitumi ujumbe kwa Nape ....... wapiga kura wengi kwa sasa ni vijana, tunaelewa nani ni nani, kwa sasa CCM bado ajafanya HAKI yoyote kwa kukumbatia wezi na kusakama wasio na hatia
 
waacheni wajifie tu hawana jipya na mwisho wao ndio huko kuropoka na kuongea ungo aka ahadi hewa
 
Kama Nape Nnauye angekuwa makini kidogo angekuja na kauli kwamba
CCM atuko makini, atukufuata KATIBA ya chama yaani (c) <hapo juu> kutekeleza <(D) hapo juu> kumfukuza uachama Dr Slaa maana ni mwana chama HAI na amekuwa akilipia uanachama wake (hapo tunaitaji ushahidi wa kutosha maana ada za ccm hakuna anayejua zinatoka wapi)
lakini ujinga ni mkubwa zaidi kwa Nape pale anaposubiria Dr Slaa arudishe kazi ya CCM ili asiwe mwana CCM wakati kanuni (F) ya chama chake imeshamkana Dr Slaa kama mwanachama wana CCM kwa kujiunga na chama kingine.
Mwisho kabisa ni udhaifu kumsakama mwanasiasa kisa alitaja mafisadi PALE KIDONGO CHEKUNDU, kama ccm zinawatosha watumie hiyo fusra waliyopewa na Dr Slaa kuwataja mafisadi kwa kuwaondoa/kuchukua hatua,
Kumpiga vita vya kisiasa ni sawa na kusema kwamba tuacheni na mafisadi wetu sisi CCM ndivyo tulivyo,
Labda nitumi ujumbe kwa Nape ....... wapiga kura wengi kwa sasa ni vijana, tunaelewa nani ni nani, kwa sasa CCM bado ajafanya HAKI yoyote kwa kukumbatia wezi na kusakama wasio na hatia

Umenena vyema kabisa mkuu, lakini kijana Nape yupo gizani tu, na kama kweli anaelewa basi hajui athari za ayatendayo!
 
Nape ni mropokaji anaetafuta kusikika tu,hoja yake haina mantiki!CcM imebaki majungu,kupakaza kashfa n.k Imeshakufa inasubiri kuzikwa.
 
- Inaonekana Slaa anayo kadi ya CCM, ustaarbu ni airudishe tu kwa CCM, wala hahitaji mabishano, anatakiwa kujikia vibaya moyoni anapopokea kadi za wananchi wanaporudisha kadi zao za CCM kwake na huku yeye anayo, ustaarbu ni kama anayo airudishe hizo katiba zako hapa hazina hoja hoja ni MORAL AUTHORITY,

- KAMA KWELI SLAA ANAYO KADI YA CCM, DAWA NI AIRUDISHE, OTHERWISE ANAKUWA HANA MORAL AUTHORITY YA KUONGOZA NA NDIO MAANA MNASHINDWA SANA KILA UCHAGUZI MNASHINDWA KUMBE MAMBO YENYEWE NDIO HAYA, HA! HA! YAANI SO DESPARATE WA ISHUS MPAKA MKO RADHI KUTUMIA KATIBA YA CCM KTETEA UOZO WA KIONGOZI WA CHADEMA, HA! HA1 HOW LOW CAN YOU GUYS GO KATIKA KUTAFUTA MADARAKA, I MEAN SASA MKO RADHI KUTUMI KATIBA YA CCM KUTETEA UOZO WA SLAA? HA! HA! HA! HA!

ES!
 
Kama Nape Nnauye angekuwa makini kidogo angekuja na kauli kwamba
CCM atuko makini, atukufuata KATIBA ya chama yaani (c) <hapo juu> kutekeleza <(D) hapo juu> kumfukuza uachama Dr Slaa maana ni mwana chama HAI na amekuwa akilipia uanachama wake (hapo tunaitaji ushahidi wa kutosha maana ada za ccm hakuna anayejua zinatoka wapi)
lakini ujinga ni mkubwa zaidi kwa Nape pale anaposubiria Dr Slaa arudishe kazi ya CCM ili asiwe mwana CCM wakati kanuni (F) ya chama chake imeshamkana Dr Slaa kama mwanachama wana CCM kwa kujiunga na chama kingine.
Mwisho kabisa ni udhaifu kumsakama mwanasiasa kisa alitaja mafisadi PALE KIDONGO CHEKUNDU, kama ccm zinawatosha watumie hiyo fusra waliyopewa na Dr Slaa kuwataja mafisadi kwa kuwaondoa/kuchukua hatua,
Kumpiga vita vya kisiasa ni sawa na kusema kwamba tuacheni na mafisadi wetu sisi CCM ndivyo tulivyo,
Labda nitumi ujumbe kwa Nape ....... wapiga kura wengi kwa sasa ni vijana, tunaelewa nani ni nani, kwa sasa CCM bado ajafanya HAKI yoyote kwa kukumbatia wezi na kusakama wasio na hatia

