Somo la Katiba ya CCM kwa Nape & Co

Somo la Katiba ya CCM kwa Nape & Co

Kama una kadi ya chama cha magamba,haijalishi haulipi ada,umehamia chama kingine au umefukuzwa,kama hujarudisha kadi yao we ni mwanachama hai,au siyo NNAUYE JR??fool,!!njoo na hoja ya mafwedha ya Uswiss tutaelewa wewe siyo chizi,na uwaokoe walio kuweka hapo kuwa msemaji wao wasiwe machizi kama wewe.
 
Kwa hiyo nyie mnajivunia kiongozi anayepora wake za watu na kutelekeza watoto wake pamoja na mama yao?

Hembu tupe status ya akina mama wa CCM ambaoa waume zao ni mandondocha na wengine kadhaa kuhusu ndoa zao zilikuweje hadi hapo walipo?Nao wanamahusiano na CDM.

Sijui lini utaacha tumia viungo vingine badala ya ubongo kufikiri.
 
Mkuu, Kama fikra pevu zinaainisha kama hii logic inashabihiana na kile kilichoko kwenye mada basi Unaruhusiwa kuipachika. Cha muhimu si kila logic inashabihiana na chochote na siyo kila chochote kinaweza kuwa na logic.
my friend consistency inaweza kuwa kitu kigumu sana kwenu na hii ni shida kama watu kama nyie wengi watapata nafasi ktk public offices, ndio tunachokiona kwa CCM.Wanakushanya nguvu hukipiga mayowe kama vile wanakwenda fanya kitu cha maana kumbe ni kuwa naive too.Wanaishia kufanya nursery na demo ya kila project na si kwenda ktk live mode. Hata sheria huwa haitakiwi ichague wa kumkata, sasa wewe unataka halalisha logic gani hapa wakati ni uongo "ni mekupa counter example", logically fallacy statement haiwezi kubalika just because ime work.NI irrational behaviour.
 
Kama una kadi ya chama cha magamba,haijalishi haulipi ada,umehamia chama kingine au umefukuzwa,kama hujarudisha kadi yao we ni mwanachama hai,au siyo NNAUYE JR??fool,!!njoo na hoja ya mafwedha ya Uswiss tutaelewa wewe siyo chizi,na uwaokoe walio kuweka hapo kuwa msemaji wao wasiwe machizi kama wewe.

Nape amejisahau kuwa yeye ni msemaji wa ccm, hivyo anao wajibu wakujibu hoja na kutangaza sera za chama chake bila kusahau kuwa anayo fursa ya kuwaeleza watu mafanikio ya chama cheke na maendeleo waliyowaletea watanzania.
 
Hembu tupe status ya akina mama wa CCM ambaoa waume zao ni mandondocha na wengine kadhaa kuhusu ndoa zao zilikuweje hadi hapo walipo?Nao wanamahusiano na CDM.

Sijui lini utaacha tumia viungo vingine badala ya ubongo kufikiri.

Huyo ameshakuwa mgonjwa wa ubishi dhidi ya Chadema,
 
Nape amejisahau kuwa yeye ni msemaji wa ccm, hivyo anao wajibu wakujibu hoja na kutangaza sera za chama chake bila kusahau kuwa anayo fursa ya kuwaeleza watu mafanikio ya chama cheke na maendeleo waliyowaletea watanzania.

- I hope utakuwepo hapa kwa muda mrefu sana maana I wish ungejua what is in the store na coming very soon here, maana wote Tanzania ni nchi yetu ila somehow CCM tuliwaruhusu ku-behave kama vile hili ni Taifa lenu zaidi so now we have to change that na we are almost there, pole pole we are getting there!

- So stay here bro maana mambo ni bado kabisaaa!!

Es!
 
Kwa hiyo nyie mnajivunia kiongozi anayepora wake za watu na kutelekeza watoto wake pamoja na mama yao?

Acha kudhalilisha wakina mam: wanaibiwa wamekuwa 'object i.e kalamu? Na huyo Mashumbushi mwenyewe mliyekuwa mnapa manguo ya kizaire kaingia mitini baada ya 'nakala ya talaka' kuwekwa hadharani. No one owns anyone. Kama ilivyo kwa mwanaume, mwanamke naye ana haki ya kuamua aishi maisha yake aonavyo inafaa. Na tangu lini CCM wakawa na usafi wa kujadili mahusiano ya watu?
 
- I hope utakuwepo hapa kwa muda mrefu sana maana I wish ungejua what is in the store na coming very soon here, maana wote Tanzania ni nchi yetu ila somehow CCM tuliwaruhusu ku-behave kama vile hili ni Taifa lenu zaidi so now we have to change that na we are almost there, pole pole we are getting there!

- So stay here bro maana mambo ni bado kabisaaa!!

Es!

