sometimes . . .

Hapo penye jambo lolote linalokupa sense of achievement ndio penyewe

Na jambo hilo haliko sawa kati ya mtu na mtu

Hata kama ni dogo kiasi gani

Umeona ee?

Wengine kuoa ndio 'achievement,' wengine kuvunja ndoa za watu ndio 'ushindi!' -Self Satisfaction.

:D
 
inabidi nianzishe chuo cha bure sijui
kufundisha hiki tu
ili watu waweze heshimu machaguo ya wengine

mambo ya kushikiwa remote ya maisha na mtu mwingine ni mbaya sana.

Umeona ee?

Wengine kuoa ndio 'achievement,' wengine kuvunja ndoa za watu ndio 'ushindi!' -Self Satisfaction.

:D
 
Kongosho,

Unafahamu kuwa sasa hivi unavyosoma hii reply yangu,,,, uko hai?? Ni kweli kabisa unaishi! Yani ni kweli kabisa kuwa sasa hivi ni sasa hivi na ni kweli unasoma hii, ni kweli kabisa upo duniani sasa hivi unachokisikia ni kweli kabisa.

Inatisha,,, na bado unaendelea kusoma, upo una exist!!

hahahaha....
Ndo maana post zako imemtisha Kongosho hihihiii
 
Last edited by a moderator:
wee, mbona reply yako inatisha hasa nikiangalia na bunduki yako?

hahahaha! Mara nyingi nikiwaza vile nilivyokujibu huwa naogopa. Ni kweli kabisa kuwa sasa hivi ni sasa hivi na ni kweli kabisa kuwa nipo na ni kweli aisee... ni kweli! NAtetemeka
 
He he he, hivi kuna siku sasa hivi utakuwa haupo?

hahahaha! Mara nyingi nikiwaza vile nilivyokujibu huwa naogopa. Ni kweli kabisa kuwa sasa hivi ni sasa hivi na ni kweli kabisa kuwa nipo na ni kweli aisee... ni kweli! NAtetemeka
 
Mambo yoe ni ubatili, ubatili mtupu na kujilisha upepo
Mtu anafaida gani kwa kazi yake yoe aifanyayo chini ya jua
Kizazi huenda, kizazi huja, nayo dunia huzunguka hima!
Yaliyokuwako, yakuwepo chini ya jua
Kondosho my dear, hata kama wewe si mkristo tafuta Biblia usome kitabu cha Mhubiri ndo utajua kwamba tunahangaika bureeee tu

sometimes huwa najikuta nashangaa tu
hivi tunaishi kwa ajili ya nini?

Baada ya kupata hayo yooote unayoyahangaikia, then what?
 
Back
Top Bottom