Sometimes namuonea huruma sana Zitto Kabwe

Sometimes namuonea huruma sana Zitto Kabwe

Amefutika kama upepo,tamaa ya pesa,umaarufu na madaraka vimemponza sana huyu dogo.Na bado.....
 
Msaliti utamjua tu, angalia kati ya watu wote ni yeye kaonyesha ishara ya tofauti, mguu katupia dah!
attachment.php
 
Hilo ndilo tatizo la wanasiasa walio wengi hapa Tanzania na Africa kwa ujumla _U_S_A_L_I_T_I. WANASIIASA WOTE NI WASALITI NA NI WANAFIKI WAKUBWA WOTE WANAOJIFANYA WANATETEA WANYONGE SUBIRI WASHIKE HATAMU NDIO MTAWAJUA. SIWAAMIN CCM WALA SIWAAMIN CHADEMA NA SITAHANGAIKA NA CHAMA CHOCHOTE BALI NTAUNGA MKONO MAPINDUZI YOYOTE YA KIJESHI AU YA KUINGIA MSITUN IWE KIJESHI AU KIKUNDI CHOCHOTE CHA WAASI

Inaonekana hujui unachokitaka!.
 
Msaliti utamjua tu, angalia kati ya watu wote ni yeye kaonyesha ishara ya tofauti, mguu katupia dah!
attachment.php

Alilewa Misifa Alijiona YEYE NDIO CHADEMA, NA CHADEMA NDIO YEYE. Ukiwa Mwanasiasa Ukawa Na Kauli Ya NIMEFANYA BADALA YA TUMEFANYA Moja Kwa Moja Umeonesha Kwamba Wewe Ni MBINAFSI.
NO CORRUPTION NO CCM
 
huyo kijana tamaa zilimponza ngoja ajute ila namtabiri ataibukia NCCR uchaguzi ujao tofauti na hapo hana ujanja
 
zzk kambwe alilewa sifa akajiona yeye ni bora kuliko chama akajitenga na wenzake kwa kujiona yeye bora zaid wahenga walisema mbio za siafu huishia ukingoni
 
nakuunga mkono pointi yako mkuu! Yaani hapa watu tunajadili kwa kufuata mkumbo tu! Siku zote watanzania mnaambiwa siasa ni mchezo mchafu lakini hamuelewi! Huwezi jua kunanini hapa katikati juu zitto! Yawezekana zitto ni msaliti kweli au sio msaliti! Siasa ni mchezo mchafu, watanzania tuwe macho.

ukikaa na kinyesi muda mrefu kuna wakati unaweza ukahisi kama ugali ukatakakukila lakini ukifikisha karibu na mdomo pua zitakupa taarifa kuwa hichi ukilacho ni hatari kwa uhai wako!
So kwa hili la zitto hata iweje ukweli uko palepal ekuwa kijana alilewa sifa,majigambo,na uduni wamalezi ulichangia kuku bali kulamba mabilioni ya c.c.em ili aue upinzani na hasa chadema.
Kumbukeni watetezi wake akina mwigulu,nape,ritz 1,january makamba na wengineo toka c.c.m walivyoshupaa ili kumpigia debe mtumwa wao?
Yaani c.c.m ambao tulitegemea washangilie chadema inakufa eti hao hao ndiyo waliku wakiipigani chadema isiganyike iendelee kuwa imara???
-nipo tayari kuifia chadema maishani.
 
Nataka leo niwe mtabiri.

Natabiri ZZK hatoenda ACT kamwe....Kina Mwigamba na Kitila walie tu, wamuulize Mpendazoe...ZZK ameshasoma mchezo, ACT imechuja hata kabla haijaanza....

Salama ya ZZK iko ndani ya CDM and not otherwise.....

true indeed....
 
zitto amekuwa kama chibuda...akuna atakalo sema likaaminika.
 
