Something Special on Haya Girls

Something Special on Haya Girls

Asante kwa kuweka hili wazi. Hizi soft skins wanazosema wahaya wa vijijini wanazo huko dijazoona bado, nimeenda na kukaa huko Kyerwa hadi milima ya Murongo, leo ndio nasikia eti wadada wa kihaya wana sura nzuri na ngozi nyororo kisa hawafanyi kazi ngumu kama wa mikoa mingine. Sijui hizo takwimu zatoka wapi Jamani...na vumbi lile...mmmmh...

Habar yako mtani
 
Bila shaka huyu mtu kuna kitu amefanywa na mabinti wa kichaga
 
Back
Top Bottom