Kaunga
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 12,530
- 13,467
Mmmh, umenipa maana mpya aisee
Umesema point kubwa sana, unaweza jikuta uko bize kutafuta unayokosa ukashindwa sahau shukuru kwa uliyonayo.
Unajua kwa nini nimefikia kujiulizwa hili swali? Unaweza jikuta unatimiza malengo yamaisha ya mtu mwingine ukasahau ya kwako, hata kama ya mwingine ni mazuri kiasi gani, lakini kama hayana mantiki kwako kwa nini uyatimize?
Forgive my dullness Kongosho, ili nielewe vizuri naomba mfano wenye kauhalisia kidogo; maana kama haujui malengo (purpose) yako, utajuaje kama malengo yako SIO kuwasaidia wengine wafikishe malengo yao?