Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 58,072
- 134,443
- Thread starter
- #141
View attachment 174378CC matola , Waberoya
mbona sielewi haka ka picha
View attachment 174378CC matola , Waberoya
Umesema kweli mkuu na bado zzk ana nafasi ya kurejea cdm na akapata nafasi itakayo iongeza nyota yake kuzidi kuchomoza kisiasaZitto aliingizwa mkenge na Kitila; kama angebakia CDM angekuwa mwanasiasa kijana hatari sana hapa Africa.
Hata hivyo bado ana nafasi kama ataamua kufanya kazi na CDM - CDM ni brand.
Umenisoma nilikokuwa nafikiri; sikutaka kufika huko lakini kama kama Zitto akiamua kurudi CDM basi itakuwa na impact kubwa sana kwa politics za Tanzania; ita nullify kila kitu hata haya namnunuzi yatakuwa hayana maana yoyote ile.Umesema kweli mkuu na bado zzk ana nafasi ya kurejea cdm na akapata nafasi itakayo iongeza nyota yake kuzidi kuchomoza kisiasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Zitto KabweUmenisoma nilikokuwa nafikiri; sikutaka kufika huko lakini kama kama Zitto akiamua kurudi CDM basi itakuwa na impact kubwa sana kwa politics za Tanzania; ita nullify kila kitu hata haya namnunuzi yatakuwa hayana maana yoyote ile.
Yes; bado naiona nafasi ya Zuberi CDM.
Ungeweka akiba ya maneno mkuuZitto maadamu hakutaka kufuata ushauri wangu,umaarufu wake utazidi kuporomoka siku hadi siku,mambo yatamuendea magumu zaidi pale atakapokosa kila kitu ifikapo 2015na akijidanganya kuamia chama chochote ndio atapotea kabisa kwenye jukwaa la siasa
Na hao wanaohama je?Zitto yuko clouds fm anongea unafiki mtupu.
Tamaa mbaya sana huyu kijana anapenda sana fedha zinamponza.
ZZk ameji aribia kabisa.
Aende wapi? Acha abaki na chama chake,,Umesema kweli mkuu na bado zzk ana nafasi ya kurejea cdm na akapata nafasi itakayo iongeza nyota yake kuzidi kuchomoza kisiasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Bahati mbaya sana hata yeye hakuwa na huruma kwa chama. Kuanzisha ACT ilikuwa strategy ya kuiumiza CHADEMA lakini sasa yuko katika maumivu makali kuliko CHADEMA. What goes around comes around.
Ipo siku tena mtamuhitaji slaa, na mtasema ivi ivi,Bahati mbaya sana hata yeye hakuwa na huruma kwa chama. Kuanzisha ACT ilikuwa strategy ya kuiumiza CHADEMA lakini sasa yuko katika maumivu makali kuliko CHADEMA. What goes around comes around.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ana uwezo wa kujenga hoja; anafanya tafiti nyingi; msomi na ana msimano wa kisiasa.
Kwa wapenda amani ya nchi yetu na ustawi wa watanzania tunamuhitaji sana mh zzk tuunganishe nguvu zetu ili tuweze kufikia malengo yetuAna uwezo wa kujenga hoja; anafanya tafiti nyingi; msomi na ana msimano wa kisiasa.
He still has a room change to change political atmosphere of this nation hasa akiamua kurudi ama hata kushirikiana na CDM.
Yes; Zitto Kabwe.