Somo la Katiba ya CCM kwa Nape & Co

Somo la Katiba ya CCM kwa Nape & Co

432298_4694578038896_1219583700_n.jpg
 
Mkuu,
Hii topic ni ndefu, we can go on and on bila kufikia tamati kwa sababu haya ni maswala yanayo evolve katika jamii inayochagizwa na mabadiliko ya kimazingira (technology, natural forces n.k). Ndiyo maana wagiriki walikuja na hii kitu inayoitwa "rule of the people" ili kupambana au kukabiliana na mabadiliko katika jamii na ndiyo maana kwa sasa tuna vyombo kama legislator, arbitrator na adminstrator katika jamii.
unajua utashangaa sana kuwa hayo mambo science inasaidia tuu kuyaelewa vyema na si vinginevyo.Wagiriki walifungua njia ktk fikra tuu na hiyo rule of the people ilikuwa ni kujaribu leta fairness, kwa kupunguza watu wachache kutawala wengine wengi, badala yake watu wengi wajitawale kwa vitu walivyovikubali kwa uelewa wao.In reality optimum and social harmon inafikiwa pale kunapokuwa na balance ya parameters nyingi.Na huvunjika pale panapotokea kuzidisha au kupunguza paramater moja au zaidi.Ila hakuna ugunduzi mpya.Kwa ujumla universala values zipo,ni sisi kuzigundua na kuzipenda na kuziheshimu na si relative.Realativity inakuja kutokana na jamii husika kuwana vipaumbele vingine.
Niseme tu kwamba jamii na jamii imejengeka katika misingi ya core value (morality, ethics, custom n.k) na kwa hili ndiyo pale ambapo universal value underpin in a society. The challenge comes when the society rise above core value in a democratic world, na hapa ndiyo maana kunakuwa na maandamano kushinikiza legislators.

Sijui unamaanisha nini "The challenge comes when the society rise above core value in a democratic world, na hapa ndiyo maana kunakuwa na maandamano kushinikiza legislators",sidhani kama unaweza kuwa above values unachoweza fanya ni kuzikataa au kuzikubali na kuzitumia.Huwezi kuwa juu ya "kiasi cha mambo", huwezi kuwa juu ya kutenda haki kwa wenzako, ila unaweza kuwa juu ya kitu kinachokucontrol na wewe kukicontrol.Yaani unaweza control organs za mwili wako zisihitaji kitu fulani kupita kiasi.Sijui umenielewa?

Kuandamana kushinikiza legislators si kosa, kwa vile kila mtu anapaswa kuangaliwa, kwa vile binadamu awana tabi ay akuozea vitu na baadaye kutafaunja njia nyingine nje ya sheria kufanya wapendayo.N ahii ipo hata kwa watu wa dini wanapoachwa kw amuda mrefu wanaanza misuse kila kitu na baadaye wanaanza jijengea himaya yao inayofuta mamabo yao yaliyo descriminatory.
 
Hata hapo tu ameshindwa kutumia akili katika kudai kadi mfu ya ccm kwa Dr Slaa?

hehe Yeriko tulichokuwa tunaongea tazama le mutuz anakisema bila hata jijua ktk facebook page yake kama kawa.haya maboya yakienda ulaya yanadhani yakija yana mengi ya kutufundisha wakati walipoteza muda kupiga picture za kutumia watu pamoja na kujiingiza katk crimes na mambo mengine yasiyowajenga kuwa real men.

::::::::::::::::::::::::::::::::::
William J. Malecela

4 hours ago

@ LE MUTUZ: Something is a miss, miaka yangu yote 30 Majuu never did I dreamed kuwa na USD $ 100,000 Cash as my Money free of madeni, OR tAXES! to my shock 80% ya washikaji wangu niliowaacha Bongo, hiyo amount ni ABSOLUTELY NOTHING!!
- NOW SOMETIMES IT HITS ME HARD, KWAMBA DID SOMETHING WENT WRONG SOMEWHERE OR WHAT? AND IS LIFE A FAIR GAME OR WHAT? AND THE WORST THESE GUYS THEY GO TO MAJUU AS IF WANAENDA KARIAKOO? HA! HA! MIMI NILIPOKUWA MAJUU KUJA LIKIZO BONGO ILIKUWA PATASHIKA BIN KIZAZAAAH! HA! HA! HA! HA! HA!, I MEAN I THANK MY GOD I AM BACK NIKIWA MZIMA NA AFYA TELE AND I HAVE A CHANCE TO RECOVER AND THAANKS TO MY FRIENDS WHO ARE HELPING ME UP AND DOWN! BUT THE TRUTH REMAINS THE SAME THAT SOMETHING WENT SOMEWHERE OR SOMEBODY!! JIONI NJEMA SANA PEOPLE!! - LE MUTUZ!!
 
teh teh..in tanzania you will never miss a useless idiot in our political arena, just like any other social cretin:

432298_4694578038896_1219583700_n.jpg

jamaa kapendeza, kumbe ile kijani ni makosa tuu.Halafu na huko kuwehuka ndipo kunapendezeha zaidi hii picture.Atazuga kuwa ulikuwa mpango wa CCM kuzuga wananchi, bila kujua anaingia ktk dhambi nzuri zaidi ya kudanganya wananchi, na hivyo kuthibitisha wanachosema CDM kuwa CCM is nothing more than a bunch of socially pathetic cretins.
 
