Wewe na Zitto wapi na wapi acha ujinga ukoo wenu wote hakuna hata moja anaweza kujifananisha na Zitto.
Ofcourse, namjua huyu, ukoo waohawana tabia ya usaliti na u-opportunist kama wa huyu Zana Za Kilimo. Na sishauri ukoo wowote ujivunie tabia kama za huyu bwana,,Sio tabia nzuri hata kidogo...By the Way,duniani tunapita tu, tenda wema tu uende zako, huna haja ya kufanya hila ili uendelee kutesa duniani (a.k.a njiani).