sometimes . . .

nadhani najaribu kupata mtizamo wako gfsonwin, maana ya maisha unaweza kuipata zaidi katika mambo ya dini, nje ya dini?

nje ya dini Kongosho unaweza pia kuipata maana ya maishaa manake namkumbuka shake spear yeye aliwah kusema to him "in life, it is not that water which he drinks matters, but which he spills through"

hapa ameonyesha kabisa kwamba katika maisha yale unayoyafanya yatokayo nje ndio maisha yenyewe na si yale unoyafanya yajayo ndani yako.
 
Last edited by a moderator:
ni mfalme Suleman kwenye biblia alitumia hili neno kuyaelezea maisha.

Baada ya kuoa wanawake 1000, masuria sijui 300, kuwa na hanging gardens, utajiri wa kupindukia.

Mwisho alisema 'maisha ni ubatili mtupu na kujilisha upepo'

nadhani hata aliangalia nyuma akakosa maana ya kuishi ni nini au hakuelewa, baada ya anasa zote alizofanya then?

Upepo mambo ya kupita tu kama upepo ambayo usiyaangaikie sana! Pata kile kinachotosha uweze kuishi kwa kadri. Tunaoamini aktika evolution, have a different view kama nilivyosema kukuza/kuendeleza kizazi cha binadamu. Kwenye dini might be a different view of lengo la kuishi. Nilifundishwa kuwa ni kumtumikia Mungu!
 
hakuna ishu....
hata utafute weeeeeeeeeeeee
umiliki vogue na magorofa..........
akaunti zenye pound .............

mwisho wa siku ni kufa, kuoza...labda mifupa baadae watu wataifanyia reseach
 
umeona BT, kwani vogue ni nini?
Au maghorofa ni nini??

Inashangaza sana

hakuna ishu....
hata utafute weeeeeeeeeeeee
umiliki vogue na magorofa..........
akaunti zenye pound .............

mwisho wa siku ni kufa, kuoza...labda mifupa baadae watu wataifanyia reseach
 
Wee nikikuuliza hili swali, utanipa jibu gani?
siwezi ndo maana mimi huwa nikitaka kitu siangaliagi kesho kwangu maisha ni haya haya leo leo...kama kitu hakina faida kwangu na hakinipi furah leo napiga tu teke kule
kwangu maisha ni haya haya now now
 
Mfano nikikuuliza, wewe leo nini kina kupa furaha?

Generally tu

Narudia kukumbushia thread ya Mbu juu ya ukomo wa kutafuta. In the end of the day, family is what matters the most. Quality times spent and shared, love manifested through deeds and sweta well utilised. Hayo ya hela sijui maghorofa ni ubatili na kujilisha upepo.
Bible inasema itamfaa nini mtu apate ulimwengu wote, nae mwenyewe aje apate hasara ya nafsi yake?
 
Last edited by a moderator:
Mfano nikikuuliza, wewe leo nini kina kupa furaha?

Generally tu
afya njema niliyoamka nayo.afya ya familia.uhusiano mzuri na baby wangu na na kazi ni na mafriends kama wewe hivi i mean sina ugomvi popote...wallet inanitosha
above all imani yangu kubwa kwa Mungu wangu kwamba still yu pamoja nami .. mengine upepo tu
 
Na hapa ndipo huwa najikanganya na watu wanaonizunguka

Tafsiri ya maisha na yangu naona ni tofauti sana
Tunaishia kugombana pasipo sababu

Ndio maana leo nikaamua niulize, kwani mantiki ya kuishi ni nini?
Labda nikipata mawazo ya wengine, naweza ona niko umbali na karibu na ukweli kiasi gani?

Asante, wewe umenielewa haswaa, nadhani maana ya maisha iko katika vitu vidogo vidogo sana
Narudia kukumbushia thread ya Mbu juu ya ukomo wa kutafuta. In the end of the day, family is what matters the most. Quality times spent and shared, love manifested through deeds and sweta well utilised. Hayo ya hela sijui maghorofa ni ubatili na kujilisha upepo.
Bible inasema itamfaa nini mtu apate ulimwengu wote, nae mwenyewe aje apate hasara ya nafsi yake?
 
There is no greater satisfaction than knowing that what you are doing is what God wants you to do. Kwa wanaomwamini Mungu, maisha yanapaswa ku-center kwenye kutafuta kujfahamu mapenzi ya Mungu katika maisha yako na ukisha kuyafahamu basi kuishi ukijiweka available kwa Mungu ili akuwezeshe kutumikia mapenzi yakw kwa ukamilifu. "Daudi akiisha kulitumikia kusudi la Mungu akalala(akafa/akapumzika) pamoja na babaze" . Nitakua mnafiki nikikwambia kwamba maisha yatakua raha mstarehe,naah...Kutakua na changamoto zake nyingi tu hasa katika ku-align nafsi yako (matamanio yako,matakwa yako, etc) na mapenzi ya Mungu. Remember He is God and we, men. Lakini ukiyachuakua maisha one step at a time and one day at a time na ukiamini "His Grace is sufficient", naweza kukuhakikishia kuwa at the very least hutakufa kwa stress wala anxiety. Then hapo ndipo maisha yanapokua na ladha,yenye maana and never boring.
To me, meaningful life is that which can impact on a single soul while I live and when I'm gone.

The best Thread of the day Kongosho
 
Last edited by a moderator:
ni mfalme Suleman kwenye biblia alitumia hili neno kuyaelezea maisha.

Baada ya kuoa wanawake 1000, masuria sijui 300, kuwa na hanging gardens, utajiri wa kupindukia.

Mwisho alisema 'maisha ni ubatili mtupu na kujilisha upepo'

nadhani hata aliangalia nyuma akakosa maana ya kuishi ni nini au hakuelewa, baada ya anasa zote alizofanya then?

Nilitaka kukwambia soma Muhubiri, naona umemqoute hapo.

As mkatoliki rejea Katekisimu (Mungu alituweka duniani tufanye nini?)

As binadamu wa kawaida, maisha yalianza kupata meaning at least kwangu mimi nilivyoleta kiumbe duniani; so karibu kila kitu ninachokifanya ni katika kumake sure mtoto anakuwa na future nzuri.
Lakini pia huwa najisikia kuwa full pale ninapo make a difference kwenye maisha ya mtu mwingine, (kumsaidia kwa maana ya kumtoa kwenye hali fulani kwenda kwenye nyingine hata kwa ushauri tu), kuleta tofauti katika mazingira (mf. pale nilipostop kutumia mkaa, nikapiga hesabu ni miti mingapi ninaiokoa kwa kutotumia mkaa), na tuvitu tungine tudogo tudogo.

Nikimqoute T. B Joshua anasema "we are blessed in order to bless others"
"they are motherless and fatherless so that we can be their mothers and fathers"

Nikimqoute mama mmoja wa kiingereza "every individual matters, every one has a role to play"

Sasa nikiweza fanya au kusababisha mwingine afanye hata kimoja wapo, l feel l have performed what l was destined to do. Ndipo life yangu inapokuwa na purpose!
 
Nakubaliana na wewe, lakini kiuhalisia

Unadhani wote tunaona maaana ya maisha kwa mtazamo mmoja??

Back
Top Bottom