NYACHA
JF-Expert Member
- Dec 26, 2013
- 273
- 66
Mimi naamini amefanyiwa character assasination tu,kuna kitu nyuma ya pazia siku tukikijua tutakata tamaa ya siasa...hakuna usaliti wowote alioufanya zitto.
Nakuunga mkono pointi yako mkuu! yaani hapa watu tunajadili kwa kufuata mkumbo tu! Siku zote watanzania mnaambiwa siasa ni mchezo mchafu lakini hamuelewi! Huwezi jua kunanini hapa katikati juu ZITTO! Yawezekana ZITTO ni MSALITI kweli au SIO MSALITI! SIASA NI MCHEZO MCHAFU, WATANZANIA TUWE MACHO.