Something Special on Haya Girls

Something Special on Haya Girls

asante atleast nimetoa kutu

Yes binadamu tupendane wamasai ndugu zangu sana kuna dada rafiki angu alinitafutia dawa ya kukausha mafuta usoni.... Now niko softi kama yeye... Pia alitutapatia dawa ya sikio mtoto alipona mara moja yani ni mambo mengi sana.....
Wamasai hawana shida kwa kweli
Kwa upande wa wakaka ndio kabisaaaa peace and love
 
mi nawapenda watu wote ila kuna ambao nawapenda zaidi
ila sio ku base kwenye kabila
 
Wahaya ni wazur wengi wana maumbo mazuri sana na pia wapo romantic sana jambo moja hatari sana ni kuwa wengi sio wasafi. Nimebahatika kuishi Bukoba zaid ya mwaka mmoja wanawake sio wasafi kabisa ndio maana wengi wao wana magonjwa ya zinaa na yashakuwa chronic hasa yanayotokana na uchafu.Ukitaka kuamin uliza mtu yeyote anayefanya kaz idara ya afya kule atakuambia. Japo matatizo hayo hawez kuwa nayo kama amekulia sehem nyingine .Sorry to say

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Yes binadamu tupendane wamasai ndugu zangu sana kuna dada rafiki angu alinitafutia dawa ya kukausha mafuta usoni.... Now niko softi kama yeye... Pia alitutapatia dawa ya sikio mtoto alipona mara moja yani ni mambo mengi sana.....
Wamasai hawana shida kwa kweli
Kwa upande wa wakaka ndio kabisaaaa peace and love

MankaM tafadhali nifanyie hiyo mambo ya kukausha mafuta usoni
 
Last edited by a moderator:
yule wa kwangu sijui kabila gani?ngoja nimpigie simu maana ana sifa kama hizo juu ulizozitaja
 
Ayaaaaaaaa........ilikuwa imetosha sana mbona kwa sifa.......haikuwa na haja kuweka huu mstari.........kumbe ni threat eeeehhhh........jiaminini bana............

Mbony safo Pree?
 
Wewe nawe...aiiii...
Aibu naona mie...
Hiyo research yako ume publish kwenye journal gani niitafute????

Afu unashangaza kusema STDs zinatokana na uchafu?

Mbona mnapenda kutuonea kijicho hivyo...
Mlianza na kusema oooh wahuni ndio maana ukimwi unawamaliza...
Sasa Ukimwi umeamia mikoa ya nyanda za juu kusini...au nako kuna wahaya???? Au ukimwi si ugonjwa wa zinaa? Au nao ni wachafu????...ukiisafisha na vidudu vinakufa?

Mwehhhh mti wenye matunda...!

Back
Top Bottom