Somo la Katiba ya CCM kwa Nape & Co

Somo la Katiba ya CCM kwa Nape & Co

Ni jambo la bahati mbaya sana kwamba chadema mmepigwa na dhoruba kali sana ambalo mtahangaika nalo kwa muda sana na kupoteza muda mwingi ambao ungetumika kutumikia wananchi na pia kujenga imani ya Chama na viongozi wenu mbele ya Umma; Lakini yote ni sehemu ya siasa za ushindani katika demokrasia ya uliberali, kote, marekani n.k; Personal attacks ni sehemu ya mchezo wa kisiasa, ndio maana unaitwa mchezo mchafu, kwahiyo msilaumu CCM kwa hilo;

Bila uangalifu, jambo hili litaipelekesha Chadema kwa muda mrefu sana, miezi sita, mwaka, huku Dr. Slaa akijikuta akitumia muda mwingi kujibu hoja hii badala ya kujadili masuala muhimu huko majukwaani; Ukichanganya na tetesi kwamba pia anamsimamisha Josephine Kawe kwa nguvu, licha ya uwepo wa Mbunge mahiri Halima Mdee pale, there is a big chance kwamba Dr. Slaa's popularity itaporomoka kwa kasi ya ajabu, na pengine jina lake kuwa irrelevant katika political landscape of the country ifikapo 2015;

Vinginevyo yote ni katika kutumikia wananchi, Vyama ni njia tu; Wassira alikuwa mbunge wa NCCR kwa miaka mitano, akiishambulia CCM majukwaani, leo Wassira kwenye mkutano wa CCM Taifa, wajumbe wetu wanampa kura nyingi kuliko hata majina yanayotajwa kuwania Urais 2015 kupitia CCM;

Wanachadema, hizi ndio siasa, jipangeni;
 
Mkuu ondoa hofu juu ya siasa za ccm kuiathiri Chadema,

Viongozi wakuu na waandamizi wapo imara kukijenga chama,

Hizi siasa za maji taka tunazijibu na kuzimaliza sisi wenyewe tu wanachadema wa daraja la kiraia.

Hakuna kilichotetereka wala kitakachotetereka juu ya haya mpaka 2015.
 
Si leo tu, siku zote mimi huziheshimu katiba za vyama na tafa.

Heshimu katiba ya chama chenu mkuu.

Mkuu ebu tufahamishe katiba ya Chadema inasemaje mwanachama kuwa na kadi mbili za vyama vya siasa.

Halafu tufahamishe inakuaje Katibu Mkuu wa Chadema anakusanya kadi za CCM kwenye mikutano wakati yeye kadi yake kaificha kwake.

Mkuu tufahamishe katiba ya Chadema.
 
- Huwezi kumtumikia Mungu huku umemficha Shetani nyumbani uvunguni mwa kitanda chako, unatakiwa kumchukia shetiani kwa akili zako zote na uwezo wako wote, Slaa anapopewa kadi za wasioitaka CCM na huku yeye binafsi anajua anayo vipi akili au nafsi yake haimsuti?

- I mean kama Slaa ana kadi ya CCM airudshe now, kuendelea kuwa nayo ni dalili kwamba ahana uhakika na anachokifanya huko kwenu, hawezi kutumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja!! mbona ni simple common sense tu!

Es!
Hivi kurudisha ni lazima kwa mujibu wa sheria gani, katiba gani?

Kadi ni karatasi tu inayokuwa na maana pale inapotambulisha uanachama, nje ya hapo ni karatasi ambayo haina maana yoyote.
 
- Hoja ni batili cause mimi sio Malecella, sorry! ha! ha! ha! halafu next time kabla hujarusha majina ya watu wasiokuwepo kwa nini suitaje lako kwanza? ha! ha! ha! si nilisema hoja zinzwapa taabu sana bila matusi na kurusha rusha majina ya watu hamuwezi kujadili anything chellenging, mkishakuwa challenged mnaanza kurusha rusha majina ya watu vipi bro simamia hoja hapa! ha! ha1

- Hoja yangu ni kwamba huwezi kumtumikia shetani na Mungu kwa wakati mmoja, so Slaa kama anayo kadi kama dalili zote zinavyoonyesha arudishe kadi, wala hakuhitaji mjdala on that ni waste of time!!

Es!

so nikisirimu kua mkristo toka uislamu lazima nichome kuruani? Da!mtanzania kazi ipo.
 
Mkuu ebu tufahamishe katiba ya Chadema inasemaje mwanachama kuwa na kadi mbili za vyama vya siasa.

Halafu tufahamishe inakuaje Katibu Mkuu wa Chadema anakusanya kadi za CCM kwenye mikutano wakati yeye kadi yake kaificha kwako.

Mkuu tufahamishe katiba ya Chadema.

Katiba ya chadema ipo wazi juu ya uhai wa mwanachama na ukomo wa mwanachama huyo.