Aisee kweli mjinga ni mjinga tu hata ajifiche vipi ujinga wake huonekana tu!
 
Unaweza kujiuliza mara mbili na usipate majibu, hivi Nape na William Malecela wanaitetea ccm toka moyoni au wanaiangamiza ccm toka moyoni?
 
Hilo ndilo jibu analostahili kujibiwa Yericko, hicho kipande cha katiba alichokinukuu hakina kabisa uhusiano na kuwa au kutokuwa na kadi. Kinaongelea uanachama, hiii ni hoja tofauti kabisa na kuwa mwanachama au la, na iwapo Nape alisema Dr bado ni mwanachama anastahili hilo darasa lakini kama aliongelea kadi kitu ambacho hata Dr mwenye amekili, basi Yericko ndiye anapaswa kujifundisha kiswahili upya.

Kwa hiyo Nape angeweza pia kusema Dr SLAA anavaa suluali na Dr akakili, ninyi mgeshangilia na kuandika kwenye magazeti yenu? Kwa hiyo unajitetea kuwa Nape alisema tu kuwa Dr ana kadi bila kumaanisha chochote sawa tu na angesema Dr amekunywa chai asubuhi? La muhimu kwenu ni Dr kukili kuwa ndio nimekunywa chai asubuhi.
 
Aisee kweli mjinga ni mjinga tu hata ajifiche vipi ujinga wake huonekana tu!

ungemwambia kuna mengi utamfundisha angekuja juu sana.Ila alichoandika Le mutuz ni wazi anakiri kuna mengi utawafundisha hawa maboya, design ya Nape.
 
Tuwashangae waandishi wa habari ambao waliona hii kuwa habari kwa sababu imenenwa na Nape. Ikumbukwe kuwa Slaa hajaweka kufanya ni Siri yeye kuwa na kadi ya CCM. Hata wakati wa kampeni 2010 aliweka wazi na kusisitiza kuwa mtu si lazima kurejesha kadi ya Chama kukoma kuwa mwanachama. Katiba za vyama vingi vya siasa haviweki hili Kama sharti. Waandishi wa habari walipaswa kumkumbusha/kumuuliza hili alipolitoa.

Ni muhimu pia kwa waandishi kuchuja habari na si kujaza kurasa kwa propaganda. Kuna haja gani ya kujadili suala ambalo tuna uhakika kabisa halina tija. CCM ni mahiri wa kuanzisha mada mfu za kuwapoteza watu mwelekeo ili wasihoji mambo ya msingi.
 
ungemwambia kuna mengi utamfundisha angekuja juu sana.Ila alichoandika Le mutuz ni wazi anakiri kuna mengi utawafundisha hawa maboya, design ya Nape.

Ni kweli lakini wazidi kutulia kwenye somo kuu linalohusu katiba ya chama chao kwanza!
 
Aisee kweli mjinga ni mjinga tu hata ajifiche vipi ujinga wake huonekana tu!

[h=5]ANA KADI MBILI YA CCM NA YA CHADEMA ANA MADEMU WAWILI JOSEHINE NA ROZIMARY ANA KAZI MBILI NI PADRE NA MWANASIASA NI MSOMI NA NI KILAZA NI WA MAMBO MAWILI MAWILI.. ANATAKA UBUNGE ANATAKA URAISI..
[/h]

- ni kweli bro mjinga ni mjinga tu uko 100% right!! you are a genius mamen!1

Es!
 
Mimi nipo hapa, nitaendelea kuwafunza mambo mengi ya nchi hii,

Mmeishi mda mrefu ughaibuni sasa mmerudi mnakuja kupaparika na siasa bila kujua kiundani hata katiba ya chama chenu.

Nimeanza kuwafunza katiba ya chama chenu kisha nitakuja Katiba ya Nchi.

Tulia ufunzwe bonge!

- Kwanza mfundishe Slaa kwamba kuwa na kadi ya CCM ni makosa makubwa sana, na kulipia pia ni makosa makubwa sana, unaweza kuniita William Malecela, LE Mutuz, Le Baharia, Le Big Shoow, na mengine unayotaka, lakini once you have your senses back naomba umwambie Slaa huwezi kuwa na kadi ya CCM na Chadema kwa kiongozi kama yeye it wrong!!

Es!
 
ANA KADI MBILI YA CCM NA YA CHADEMA ANA MADEMU WAWILI JOSEHINE NA ROZIMARY ANA KAZI MBILI NI PADRE NA MWANASIASA NI MSOMI NA NI KILAZA NI WA MAMBO MAWILI MAWILI.. ANATAKA UBUNGE ANATAKA URAISI..

