Something Special on Haya Girls

Something Special on Haya Girls

ukitaka jua kitu ni kizuri lazma ushindanishe na kizuri zaidi,so mtoa mada umewapa credit CHAGGA girls!!!!
 
Wewe nawe...aiiii...
Aibu naona mie...
Hiyo research yako ume publish kwenye journal gani niitafute????

Afu unashangaza kusema STDs zinatokana na uchafu?

Mbona mnapenda kutuonea kijicho hivyo...
Mlianza na kusema oooh wahuni ndio maana ukimwi unawamaliza...
Sasa Ukimwi umeamia mikoa ya nyanda za juu kusini...au nako kuna wahaya???? Au ukimwi si ugonjwa wa zinaa? Au nao ni wachafu????...ukiisafisha na vidudu vinakufa?

Mwehhhh mti wenye matunda...!

Usipunic hembu kama we kweli ni mhaya jaribu kumuuliza mtu yeyote kuhusu STDs Mkoa ule atakuambia. Na sio kwamba nawaponda maana binafs nimeoa kule na bby hana tatizo ila wengi wao hasa waliozaliwa kule ni kichefuchefu

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Vp kuhusu mikoa ya kati, usha wachunguza warangi, wanyiramba na wanyaturu, kwa figa na rangi hapo ndo mwisho, hakuna mfano tanzania nzima, tembea wewe, wahaya wana nini zaidi ya majivuno
 
Vp kuhusu mikoa ya kati, usha wachunguza warangi, wanyiramba na wanyaturu, kwa figa na rangi hapo ndo mwisho, hakuna mfano tanzania nzima, tembea wewe, wahaya wana nini zaidi ya majivuno

mhhh...mijitu ina miili kama chuma!! hakuna cha figure wala nini..
kama ni kutembea nimetembea kaka..
 
Ukweli pia wapo vizuri zaidi kwenye 6x6 ... Kwa mantiki kwamba niwatundu saaana kumtumia kidume ipasavyo...

Wanahakikisha ukimaliza unakubali kwamba mtangane ulikuwa ngoma ya heavyweight...!!!
 
Bila shaka huyu mtu kuna kitu amefanywa na mabinti wa kichaga

Eti Manka, Nka-keni, .....mmewafanya nini hawa jamaa?. Kila mara utasikia mabinti wa kichaga oohhh... Dada zetu sio wengi ki-hivyo, ila wanasakamwa kila kona ya nchi. Je mliokwenda nje ya nchi pia huko nako wanasakamwa???
 
Dada zetu hawa sio wengi ila sasa wamejaa kwenye zile sehemu muhimu , kama ma office ya maana na ma vyuo makubwa ya maana... Ndio maana wanakutana na watu hawa
 
Inasemekana wahaya wanaojiuza ni wale reject waliozaa kabla kuolewa. Wengi huwa wanalazimika kuondoka nyumbani kwa sababu hii maana kijana wa kihaya si rahisi kuoa mwanamke aliyezalia nyumbani. ni nadra kukuta msichana ambaye hajazaa kuijiuza.
 
Vp kuhusu mikoa ya kati, usha wachunguza warangi, wanyiramba na wanyaturu, kwa figa na rangi hapo ndo mwisho, hakuna mfano tanzania nzima, tembea wewe, wahaya wana nini zaidi ya majivuno

umesaha manyara unaweza kumweka mtoto wa kiirak na nani tanzania hii kwa sura? wahaya nao wazr?
 
You are very right..kwa kuongezea ni kuwa its not only haya..the whole of the interracustrine region including the Ugandans, Rwandese, and those from Burundi wapo hivyo
 
Usipunic hembu kama we kweli ni mhaya jaribu kumuuliza mtu yeyote kuhusu STDs Mkoa ule atakuambia. Na sio kwamba nawaponda maana binafs nimeoa kule na bby hana tatizo ila wengi wao hasa waliozaliwa kule ni kichefuchefu

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Umefanya research yako kwa sample ngapi? Kma ni mmoja haitoshi kutoa jibu

kama ni zaidi ya mmoja we ndo mhuni na unatia kichefuchefu...so either way you lose pally!
 
Back
Top Bottom