Mis powers
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 2,741
- 3,544
hawa si ndo wale naskiaga sijui wana chemchem sijui visima vya maji eti
Ha ha haa napita tu
hawa si ndo wale naskiaga sijui wana chemchem sijui visima vya maji eti
Nilikuwa napuuza sana sifa wanazopewa Wahaya
on their beauty..
Baada yakuwaona mwenyewe tena huko vijijini kwao. Nimeamini..
Kwa uzuri na muonekano wa nje, really Wahaya ni wazuri..
Rangi zao na maumbo yao ni mazuri!!
Wengi wao ni weusi afu rangi zao zinavutia..
Kifuani na kwa nyuma wengi wao wako vizuri
Sijui sasa kwa upande mwingine(behavior & sex)
wakoje, kupima hiki kipengele ni vigumu.
Compare na maeneo mengine, kwa uzuri nawapa credit!!
You chagga girls on ur natural beauty generally hamwafikii wahaya (si shindanishi) ila ndiyo ukweli huo..
Najua kuna watu watakuja hapa na dhana ya "beauty is on the eyes of beholder"... wapi bana? shape and colour ndiyo uzuri wa macho ulipo...
At her age wala hana sura mbaya....sura mbaya unazijua wewe?...hana nyama uzembe na umri umeenda basi...tafuta wa umri wake afu umlinganishe ndio utajua nasema nini...
Ukipenda chongo utaona kengezaAsha-Rose Migiro kama under 18