Sometimes namuonea huruma sana Zitto Kabwe

Umasikini na kutokuona mbali nini kitatokea kesho Ccm wajanja sana walimlengesha kama panya analengeshewa (g,nuts)akaingia sasa wakopembeni wa mchekea tumboni
 
hilo ndilo tatizo la wanasiasa walio wengi hapa tanzania na africa kwa ujumla _u_s_a_l_i_t_i. Wanasiiasa wote ni wasaliti na ni wanafiki wakubwa wote wanaojifanya wanatetea wanyonge subiri washike hatamu ndio mtawajua. Siwaamin ccm wala siwaamin chadema na sitahangaika na chama chochote bali ntaunga mkono mapinduzi yoyote ya kijeshi au ya kuingia msitun iwe kijeshi au kikundi chochote cha waasi

binadamu aliyekata tamaa ni sawa na mfu!
 
Waberoya, you are more than this! In the abundance of water only a fool is thirsty!

Cover the top, attack the bottom!

sijaona ukikata kiu yangu mkuu, naona viingereza vingi na believe me, hautaweza kuweka hata kimoja ila utaishia kusema ngonjera, nahau, methali na quotes nyingi mpaka z akina Einstein.....bahati mbaya hata Lissu ukimuuliza atasema dogo,

''siasa tu hizi''

pole
 
Sasa mkuu unanilazimisha kuaminini hii ID ina uhusiano mkubwa na na zitto au ni Zitto mwenyewe.

Unajuwa kwa nini? subiri nifike nyumbani nikiwa na pc nitakuwekea mabandiko yako hapa.

Zitto ni mnafki na msaliti ataungwa mkono na wanafki wenzake tu.

hee, Matola kama hizo past posts zitajibu maswali yangu itakuwa vizuri

Nategemea wewe ni mtu mzima 'humu JF' umeona mengi na kushuhudia twist nyingi...pia nategemea sana unajua kuna watu huwa hawaburuzwi humu

mimi kwa akili zangu ndogo, sijaona wala hakuna aliyeweza kunithibitishia usaliti wa zitto kwa CDM, nana story na maneno sijaona uthibitisho wowote

Mimi nikiweka kitu hapa naweka na uthibitisho, hua sinunui CCM au CDM anasema nini!!! nakuwa mimi tu nikitambua hawa wote ni wanasiasa na sifa zo ni zile zile.....they are not saint, never

Leo Tundu Lisu anafanya kila jitihada Jumbe aonekane ni mtu mwema na hakuna na kosa lolote la kufanya alihofanywa

Jumbe na kambona walichofanywa na Nyerere ni sawa kabisa na Mbowe alichomfanya zitto!! ni mgongano wa mawazo na mbabe apite!

wewe na familia yako, weka mama yako na baba yako pale, mkeo na watoto wako wote hata niwape allowance ya mwaka mzima , kila siku laki na nusu leo hii ya kutafuta ushahidi hutaweza kuuweka, utaishia kurukaruka na kusema mengi sana

unajua kwenye maisha ukiishadanganywa na wanasiasa, ni kama wamekuvua utu, kujitetea huwezi, kuwatetea huwezi ILA ULIISHDANGANGANYWA....... personally nimekuwa mtu wa kujiuliza bila kujali nani nasema na wakati gani, nitamuuliza zitto, nitamuuliza kikwete, nitamuuliza yeyote yule.......

pia nitampa sifa yeyote yule regardless anatoka chama gani na wakati gani

media karibu zote zilijua a kugundua kuwa tatizo ni uchaguzi hazikuficha hilo.......Mbowe alimwogopa Zitto , kinyago alichotengeneza wenyewe what a shame!!