Mmesahau kuwa Kikwete na January ni Majasusi waliosoma na kufudhu... walijua weakness ya Zitto, waka capitalized... Tamaa ya fedha, madaraka, umaarufu na connections! Bahati mbaya sana Zitto hakujua kuwa Ujerumani na Marekani ni kitu kimoja kwenye Maslahi... Sasa hivi haaminiki tena si CCM tu hadi ACT aliyoianzisha wanashangaa fedha zimekata ghafla bin vuu... With all due respect Zitto ni wa Kupiga mawe hadi afe kwa usaliti wa kudhoofisha mapambano dhidi ya dhulma za mali ya Watanzania... Mtanzania mwenye uchungu wa kuona wagonjwa wanalala 4 kwenye kitanda kidogo mahospitalini hawawezi kuwaonea huruma wasaliti wenye kufurahia ufisadi wa matrillions... yeyote mwenye kuhujumu mapambano ya haki vs ccm asulubiwe bila huruma...
Katika watu wa kulauiwa sana kuhusu kumuharibu Zitto ni January Makamba na Kikwete
 
Huyu jamaa hastahili kuonewa huruma kajiharibia mwenyewe kwa tama zake na usaliti, sasa kabaki na majuto mjukuu. Nakumbuka katika uchaguzi wa 2010 ziliwekwa hapa details za namba ya simu yake ambayo ilikuwa ikiwasiliana na simu ya Rostam mwezi wa nane 2010 miezi miwili tu kabla ya uchaguzi mkuu. Details hizo zilionyesha kwamba walikuwa wanaongea kwa vipindi vifupi vifupi vya dakika mbili mpaka 5 katika na baadaye kuna kuwa na gap na masaa mawili au mawili na kitu. Deyails hizo zilionyesha waliongea mara tano au sita kwa siku hiyo moja. Alipoulizwa hapa alikuwa anaongea nini na Rostam miezi miwili kabla ya uchaguzi huku chama chake kikiwa katika ushindani wa viti vya ubunge vya majimbo na Urais alidai kwamba ni kweli ile namba ya simu ni ya kwake ila hajaitumia kwa muda mrefu. Akaulizwa kama hujaitumia kwa muda mrefu hushangai namba hiyo ilikuwa inawasiliana na simu ya Rostam? Je, simu hiyo umempa mtu aitumie bila kubadili namba? Akalikimbia swali hakujibu.

December 2012 akaandika hapa uzi mrefu wa kuomba radhi kwa Viongozi na wanachama wa CHADEMA kwa matendo yake mbali mbali ndani ya CHADEMA na kuahidi kujirekebisha kuanzia 2013. Watu wakamuuliza hapa ni matendo gani aliyoyafanya ndani ya CHADEMA ambayo hakustahili kuyafanya na hatimaye kuamua kutubu? Akalipotezea swali na kama tujuavyo tamaa zake na usaliti viliendelea. Kajiharibia mwenyewe huyu hastahili kabisa kuonewa huruma.
 
eee bhana hicho kipondo nimekisia kwa mbaaali , hebu niweke sawa mkuu .
 
View attachment 174005

Rudisha kumbukumbu nyuma mpaka kipindi cha Saga la Buzwagi, Zitto akatimuliwa bungeni, nchi ikazizima kwa ajili yake, ''Baba yake'' Dr.Slaa akamtia moyo kijana akamwambia tunaenda kuishitaki CCM kwa watanzania juu ya huu ufisadi. Zitto akashika hatamu, akawa mtu muhimu mbunge wa kitaifa. Akawa mwenyekiti wa kamati nyeti sana, akalipua ufisadi, chama kikamwamini zaidi kikampa uwaziri kivuli Mambo ya Fedha.........................................................................Zitto akashika hatamu mitandaoni, akawa mwana JF, ikiletwa mada ya Zitto humu page si chini ya 20. Hata mimi nikawa CHADEMA aliyevutiwa na Zitto. Na wengi tu humu tuliipenda CHADEMA because of Zitto

Hali ya Sasa
Hali ya sasa inatia simanzi sana, japo hatua zilizochukuliwa na Chama naziunga mkono mia. Lakini namuonea huruma sana. Watu hawamuamini tena, amebaki Zitto wa facebook na twita. Sio yule tena wa kuitisha press conference akiwa na Dr.Slaa pembeni. Hata anapoibua ufisadi facebook/twita hakuna wa kumuunga mkono, watu wanamzodoa tu.Zitto amekuwa mtu wa kuzodolewa wakati alikuwa role model wa vijana katika siasa? Jamiiforums ndio usiseme,
shukrani kwa Mods kwa kuficha threads zinazomnanga Zitto.
Kibaya zaidi haheshimiwi tena,wanaPAC hawamuheshimu tena chair wao.Kuna tetesi zinaenea kwny duru kuwa Zito amekula kichapo katika kugombea demu huko Malaysia.habari kamili zitawajia
My Take: Zitto ni case study ya Vijana wanasiasa