- HAPA ANAYETAKIWA KUWA MAKINI ni Slaa, ajifunze maana siasa za Taifa inaonekana hazijui huwezi kuwa Kiuongozi wa Taifa Chadema ukawa na kadi ya CCM, ukategemea utaachiw kwa vile wewe ni Slaaa, yaani mnasikitisha sana na hizi argument so cheap!!

Es!
 
- Inaonekana Slaa anayo kadi ya CCM, ustaarbu ni airudishe tu kwa CCM, wala hahitaji mabishano, anatakiwa kujikia vibaya moyoni anapopokea kadi za wananchi wanaporudisha kadi zao za CCM kwake na huku yeye anayo, ustaarbu ni kama anayo airudishe hizo katiba zako hapa hazina hoja hoja ni MORAL AUTHORITY,

- KAMA KWELI SLAA ANAYO KADI YA CCM, DAWA NI AIRUDISHE, OTHERWISE ANAKUWA HANA MORAL AUTHORITY YA KUONGOZA NA NDIO MAANA MNASHINDWA SANA KILA UCHAGUZI MNASHINDWA KUMBE MAMBO YENYEWE NDIO HAYA, HA! HA! YAANI SO DESPARATE WA ISHUS MPAKA MKO RADHI KUTUMIA KATIBA YA CCM KTETEA UOZO WA KIONGOZI WA CHADEMA, HA! HA1 HOW LOW CAN YOU GUYS GO KATIKA KUTAFUTA MADARAKA, I MEAN SASA MKO RADHI KUTUMI KATIBA YA CCM KUTETEA UOZO WA SLAA? HA! HA! HA! HA!

- UNAFIKIRI UKIITA MAJINA HAYO INANIPA TAABU KUTWANGA MAWE! WEWE HUNIJUI VIZURI KUMBE! HA! HA! HA! HA! HA! HAYA BADILIHSA TENA SEMA FMES NI MKE WA WILLIAM MALECELA UONE KAMA MAWE YATABADILIKA! HA! HA! HA1

ES!

Le Mutuz

Mwambie Kinana arudishe passport ya somalia
 
Mtaisoma sana katiba ya CCM ili kupata jibu la kwa nini Dr Slaa kanaki na kadi ya CCM , lakini hamtapata jibu.
Ganzi la wasi wasi na kumuamini Dr Slaa limeshaingia na mnaonekana kutapa tapa sana kumshambulia Nape, wakti Dr Slaa mwenyewe amekubali kukutwa na kuilipia kadi yake ya uanachama ndani ya chama tawala.

Jiulizeni ni wangapi zaidi walio ndani ya CCM kama Dr Slaa na wana kadi za CCM.

Na mtu mwenye akili zake atajiuliza kama mtu mwenye kadi kama Dr Slaa katumwa na Nape au vipi.

Ni vema wana CDM mkaelewa kuwa kikulacho ki nguoni mwenu.
 
- ha! ha! ha! ha! ha! ha! hapa sio mahali pake hapa hoja ni Slaa arudishe kadi ya CCM, kwa kiongozi mkubwa wa Chadema kama yeye kuwa na kadi ya CCM inaondoa Moral Authority kwa wananchama wake ni ustaarabu infact politically ni symbolism tu wala haina tabu akirudisha kadi ya CCM!!

Es
 
Mtaisoma sana katiba ya CCM ili kupata jibu la kwa nini Dr Slaa kanaki na kadi ya CCM , lakini hamtapata jibu.
Ganzi la wasi wasi na kumuamini Dr Slaa limeshaingia na mnaonekana kutapa tapa sana kumshambulia Nape, wakti Dr Slaa mwenyewe amekubali kukutwa na kuilipia kadi yake ya uanachama ndani ya chama tawala.

Jiulizeni ni wangapi zaidi walio ndani ya CCM kama Dr Slaa na wana kadi za CCM.

Na mtu mwenye akili zake atajiuliza kama mtu mwenye kadi kama Dr Slaa katumwa na Nape au vipi.