Is just me, I and myself
 
Zitto lazima awaache midomo wazi mnamjua kuwa ni shujaa wa kwanza nchini kuifanya chadema ipendwe, ni mmoja wa vijana ambaye alikuwa anafuatiliwa bungeni pale anapochangia mjadala, ana mvuto mkubwa wa kisiasa na kweli kabisa bila kumung'unya maneno ni mpenda haki ya watu wote

Zitto Kabwe ni jembe sana. Ukitaka kuhakiki angalia kwenye uji ulioandikwa ni kijana gani mwenye kupendwa nchini? utakuta wengi wamesema ZZK, so kwa nini abezwe. Kaza buti ZZK kunapambazuka vizuri
 
Comrade kwa kifupi tu ni kwamba sina uwezo wa kubadili kile unachoamini na sina uwezo wa kukuthibitia kile unachotaka ingawa naamini ukweli unaujuwa kwa sababu hata majambazi yaliokamatwa live kwenye matukio yapo yanayoshinda kesi.

Mimi najuwa wewe upo upande wa Chadema au hata kama haupo haijarishi ningependa unipe wewe tafsiri au ufafanuzi ni vipi Zitto Kabwe alikuwa na mawasiliano ya karibu na deputy Director wa idara ya usalama wa Taifa mwaka 2010 wakati chama chake kipo vitani kwenye uchaguzi mkuu na huku kikifanyiwa kila hujuma na idara ya usalama wa Taifa? unakumbuka zile msg zilisambazwa na nani?

Vipi mabilioni ya Uswiss majina anatutangazia lini? Je unafahamu walk out ya kwanza ya bunge hili kufikisha ujumbe kwamba Kikwete ameingia madarani kwa ghiriba Zitto na kundi la wabunge wake hakuingia bungeni? unajuwa ni kwa nini

Well last but list kama unadhani Mbowe alikuwa anamuogopa Zitto hayo ni mawazo yako ila Zitto alishauliwa na watu wenye hekima aondowe jina lake hakukatwa jina.

Sijui exactely kama na wewe uliipenda Chadema kupitia mkumbo wa Zitto Kabwe, kama unailewa Chadema kitambo Bob Makani chini ya uenyekiti wake aliiuwa Chadema kwa kila uchaguyzi kumuunga mkono Lipumba.

Mbowe aliposhika uenyekiti cha kwanza alijenga chama siyo jina lake alibadiri bendera ya chama na alibuni kombati za chama na kubwa zaidi aiikubali kupoteza ubunge wake wa Hai ili agombee urais huku akijuwa wazi Kikwete wa mwaka 2005 alikuwa chaguo la mungu huwezi kumshinda bali yeye alijali kukitangaza chama.

Sasa ona maajabu ya huyu genius wakn Zitto Kabwe baada tu ya ubhaguzi wa 2010 akatangaza kugombea kuwa kiongozi wa kambi ya upinzani huku akijuwa wazi mwenyekiti wake pia ni mbunge. huyu ndio msomi genius Zitto Kabwe ambaye hata moshi wa bomu la machozi haujui.

Namchukia sana Zitto kwa kuwapoteza vijana waliomuona ni role model wao, yeye ni billionaire sasa hivi wakati wenzake wameharibikiwa cha kusikitisha wengine ni PHD holder kabisa kama huyo swaiba wako Kitila Mkumbo.

Eti Kafulila naye kakaribishwa kwenye bhama anataka kumpinduwa Mbatia!! hiyi ndio product za Zitto.

Need i say more?......
 
Umri wako unakuruhusu kuandika haya ndio maana siku hizi nakuja jukwaa hili kwa nadra sana kwa sababu fact zinaonesha limejaa watoto na mambumbumbu kama wewe.

Sidhani kama hata unjuwa Aman Warid Kaborou ndio mbunge wa kwanza Chadema? madhara ya kupenda mtu waulize waliompenda Mrema watakueleza vyema alivyohana NCCR wamebaki hoi na sasa karudi CCM.

Watu wenye akili zetu tuliikubali Chadema pale tu Nyerere alipotamka ndio chama pekee alichosoma sera zake na kuzikubali, Dr Slaa alikuwa CCM mwenyekiti Mtei katibu Bob Makani.
 
