Sometimes namuonea huruma sana Zitto Kabwe

Sometimes namuonea huruma sana Zitto Kabwe

Nataka leo niwe mtabiri.

Natabiri ZZK hatoenda ACT kamwe....Kina Mwigamba na Kitila walie tu, wamuulize Mpendazoe...ZZK ameshasoma mchezo, ACT imechuja hata kabla haijaanza....

Salama ya ZZK iko ndani ya CDM and not otherwise.....

una akili sana !
 
Msaliti utamjua tu, angalia kati ya watu wote ni yeye kaonyesha ishara ya tofauti, mguu katupia dah!
attachment.php

watu wapo kwny shida ye katupia,teh,teh
 
Siasa za kisasa na umaskini ni maji na mafuta. Zito aliponzwa na mshiko!
 
zito ni jembe, akili ya zito ni zaidi ya viongozi na wanachama wote wa chadema kwa pamoja
 
Mkuu hizi hapa habari zake na comments mbili tatu aizopata, zingine hakuna kabisa utadhani ametupia ''just now''



Mkuu unampekenyua!!

Umaarufu wake kwishney! Ndo wavaa mitepesho wajifunze kwa huyu!!
 
Siipendi hii tabia ya JK ya kuwasaliti wanasiasa wenzake.

Zitto ni Mwanasiasa anayehitaji malezi ya kisiasa kama sisi.JK hamtendei haki na pia ndugu Zitto nae afikie hatua ajue kuwa nyumbani kwake ilikua CHADEMA tu.

Wanasiasa wanaowatumia wanasiasa wenzao hawafai.Wanaangamiza dhamira ya ujenzi wa demokrasia ya kweli.

it is ver sad
 
Huyu Big G (ZZK) kapoteza ladha kama bongo fleva. katumiwa na sasa chama kile kile ama viongozi wale wale (CCM) wamemtema baada ya sukari yake kwisha mdomoni kwani lengo lao limeshika hatamu. CCM wanajuwa nini wakifanyacho chini ya curious president.
 
Mkuu hizi hapa habari zake na comments mbili tatu aizopata, zingine hakuna kabisa utadhani ametupia ''just now''



maskini...hadi huruma
 
Badala ya kumuonea huruma Dr.Slaa kila siku anakuwa rais kivuli na watanzania wanazidi kumpuuza.
 
Kila chenye mwanzo kina mwisho......
Cc: Zitto
 
Last edited by a moderator:
Vijana wajinga sana sikuzote kukaa kumjadili mwanaume mwenzao kama wapo vijiwe vya salon ila mtambue Zitto ni mwanasiasa wa hadhi ya juu sio size yenu
 
Hilo ndilo tatizo la wanasiasa walio wengi hapa Tanzania na Africa kwa ujumla _U_S_A_L_I_T_I. WANASIIASA WOTE NI WASALITI NA NI WANAFIKI WAKUBWA WOTE WANAOJIFANYA WANATETEA WANYONGE SUBIRI WASHIKE HATAMU NDIO MTAWAJUA. SIWAAMIN CCM WALA SIWAAMIN CHADEMA NA SITAHANGAIKA NA CHAMA CHOCHOTE BALI NTAUNGA MKONO MAPINDUZI YOYOTE YA KIJESHI AU YA KUINGIA MSITUN IWE KIJESHI AU KIKUNDI CHOCHOTE CHA WAASI

Huo nao ni ufinyu wa mtazamo,hao waasi watakuwa malaika au?
Uzalendo hauangalii CCM,CDM au waasi ni moyo wa mtu indivisual. M23 ni waasi lakini wanaiba mali za Kongo.
 
huyo kijana tamaa zilimponza ngoja ajute ila namtabiri ataibukia NCCR uchaguzi ujao tofauti na hapo hana ujanja

Na kuna watu walikuwa wanampa sifa ya kuwa yeye ni maarufu akiondoka upinzani unakufa na yeye akaamini naku sahau waliomtoa kisiasa na wananchi walio msapoti kwenye case ya Buzwagi madhara ndo hayo wame mwacha
 
You know what they say "a life of boxer is not fearing going down; but rather fearing never to get up again and fight"

Kwenye siasa au maisha ukiwa mti wenye matunda jua utapopolewa mawe tu utake usitake na mara nyingi mshambuliwaji anakuwa ajajiandaa inachukua muda kujua tabia ya warushaji tofauti tofauti on the other hand na wewe unatakiwa ujikinge muda wote kuelewa mbinu zoa na madhumuni yao ndio ukomavu wenyewe.

Life comes with experience and people get different ones, Zitto akinyanyuka tena atakuwa kakoma zaidi kisiasa.
 
Back
Top Bottom