Mimi nipo hapa, nitaendelea kuwafunza mambo mengi ya nchi hii,

Mmeishi mda mrefu ughaibuni sasa mmerudi mnakuja kupaparika na siasa bila kujua kiundani hata katiba ya chama chenu.

Nimeanza kuwafunza katiba ya chama chenu kisha nitakuja Katiba ya Nchi.

Tulia ufunzwe bonge!
 
Huyo ameshakuwa mgonjwa wa ubishi dhidi ya Chadema,

Hajui kuwa viti maalumu vilikuwa vikiinua eye brows za watu pale akina mama walipojituma kuvipata.Sasa hivi wabibi na kina mama wa CCM wamewaua mabwana zao kwa heart attacks na furstrations nyingine wanavyokuwa busy na boyfriends wa aina ya akina Wassira na wengine katk michakato ya siasa+vijana wa mjini.
 
Mimi nipo hapa, nitaendelea kuwafunza mambo mengi ya nchi hii,

Mmeishi mda mrefu ughaibuni sasa mmerudi mnakuja kupaparika na siasa bila kujua kiundani hata katiba ya chama chenu.

Nimeanza kuwafunza katiba ya chama chenu kisha nitakuja Katiba ya Nchi.

Tulia ufunzwe bonge!
well said, hawa jamaa wakishakaa ughaibuni na kusoma vitabu vihusuvyo watu maarufu kwa haraka na kuw aexited basi nao hujiona wanajua sana kuliko waliobaki na hivyo wakajion akuw anao wanaweza kuwa wakombozi.

Ndio maana utakuta watu kama Le Mutuza aliyeondoka enzi za pensi nyanya hado leo akili yake imeganda huko.Wengine ni wazee wanataka ujana, wengine ni vijana waliozeeka bila kupitia ujana.Akina Le mutuz wanapaswa waende kule kweye old school wakadanganyane kuwa enzi zao sijui muziki ulikuwa Juu na mengine na si kuingia kwa fujo ktk siasa.
 
ahaahaaa haaaahaa duuuh mkuu umenivunja mbavu kwa kicheko!

Wakirudi hao wanaleta dharau sana kwakujiona wao ndio wenye hati miliki ya nchi hii.
 
Cha kushangaza wengi walikimbia njaa na si matatizo kam ya kisiasa na mengine.hawakuwa wanajua kuwa njaa ya siku moja haiui .Pia dawa ya njaa ni kuzalisha na kupambana mpaka ikimbie.Sasa waliowaacha wamepamna kama vile njaa haipo hadi kuweka misingi ya kutopata njaa ndio wanakuja kuvuna na si kuzalisha.

NI wazi hawa scavengers walishashindwa tangu walipondoka, ni vipi sasa wataweza?Wanataka watufundishe kupigana na njaa kwa stry za kutuutisha kuwa njaa inaua na blah blah nyingine.Hawajui wao waliikwepa njaa ,sisis tuliifuata na kuishinda n ahivyo hawana cha kutuambia.hawa ni kizazi ambacho hakikufundishw anyumani kuwa huwa matatizo hayakimbiwi au kuzungukwa, huwa yanakabiliwa.
 
my friend consistency inaweza kuwa kitu kigumu sana kwenu na hii ni shida kama watu kama nyie wengi watapata nafasi ktk public offices, ndio tunachokiona kwa CCM.Wanakushanya nguvu hukipiga mayowe kama vile wanakwenda fanya kitu cha maana kumbe ni kuwa naive too.Wanaishia kufanya nursery na demo ya kila project na si kwenda ktk live mode. Hata sheria huwa haitakiwi ichague wa kumkata, sasa wewe unataka halalisha logic gani hapa wakati ni uongo "ni mekupa counter example", logically fallacy statement haiwezi kubalika just because ime work.NI irrational behaviour.

mkuu,
You can spin and dismiss my analogies lakini ukweli utasimama palepale.

Swala la watu wa CCM na conduct on public offices ni mtazamo wako na unaruhusiwa kusimama nao.

Nani kasema kuwa sheria zote huwa hazichagui au haziwakati baadhi ya wananchi wengine. maamuzi katika nchi au jamii hufanyika na kuwa sheria ili kuwakata kwa kuwazuia au kuwasimamia baadhi ya wanachi wanaopenda au kutaka kufanya jambo fulani katika jamii au nchi.

Nimeisha sema kwenye bandiko langu mapema kuwa si kila logic inashabihiana na chochote na siyo kila chochote kinaweza kuwa na logic

Anyway, tukubali kutokubaliana kwa hili.
 
Nasikia kwako kwa mara ya kwanza kuwa kuna logic discriminative.Dunia imejitahidi sana ku pambanua universal values ndugu yangu.N ahivi ndio zimejenga AXIOMS ambazo ndio msingi wa logic.

kama wewe ni walewale wanaoamini kuna uongo matakatifu, na membo mengine mlioamua yafanya kuwa relative basi sina haja ya kukushangaa zaidi ya kukusaidia.

