Komeo
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 2,498
- 1,172
Anafuata njia ile ile ya Amani Walid Kaburu ambaye alianzia CHADEMA akajiona yeye ndo CHADEMA akahamia CCM akifikiria CHADEMA kitakufa kwa kuondoka kwake, lahaula, hakikufa, na sasa ni kada wa CCM. ACT ni njia ya Zito kujiunga na CCM.
Unaweza kufika mahali ukahitimisha kwamba wanasiasa wa Kigoma wananunulika kirahisi sana na hawaaminiki. Binafsi siamini hivyo, naamini bado wapo wengine wanaoaminika. Hebu sasa hao wengine waichukue hii kama changamoto kwao ili kwa matendo yao wathibitishe kuwa wanasiasa wa Kigoma wanaaminika na hawanunuliki.