Something Special on Haya Girls

Something Special on Haya Girls

yaah..halafi ya wasukuma ya konyagi..
mwanamke anaendesha baiskeli na gunia la mahindi kama kilometa 20 kwa nini miguu isiote vigimbi?

Miguu ya bia usukumani ndio ilipo zaliwa.Ukijumlisha na tabia zetu plus ukarimu tisa kumi ile chocolate colour yetu uwiiiii no one like us.....
 
Miguu ya bia usukumani ndio ilipo zaliwa.Ukijumlisha na tabia zetu plus ukarimu tisa kumi ile chocolate colour yetu uwiiiii no one like us.....

hapa hujasema kweli..
Usukumani ni sehemu niliyoishi pia kwa muda mrefu.

wadada wakisukuma hadi kugundua uzuri wake ni shughuli pevu..
 
Back
Top Bottom