Sasa mkuu unanilazimisha kuaminini hii ID ina uhusiano mkubwa na na zitto au ni Zitto mwenyewe.

Unajuwa kwa nini? subiri nifike nyumbani nikiwa na pc nitakuwekea mabandiko yako hapa.

Zitto ni mnafki na msaliti ataungwa mkono na wanafki wenzake tu.

nalikuchukua hilo kama asaiment
 
minl namuonea huruma para lake tu !
 
Attachments

  • 1406719192124.jpg
    1406719192124.jpg
    36.4 KB · Views: 42
Comrade kwa kifupi tu ni kwamba sina uwezo wa kubadili kile unachoamini na sina uwezo wa kukuthibitia kile unachotaka ingawa naamini ukweli unaujuwa kwa sababu hata majambazi yaliokamatwa live kwenye matukio yapo yanayoshinda kesi.

Mimi najuwa wewe upo upande wa Chadema au hata kama haupo haijarishi ningependa unipe wewe tafsiri au ufafanuzi ni vipi Zitto Kabwe alikuwa na mawasiliano ya karibu na deputy Director wa idara ya usalama wa Taifa mwaka 2010 wakati chama chake kipo vitani kwenye uchaguzi mkuu na huku kikifanyiwa kila hujuma na idara ya usalama wa Taifa? unakumbuka zile msg zilisambazwa na nani?

Vipi mabilioni ya Uswiss majina anatutangazia lini? Je unafahamu walk out ya kwanza ya bunge hili kufikisha ujumbe kwamba Kikwete ameingia madarani kwa ghiriba Zitto na kundi la wabunge wake hakuingia bungeni? unajuwa ni kwa nini

Well last but list kama unadhani Mbowe alikuwa anamuogopa Zitto hayo ni mawazo yako ila Zitto alishauliwa na watu wenye hekima aondowe jina lake hakukatwa jina.

Sijui exactely kama na wewe uliipenda Chadema kupitia mkumbo wa Zitto Kabwe, kama unailewa Chadema kitambo Bob Makani chini ya uenyekiti wake aliiuwa Chadema kwa kila uchaguyzi kumuunga mkono Lipumba.

Mbowe aliposhika uenyekiti cha kwanza alijenga chama siyo jina lake alibadiri bendera ya chama na alibuni kombati za chama na kubwa zaidi aiikubali kupoteza ubunge wake wa Hai ili agombee urais huku akijuwa wazi Kikwete wa mwaka 2005 alikuwa chaguo la mungu huwezi kumshinda bali yeye alijali kukitangaza chama.

Sasa ona maajabu ya huyu genius wakn Zitto Kabwe baada tu ya ubhaguzi wa 2010 akatangaza kugombea kuwa kiongozi wa kambi ya upinzani huku akijuwa wazi mwenyekiti wake pia ni mbunge. huyu ndio msomi genius Zitto Kabwe ambaye hata moshi wa bomu la machozi haujui.

Namchukia sana Zitto kwa kuwapoteza vijana waliomuona ni role model wao, yeye ni billionaire sasa hivi wakati wenzake wameharibikiwa cha kusikitisha wengine ni PHD holder kabisa kama huyo swaiba wako Kitila Mkumbo.

Eti Kafulila naye kakaribishwa kwenye bhama anataka kumpinduwa Mbatia!! hiyi ndio product za Zitto.