- ni kweli bro mjinga ni mjinga tu uko 100% right!! you are a genius mamen!1

Es!

Mbona mchoro unafanana kwa kiasi fulani na Kikwete na Aggrey Mwanri.Huyu msanii itabidi arudi shule.Le mutuz naye ana fikra kama Idd Amin(fiel marshall), kakurupuka bila hata kuona huo mchoro unaweza kuwa ni wa wana CCM akapaka rangi na maandishi.Ni mchoro wa kijinga kwa vile mtu hawezi uelewa bila kusaidiwa na maandishi.Michoro ya wenzetu akichorwa obama kwa staili yoyote anayemjua anamjua bila hata kuona maandishi.

Kwanini kila kitu cha CCM ni hovyo?

Hivi Le mutuz umewahi jiuliza kama huo mchoro una uhasilia basi hukupaswa hata uweka kama ungetumia akili kidogo.Kwanza una udhalilishaji kwa waliochorwa na mchoraji, pia una kuaibisha,Mzee kama Dr. Analiliwa na wanawake wenye vipato vyao,ila wewe na ujana wako unakesha mabaa na kumbi za starehe ukifukuzana na mabinti na bado hawakutaki.Utasingizia mademu wa qulaity hukuweza afford huko majuu pengine kwa vile hukuwa na mvuto kwao bado.
 
Tunajitahidi hivi lakini nadhani ni mwathirika wa mapokeo mfu!
Usimuingize kijana mwenzako chaka, ni mwehu pekee anayeweza kusimama mbele ya watu na kuelezea utekelezaji wa katiba na Ilani ya chama cha mapinduzi.

Nape yuko sahihi kabisa kwa anayoyafanya sababu ndio msingi wa pay cheque yake, au unataka akale wapi?
 
Huyu ni Le mutuz again.Anchopost hapa ni kitu hatari sana.Sijui anajua au hajui ila kwa ujumla kama yupo ktk hii business basi ni wazi bado huyu jamaa ni teja, ni as crooked as any other crooked guy in the world.

Hizi kazi anazosema ni za kwenye meli, especially "cruise vessels", kuna kazi umalaya ktk meli(wanaume kwa wanawake), huduma ya hotel, kufanya massage, na nyingine ambazo pia zinachangia sna human trafficking.

Tusishangae sana kuona huyu jamaa akijituma kimbizana na wanawake hata wasiompenda hapa bongo, kufany amatendo yasiyo na ustaarabu fulani.

Najiuliza yaani babake pamoja na kujua toto lake ni mwana kundi la mitoto ya kibongo iliyokubwa na lile wimbi la kuzamia meli, kwenda beba unga nambo mengine yaliyowakuwa watoto waliopotezwa na makundi, halafu bado anajitahidi lipa majukumu kwa watanzania.Kwanini wanasiasa wa tanzania hawajui kuwa watanzania wana deserve more than this humiliation.

[h=2]Tangazo Maalum: Mradi wa Kazi Majuu![/h]
- Wakuu wote JF, bila kumbagua yoyote nina rafiki wa kike wa kizungu anayefanya kazi kwenye mradi mmoja ambao ukitimiza msharti yake ambayo sio magumu sana, basi wanakupatia viza ya miaka mitano kwenda nchi moja majuu kufanya kazi, ni kwa professional mbali mbali na hata kwa wasio na professional wanakubalika,

- Ameniambia the goal ni matajiri flani hivi wa kizungu wanajaribu kuwasaidia watu kutoka nchi masikini, sasa naomba kusema hivi hapa JF wanaingia hata mabalozi mengi ya majuu bongo kila siku, kwa hiyo siwezi kuweka yote hapa wazi, lakini sina tatizo kumsaidia yoyote yule mwenye kuhitaji huu msaaada mradi tu msaidiwa awe bongo, na kuna fee ya dola mia tatu, mimi sifanyi lolote zaidi tu ya kuhakikisha kwamba una pass na unataka msaada, ninaku-connect una-deal nao mwenyewe, lakini ni lazima unifahamishe ili nimfahamishe huyu dada, aifuatilie fomu yako.

Tuwasiliane kwenye PM, au mtuwameli@yahoo.com. Mods na Utawala naomba muipe nafasi kidogo hapa ingawa sio pake, ili iwafikie ndugu zangu walalahoi, unajua sisi mabaharia huwa ni watu wa kusaidiana sana kwa sababu tusingefikia hapa tulipo bila kusaidiwa na wengine, na huwa hatusahau tulikotoa au kusahau wengine wenye shida.

Ahsanteni Wakuu.

Field Marshall Es, wazee wa sauti ya umeme!

Usimuingize kijana mwenzako chaka, ni mwehu pekee anayeweza kusimama mbele ya watu na kuelezea utekelezaji wa katiba na Ilani ya chama cha mapinduzi.

Nape yuko sahihi kabisa kwa anayoyafanya sababu ndio msingi wa pay cheque yake, au unataka akale wapi?

Haahaaa mkuu nimekupata, nimecheka sana aisee! Haahaa
 
Back
Top Bottom