Kama ilivyo katiba ya ccm kuwa uanachama wa mwanachama utakoma akifa, akihama chama,akifukuzwa uanachama, au akijiuzuru.

Unaposema kumiliki KADI mbili za vyama tofauti usichanganye mada mkuu,

Kuwa na kadi 2,5, au 10 si tatizo lakini kuwa na kadi hizo na zikawa HAI ni jambo lisilowezekana duniani kote, hakuna chama chochote kinachoweza kumlipisha ada ya uanachama mwanachama yeyote aliyehama chama au aliyevunja katiba na kanuni za chama kama nilivyoeleza pale juu.

Narudia tena mkuu someni katiba ya chama chenu mkuu
 
Ni jambo la bahati mbaya sana kwamba chadema mmepigwa na dhoruba kali sana ambalo mtahangaika nalo kwa muda sana na kupoteza muda mwingi ambao ungetumika kutumikia wananchi na pia kujenga imani ya Chama na viongozi wenu mbele ya Umma; Lakini yote ni sehemu ya siasa za ushindani katika demokrasia ya uliberali, kote, marekani n.k; Personal attacks ni sehemu ya mchezo wa kisiasa, ndio maana unaitwa mchezo mchafu, kwahiyo msilaumu CCM kwa hilo;

Bila uangalifu, jambo hili litaipelekesha Chadema kwa muda mrefu sana, miezi sita, mwaka, huku Dr. Slaa akijikuta akitumia muda mwingi kujibu hoja hii badala ya kujadili masuala muhimu huko majukwaani; Ukichanganya na tetesi kwamba pia anamsimamisha Josephine Kawe kwa nguvu, licha ya uwepo wa Mbunge mahiri Halima Mdee pale, there is a big chance kwamba Dr. Slaa's popularity itaporomoka kwa kasi ya ajabu, na pengine jina lake kuwa irrelevant katika political landscape of the country ifikapo 2015;

Vinginevyo yote ni katika kutumikia wananchi, Vyama ni njia tu; Wassira alikuwa mbunge wa NCCR kwa miaka mitano, akiishambulia CCM majukwaani, leo Wassira kwenye mkutano wa CCM Taifa, wajumbe wetu wanampa kura nyingi kuliko hata majina yanayotajwa kuwania Urais 2015 kupitia CCM;

Wanachadema, hizi ndio siasa, jipangeni;

- Brother naomba nikwambie one thing all this is nothing kuna mengi yaa aibu sana tunawaonea huruma tu kuyasema hapa, Viongozi wenu wameoza sana lakini pole pole yatatoka moja baada jingine huwezi kuwadanganya wananchi for good!!

ES!
 
Katiba ya chadema ipo wazi juu ya uhai wa mwanachama na ukomo wa mwanachama huyo.

Kama ilivyo katiba ya ccm kuwa uanachama wa mwanachama utakoma akifa, akihama chama,akifukuzwa uanachama, au akijiuzuru.

Unaposema kumiliki KADI mbili za vyama tofauti usichanganye mada mkuu,

Kuwa na kadi 2,5, au 10 si tatizo lakini kuwa na kadi hizo na zikawa HAI ni jambo lisilowezekana duniani kote, hakuna chama chochote kinachoweza kumlipisha ada ya uanachama mwanachama yeyote aliyehama chama au aliyevunja katiba na kanuni za chama kama nilivyoeleza pale juu.

Narudia tena mkuu someni katiba ya chama chenu mkuu

- Brother wacha na haya maneno sasa utatolewa malipo ya Slaa kwa kadi ya CCM sijui utasema katiba gani inayomruhusu Slaa kufanya hivyo nyamaza bro wachana na haya mambo huyawezi!!

Es!
 
Hivi kurudisha ni lazima kwa mujibu wa sheria gani, katiba gani?

Kadi ni karatasi tu inayokuwa na maana pale inapotambulisha uanachama, nje ya hapo ni karatasi ambayo haina maana yoyote.

- Unsema it is ok kwa Kiongozi wa Chadema kulipia kadi yake kila mwezi huku akiwa anagombea urais kupitia tiketi ya Chadema? Wacha hizi bro!!

Es!
 
Katiba ya chadema ipo wazi juu ya uhai wa mwanachama na ukomo wa mwanachama huyo.

Kama ilivyo katiba ya ccm kuwa uanachama wa mwanachama utakoma akifa, akihama chama,akifukuzwa uanachama, au akijiuzuru.

Unaposema kumiliki KADI mbili za vyama tofauti usichanganye mada mkuu,

Kuwa na kadi 2,5, au 10 si tatizo lakini kuwa na kadi hizo na zikawa HAI ni jambo lisilowezekana duniani kote, hakuna chama chochote kinachoweza kumlipisha ada ya uanachama mwanachama yeyote aliyehama chama au aliyevunja katiba na kanuni za chama kama nilivyoeleza pale juu.

Narudia tena mkuu someni katiba ya chama chenu mkuu

Jibu swali la msingi mkuu katiba ya Chadema inaruhusu mwanachama wa Chadema kuwa na kadi mbili mfano kadi ya CCM na Chadema?
 