Need i say more?......

yes matola

proof ya usaliti,ulichoweka ni story hata vijiweni zipo

nasubiri
 
Hilo ndilo tatizo la wanasiasa walio wengi hapa Tanzania na Africa kwa ujumla _U_S_A_L_I_T_I. WANASIIASA WOTE NI WASALITI NA NI WANAFIKI WAKUBWA WOTE WANAOJIFANYA WANATETEA WANYONGE SUBIRI WASHIKE HATAMU NDIO MTAWAJUA. SIWAAMIN CCM WALA SIWAAMIN CHADEMA NA SITAHANGAIKA NA CHAMA CHOCHOTE BALI NTAUNGA MKONO MAPINDUZI YOYOTE YA KIJESHI AU YA KUINGIA MSITUN IWE KIJESHI AU KIKUNDI CHOCHOTE CHA WAASI
ungekuwa karibu yng ningekupa bonge la "five" una mawazo sawa kabisa na yngu.hii nchi kwa sasa inafaa mapinduzi maana fikra za wa tz wengi si pevu hata elimu ya uelewa itolewe hadi jasho la ulimi ,umasikini wa hali na mali bdo ni kikwazo kikubwa sana w2 ku adapt changei.system imefanya kila m2 awe mbinafsi.dictatorship gvt ndo inafaa kwa sasa
 
yes matola

proof ya usaliti,ulichoweka ni story hata vijiweni zipo

nasubiri

Mkuu Waberoya hapa siyo mahakamani kwamba tunabishania vifungu vya kisheria, hebu tupe tu ufafanuzi wa mawasiliano ya karibu kati ya Jack Nzoka na Zitto Kabwe acha porojo.
 
Last edited by a moderator:

Mawasiliano kati ya Zitto na Jack Nzokka. Hivi kinajulikana kweli kile kilichokuwa kinajadiliwa katika hayo mawasiliano? Hiki kweli ni kithibitisho cha usaliti wa mtu? Jack Nzokka kwa nafasi yake anaweza kufanya mawasiliano na mtu yeyote yule aidha huyo mtu anataka au hataki hayo mawasiliano. Kuna tofauti ya kuzungumza, kuzungumzisha na kuzungumzishwa. Kama kilichopo ni siku fulani saa fulani namba fulani ilimpigia namba fulani basi kuna tatizo.

Sasa kabla hujaomba ufafanuzi unaouomba, huoni kuwa kuna ufafanunuzi ulitakiwa kuuomba tangu mwanzo kwa watu waliotoa hizo shutuma. tangu 2010, kama kweli hayo mawasiliano yalijuwa na vitu vya msingi vya kisaliti, kweli mpaka leo huyu Zitto angekuwa yupo tu CDM! mahakama au sio mahakama jamaa bado anaingia bungeni kama mbunge wa CDM.

Mtu unaemuamini katoa habari na we ukaiamini kwa sabab unamuamini mtoa habari haifanyi hiyo habari kuwa kweli au majuisho yanatokana na hiyo habari kuwa ya kweli!!
 
Umejaza maandishi kibao hakuna lolote la maana uliloeleza, wacha nisubili majibu ya Waberoya naona kuna watu M-Pesa zimewalevya mpaka akili.
 
Mkuu ni wapi nimemchafua Zito,thread yote inamuonea huruma Zito anavyoteketea,onyesha nilipomchafua

Hapa ndo umemchafua nanukuu: Kuna tetesi zinaenea kwny duru kuwa Zito amekula kichapo katika kugombea demu huko Malaysia.habari kamili zitawajia. Mwisho wa kunukuu.Haya maneno si ndo unamchafua au ndo kumsifia. HABARI KAMILI ZITAWAJIA mbon mpak sasa hazijatuijia au mpaka uchaguzi wa viongozi uishe ndo zitufikie.
 
unajua mama ya tetesi
 
Mkuu Waberoya hapa siyo mahakamani kwamba tunabishania vifungu vya kisheria, hebu tupe tu ufafanuzi wa mawasiliano ya karibu kati ya Jack Nzoka na Zitto Kabwe acha porojo.

Matola I told you from very very beggining huna na huwezi kuleta uthibitisho wowote ule

kwa sasa unageuza kibao!!

yaani umenichekesha mpaka basi

haya endelea na siasa zenu
 
Back
Top Bottom