MankaM
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 9,448
- 3,070
Pamoja na kwamba kuna ukweli ila kama ni mume wako anatamka haya mbele yako utajisikiaje nisaidieni MankaM embu njoo nisaidie tinna cute Preta KOKUTONA wifi zangu nsadieni mchagga mie sina mume hapa
Na ndio maana nikamuuliza kulikoni kututaja taja lakini Preta akanijulisha kuwa analikubali kabila letu
Last edited by a moderator: