utafiti
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 12,783
- 7,671
yah..na iliwaka siku nyingi.
siwezi kuizima bana!!
Na hiyo safari sijui ya sinza kuelekea wapi inakuaje??
yah..na iliwaka siku nyingi.
siwezi kuizima bana!!
niamini shemeji..
nampenda dada yako sana.
Siku nikikushika nahakikisha ukirudi nyumbani mkeo atakusahau wewe ngoja tu........
Asante kwa kuweka hili wazi. Hizi soft skins wanazosema wahaya wa vijijini wanazo huko dijazoona bado, nimeenda na kukaa huko Kyerwa hadi milima ya Murongo, leo ndio nasikia eti wadada wa kihaya wana sura nzuri na ngozi nyororo kisa hawafanyi kazi ngumu kama wa mikoa mingine. Sijui hizo takwimu zatoka wapi Jamani...na vumbi lile...mmmmh...Kuna mambi huwa yanaletwa hapa hamvini hata huwa sijui wenzangu mnayapata wapi! Mimi nimeishi kikazi ktk mkoa wa kagera kwa takriban 7yrs. Hiki mleta post unachotaka kutuaminisha mimi sijawi kiona. Huko wapo wazuri na wabaya pia wapo. Nimekwenda hadi wilaya ya karagwe ambako ndiko maumbo ya kinyarwanda yanakopatikana, but still kuna ambao huwezi tazama mara mbili. Mtazamo wangu, uzuri wa mwanamke ni wewe mwenyewe, ndo maana hata wenye sura ngumu wanaolewa....!
hapana kama hawa hawa wa ulimwengu huu..
Hizi bahati wengine ni ngumu kuzipata, kiwatengu changamkia tenda bhana!
So what?
Umeamka na pombe za krismas wew, Hivi msukuma utamwabia nini anayeamini mwanamke mzuri lazima awe na ngozi light??? Uzuri uko machozi kwa mtazamaji bwana!!!!!!
Nilikuwa napuuza sana sifa wanazopewa Wahaya
on their beauty..
Baada yakuwaona mwenyewe tena huko vijijini kwao. Nimeamini..
Kwa uzuri na muonekano wa nje, really Wahaya ni wazuri..
Rangi zao na maumbo yao ni mazuri!!
Wengi wao ni weusi afu rangi zao zinavutia..
Kifuani na kwa nyuma wengi wao wako vizuri
Sijui sasa kwa upande mwingine(behavior & sex)
wakoje, kupima hiki kipengele ni vigumu.
Compare na maeneo mengine, kwa uzuri nawapa credit!!
You chagga girls on ur natural beauty generally hamwafikii wahaya (si shindanishi) ila ndiyo ukweli huo..
Najua kuna watu watakuja hapa na dhana ya "beauty is on the eyes of beholder"... wapi bana? shape and colour ndiyo uzuri wa macho ulipo...
Kwenye sex ni mambwambwa... And not good in be
Nlikuwa namasoma kama guest ila nimelazimika kusaini ili nimpinge mkuu hapa.. Wahaya ni wazur kitandan tena sana. Nlibahatika kutoka na mabinti wa kihaya wawili kwa nyakati tofauti kiukweli wote wanaridhisha kwa bed,na mengi aliyosema mtoa mada ni sahihi ila SURA zao majority ni mbaya na wana tabia za kibabe yan anaamini lake ndo sahihi kwa asilimia zote na hawapend kupingwa
Pamoja na kwamba kuna ukweli ila kama ni mume wako anatamka haya mbele yako utajisikiaje nisaidieni MankaM embu njoo nisaidie tinna cute Preta KOKUTONA wifi zangu nsadieni mchagga mie sina mume hapa
litaje (at your own risk) tuanze kulisifu
Wahaya wanasifa nyingine.....aisee wanamajiiiii ambayo useless mwilini ni rahisi kuyamwaga akshi majinuun inapomkolea(katererooooo)