Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,267
Huo ulikuwa ni uamuzi wako na tuna uheshimu sana ila kwa sasa tuunganishe nguvu zetu kwa amani na kwenye njia sahihi ili tulipiganie taifa letuNliipenda siasa sababu ya zitto kabwe, ila mlipomfukuza na mm nikaacha kufatilia hayo mambo y a siasa,,
Sasa vijana tunapga mikeka tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app