- Brother naomba unielemishe tena eti Slaa ana kadi ya CCM ambayo amekuwa akiilipia akiwa Kiongozi wa Chadema mpaka leo? Is that right? no way hebu funguka bro ni kweli hiyo?

Es!

Mkuu kwa mujibu wa gazeti la Majira leo 5/12/2012, nina nukuu;

"Nape achekelea ukweli wa Slaa *Ampongeza kwa kukiri kumiliki kadi ya CCM *Amtaka awaeleze wananchi ameilipia hadi lini

Na Mwandishi Wetu

KATIBU wa NEC, Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bw. Nape Nnauye, amempongeza Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kwa kukiri kumiliki kadi ya chama chao hadi sasa.

Alisema Dkt. Slaa ameanza kujifunza kusema ukweli baada ya kutambua uongo haulipi kwani kitendo cha kukiri kumiliki kadi
ya CCM ni cha kiungwana hivyo anastahili pongezi.

Bw. Nnauye aliyasema hayo Dar es Salaam jana baada ya Dkt. Slaa kujibu tuhuma zake kuwa, wapo baadhi ya vigogo wa CHADEMA ambao wanamiliki kadi za CCM na wanazilipia hadi sasa."

​Mie sina cha kuongeza hapo.
 
Jibu swali la msingi mkuu katiba ya Chadema inaruhusu mwanachama wa Chadema kuwa na kadi mbili mfano kadi ya CCM na Chadema?
Chadema hatambui mwanachama mwenye Kadai HAI na hairuhusu mwanachama huyo kuwepo.

Nielewe kiswahi mkuu nasema hairuhusu kuwa na kadi HAI.

Lakini kuwa na kadi MFU sio tatizo na chadema si wajibu wake kujua juu ya mwanachama huyo kama anayo au hana hiyo kadi.
 
Acha uongo mkuu, lini na wapi amekili kuilipia hiyo kadi mfu?

Msilishwe uongo ambao hamuwezi kuutetea

- Mwanzo umesema ni haki yake kikatiba sasa unasema tunalishwa uongo, haya baba sema yote ila kule bado kidogo dataz zitatolewa wazi on malipo ya kadi ya Slaa CCM! ha! ha! ha! ha!

Es!
 
Mkuu kwa mujibu wa gazeti la Majira leo 5/12/2012, nina nukuu;

"Nape achekelea ukweli wa Slaa *Ampongeza kwa kukiri kumiliki kadi ya CCM *Amtaka awaeleze wananchi ameilipia hadi lini

Na Mwandishi Wetu

KATIBU wa NEC, Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bw. Nape Nnauye, amempongeza Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kwa kukiri kumiliki kadi ya chama chao hadi sasa.

Alisema Dkt. Slaa ameanza kujifunza kusema ukweli baada ya kutambua uongo haulipi kwani kitendo cha kukiri kumiliki kadi
ya CCM ni cha kiungwana hivyo anastahili pongezi.

Bw. Nnauye aliyasema hayo Dar es Salaam jana baada ya Dkt. Slaa kujibu tuhuma zake kuwa, wapo baadhi ya vigogo wa CHADEMA ambao wanamiliki kadi za CCM na wanazilipia hadi sasa."

?Mie sina cha kuongeza hapo.

Huu ndio uongo wa makanjanja tulionao nchini,

Dr Slaa wapi na lini hilo gazeti limemuhoji? Acheni kulisha maneno vinywani mwa watu bila wao kusema.
 
- Mwanzo umesema ni haki yake kikatiba sasa unasema tunalishwa uongo, haya baba sema yote ila kule bado kidogo dataz zitatolewa wazi on malipo ya kadi ya Slaa CCM! ha! ha! ha! ha!

Es!

Nisome vizuri na kwa umakini kila bandiko mkuu, hakuna niliposema ni haki yake,

Nilichosema katiba ya ccm haimtambui Dr Slaa ila Nape na wewe ndio mnalazimisha kumtambua tena huku mkivunja katiba ya chama chenu
 
- Brother Slaa ana kadi ya CCM na amekuwa akiilipia kila mwezi, nini usichoelewa hapa?

Es!
Analipia kadi? Au analipia uanachama. Mie najua kadi hailipiwi
Mtu akikubali kuwa Mwanachama itabidi atekeleze haya yafuatayo:-
(a) Atatoa kiingilio cha Uanachama
(b) Atalipa ada ya Uanachama kila mwezi isipokuwa kama akipenda anaweza kulipa ada ya mwaka mzima mara moja.
(c) Atatoa michango yoyote itakayoamuliwa
Kinacholipiwa ni ada ya uanachama kwa mujibu wa katiba. Sasa yeye analipia nini hapo kadi au uanachama?
 
Mkuu Mwanaukweli hawa wapambe wa magamba hawana hoja zaidi ya viroja tu.
 
Back
Top Bottom