Wewe umetumwa na mabwana zako, wacha uongo, zito siye akiyepigana malesia, zito amewaacha wenzake huko salaama kabisa naye akaenda Madina kutimiza wajibu wake wa kidini. La pili zito is still very popular na ni kiongozi shupavu . Hivi sasa Cdm imeungana na Maswi kumharibia sifa, na hiyo deal imefeli. Wakati zitto anapigana na ufisadi na oesa za escrow kina mbowe na tundu lisu wamekaa kimya, bali wanampaa silaha maswi ambaye amekuwa fisadi number one kumshinda hata Jairo.

Wacheni siasa za maji taka
 
ukikaa na kinyesi muda mrefu kuna wakati unaweza ukahisi kama ugali ukatakakukila lakini ukifikisha karibu na mdomo pua zitakupa taarifa kuwa hichi ukilacho ni hatari kwa uhai wako!
So kwa hili la zitto hata iweje ukweli uko palepal ekuwa kijana alilewa sifa,majigambo,na uduni wamalezi ulichangia kuku bali kulamba mabilioni ya c.c.em ili aue upinzani na hasa chadema.
Kumbukeni watetezi wake akina mwigulu,nape,ritz 1,january makamba na wengineo toka c.c.m walivyoshupaa ili kumpigia debe mtumwa wao?
Yaani c.c.m ambao tulitegemea washangilie chadema inakufa eti hao hao ndiyo waliku wakiipigani chadema isiganyike iendelee kuwa imara???
-nipo tayari kuifia chadema maishani.

UMEANDIKA kwa HISIA KALI SANA .
 
View attachment 174005

Rudisha kumbukumbu nyuma mpaka kipindi cha Saga la Buzwagi, Zitto akatimuliwa bungeni, nchi ikazizima kwa ajili yake, ''Baba yake'' Dr.Slaa akamtia moyo kijana akamwambia tunaenda kuishitaki CCM kwa watanzania juu ya huu ufisadi. Zitto akashika hatamu, akawa mtu muhimu mbunge wa kitaifa. Akawa mwenyekiti wa kamati nyeti sana, akalipua ufisadi, chama kikamwamini zaidi kikampa uwaziri kivuli Mambo ya Fedha.........................................................................Zitto akashika hatamu mitandaoni, akawa mwana JF, ikiletwa mada ya Zitto humu page si chini ya 20. Hata mimi nikawa CHADEMA aliyevutiwa na Zitto. Na wengi tu humu tuliipenda CHADEMA because of Zitto

Hali ya Sasa
Hali ya sasa inatia simanzi sana, japo hatua zilizochukuliwa na Chama naziunga mkono mia. Lakini namuonea huruma sana. Watu hawamuamini tena, amebaki Zitto wa facebook na twita. Sio yule tena wa kuitisha press conference akiwa na Dr.Slaa pembeni. Hata anapoibua ufisadi facebook/twita hakuna wa kumuunga mkono, watu wanamzodoa tu.Zitto amekuwa mtu wa kuzodolewa wakati alikuwa role model wa vijana katika siasa? Jamiiforums ndio usiseme,
shukrani kwa Mods kwa kuficha threads zinazomnanga Zitto.
Kibaya zaidi haheshimiwi tena,wanaPAC hawamuheshimu tena chair wao.Kuna tetesi zinaenea kwny duru kuwa Zito amekula kichapo katika kugombea demu huko Malaysia.habari kamili zitawajia
My Take: Zitto ni case study ya Vijana wanasiasa

OKW BOBAN SUNZU dogo alilete zile tabia za kitoto akafikiri anafight na chadema anafight na slaa na mbowe kumbe wale wamekwa kama dhamana sasa hivi wanmfuatilia mpaka chooni.....................aliposimmishwa akimbilia kwenye media na kutafuta huruma ya watanzania na alipofiak kwenye media akasema yaliyo yake akifikiri watanzania ni wa kama enzi ya nyerere ........shame one zitto
 
Back
Top Bottom