Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,987
- 24,234
- Thread starter
- #81
Na kweli, ukiyawaza sana
Unaweza withdraw kufanya chochote
Unaweza withdraw kufanya chochote
Jibu unalipata katika Biblia kitabu cha KOHELETHI @ Mhubiri."Mambo yote ni upumbavu na kujilisha upepo"
hebu uchakachue msemo huo uone Mfalme Suleimani alivyakuwa na busara miaka elfu kadhaa kabla ya Kristo Yesu.
Bazazi!