Ni vema wana CDM mkaelewa kuwa kikulacho ki nguoni mwenu.

- Brother naomba unielemishe tena eti Slaa ana kadi ya CCM ambayo amekuwa akiilipia akiwa Kiongozi wa Chadema mpaka leo? Is that right? no way hebu funguka bro ni kweli hiyo?

Es!
 
Kuwa na kadi ya ccm wakati wewe ni TLP au CHADEMA ni dhambi.? Kwani CCM ni nini,ni nani hadi mtu ahukumiwe kumili kadi yao.? Siasa sio uadui wala ugovi, siasa ni kupingana kwa hoja. Licha ya yote ni kujenga historia kwa wahusika bila kujali kiongozi au mwanachama wa kawaida, na historia haijengwi kwa maneno bali vitendo na vitu halisi ambavyo ni kadi,kanga na vinginevyo...Dr.slaa akifa leo vizazi vijavyo vitataka kujua historia ya huyu kiongozi,ambacho licha ya maandishi watataka kujua kwa ushaidi kama kweli amewai kuwa mwanaccm
Mtiifu.... Ni kama leo wana Jf pamoja na kujua kuwa Mw.Nyerere alikua mwana ccm mtiifu lakini bado mnahoji,lini amewai kuvaa vazi la CCM.?
 
Ni kweli kwamba hakuna sharti sehemu yoyote linalosema kwamba ili kuwa mwanachama wa chama kingine, ni lazima urudishe kazi ya chama chako cha awali; Lakini tatizo linakuja pale inaposemekana kwamba Dr. Slaa ni mwanachama hai na amekuwa analipia ada ya kadi yake ya CCM wakati wote, Je hii ni taarifa sahihi? Iwapo sio sahihi na kwamba tu ana kadi ya CCM katika makabrasha yake, suala hili linakuzwa bila sababu kwani hakuna cha ajabu hapo, lakini iwapo ni kweli mbali y akuwa na kadi, pia analipia ada yake kila mwaka, hapa kuna tatizo - kwani ina maana Dr Slaa ni mwanachama hai wa vyama CCM na Chadema - kwani uhai wa uanachama unapimwa kwa kigezo cha malipo yako ya ada kila mwaka;

Swali linalofuatia ni je:
Mtu anaweza kuwa mwanachama wa vyama viwili? Mimi sio mtaalam wa mambo haya lakini kwa uelewa wangu ambao pengine ni finyu sana, it is not illegal BUT it offers enough ground and justifications to expel mhusika from CCM, Chadema, au Vyote viwili, iwapo inagundulika kwamba anatumikia vyama vyote viwili;

Swali linalofuata ni je:
Nini maana ya kutumikia vyama viwili? Je, ni kupiga kura, kuhudhuria vikao vya wanachama? kulipia ada ya uanachama? kuwa kiongozi kupitia chama husika? au yote manne kwa pamoja?

Sina uhakika, kwani yote haya yapo open to debate; Lakini suala muhimu na la msingi hapa ni kwamba Dr. Slaa kwa hili kidogo ameyumba, hasa iwapo taarifa kwamba amekuwa analipia kadi yake miaka yote ni za kweli, kwani nje ya suala hili la kuwa mwanachama hai badala ya mfu, he can easily get away na sakata hili;
 
Mtaisoma sana katiba ya CCM ili kupata jibu la kwa nini Dr Slaa kanaki na kadi ya CCM , lakini hamtapata jibu.
Ganzi la wasi wasi na kumuamini Dr Slaa limeshaingia na mnaonekana kutapa tapa sana kumshambulia Nape, wakti Dr Slaa mwenyewe amekubali kukutwa na kuilipia kadi yake ya uanachama ndani ya chama tawala.

Jiulizeni ni wangapi zaidi walio ndani ya CCM kama Dr Slaa na wana kadi za CCM.

Na mtu mwenye akili zake atajiuliza kama mtu mwenye kadi kama Dr Slaa katumwa na Nape au vipi.

Ni vema wana CDM mkaelewa kuwa kikulacho ki nguoni mwenu.

Ni jukwaa lipi alilokili kuilipia kadi Slaa?

Inamaana ccm imevunja katiba yake kwakupokea ada ya mwanachama aliyejiunga na chama kingine cha siasa?

Acheni wehu nyie vijana, someni katiba yenu muielewe inamtambuaje Dr Slaa?
 
Back
Top Bottom