Logic na principals zake ni universal na si relative.
 
Mkuu,
Kama unachokiongea kina base kwenye theories au ideas peke yake basi hatuna budi kukubaliana kwa sababu universal value theoretically lazima iwe applicable to all human at all time and under all circumstances. Hata magwiji wa philosopy kama S. H. Schwartz pamoja na survey zao za nchi zaidi ya 43 waliishia bila kupata jibu kamili zaidi.

Mabadiliko ya sheria katika jamii au nchi yanatokea ili angalau kujaribu kupata universal value pindi inapobainika logic discriminative imekuwa applicable. Ndiyo maana mpaka kesho kuna maswala mengi kitaifa na kimataifa ambayo yanakuwa na misuguano katika jamii kama yako na logic descriminative within universal value (Homosexual, Abortion, Capital punishment, Globalisation, n.k.)

Cha muhimu ni kwamba, universal value ni progressive issues ambazo zinabadilika kulingana na mabadiliko katika jamii. It'll come a time when issue like ushoga will be universal value in Tanzania and the law will have to change otherwise, it'll be valued as descriminative in the section of the society.
 
Nape pokea somo hili, hata mimi nilikuwa siijui katiba ya ccm sasa nimefaidi shule hii,

Asante ndugu
 
Tofauti ktk nchi hazitokani na kutokuwa na universala values ila ukomavu wa jamii za nchi husika na kupata nguvu kwa tamaduni na mifumo ya nchi nyingine ambazo hazina viwango bora ktik amambo kama democrasia na hai za binadamu.

Issue ya homesexuality, abortion etc hazina concfilicts at the core ila jinsi ya kuwatreat hao watu ndizo tofauti.Mfano mashoga wanalindwa si kwamba wapo sahihi sana, ila kwa vile wao ndio wanatakiwa kuwa responsible kwa matendo yao as long as hawamlaimishi mtu kuingia ktk mtindo huo wa maisha, pia wana haki naturally ya kuishi na haki hiyo kuheshimiwa.Sasa hapa tofauti ni jinsi gani wanajisiikia huru kuvunja haki yao kuishi kwa hasira za muda mfupi zinazochangiwa na mitizamo.Approach za kidini nazo ni kikwazo na source ya hizo tofauti za muonekano, hata mashoga wenyewe wengi hawajachukulia kama wafanyalo ni tatizo na hivyo approach iwe kutibu na si kuhalalisha na kuishi nalo.

Capital panishment lazima iwe tofauti kwa vile kila mtu ana sammple fulani ya data inayojibu views zake ila at the core mkosaji lazima aadhibiwe.Ila hiyo adhabu inaweza kuwa na kazi zaidi kama ku eliminate mwuovu kama miaka hii hakuna namna ya recovery kwa mkosaji na uwepo wake unasababisha mauaji mengine.Sasa hapa si principal ndio ina shida ila intentions wakati wa kutend ahiyo purnishment na experience ya nchi husika.

Universal values si social theories au theories nyingine zinazo evolve with society.Truth si relative, watu wanaong`ang`ania truth kuwa relative si honest people, ni watu kama wajamaa, wakomunist na madictator wengine au hata watu wa dini za East zinazopingana na mifumo ya Judeo-Christian.Na hii ina nia ya kuhalalisha nia zao.Waislama wana uongo mtakatifu hasa pale unapotumika kwa maslahi ya dini.Waafrica huwa wanapeana reward kwa mtu aliyedanganya kwa faida ya jamii zao.Tayari wanajiamulia kuchagua wapi waone uongo ni mbaya.Lakini hapa haiondoi ukweli kuwa uongo ni mbaya, hata pale unapompatia mtu faida,kwani atakuwa kapa hiyo faida kwa hila na kumyima mwingine haki ya kufanyahamu anachodeal nacho.
 
Hii topic ni ndefu, we can go on and on bila kufikia tamati kwa sababu haya ni maswala yanayo evolve katika jamii inayochagizwa na mabadiliko ya kimazingira (technology, natural forces n.k). Ndiyo maana wagiriki walikuja na hii kitu inayoitwa "rule of the people" ili kupambana au kukabiliana na mabadiliko katika jamii na ndiyo maana kwa sasa tuna vyombo kama legislator, arbitrator na adminstrator katika jamii.

Niseme tu kwamba jamii na jamii imejengeka katika misingi ya core value (morality, ethics, custom n.k) na kwa hili ndiyo pale ambapo universal value underpin in a society. The challenge comes when the society rise above core value in a democratic world, na hapa ndiyo maana kunakuwa na maandamano kushinikiza legislators.
 
Back
Top Bottom