the american dream
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 1,754
- 836
Wahaya kwa maumbo na rangi ya asili sawa,ila sura aseee hapana..maana wengi wana sura kama mtu anakwepa jiwe...
Cc
Prof. Anna Tibaijuka
Wahaya kwa maumbo na rangi ya asili sawa,ila sura aseee hapana..maana wengi wana sura kama mtu anakwepa jiwe...
Jirani zangu wako vizuri.......
Cc
Prof. Anna Tibaijuka
Tibaijuka yuko fiti acha chezeya Professor...anafanya jogging wewe kijana anakuacha mbali...
At her age wala hana sura mbaya....sura mbaya unazijua wewe?...hana nyama uzembe na umri umeenda basi...tafuta wa umri wake afu umlinganishe ndio utajua nasema nini...Issue sura ...........
niliishia kuwakodolea macho tu!!
si unajua siwezi kwenda zaidi ya hapo?
litaje (at your own risk) tuanze kulisifukabila langu sijui litasifiwa lini!!!
At her age wala hana sura mbaya....sura mbaya unazijua wewe?...hana nyama uzembe na umri umeenda basi...tafuta wa umri wake afu umlinganishe ndio utajua nasema nini...
Namchagua Dk Asha rose Migiro hebu fanya kama unafananisha na huyo nshomile
Kama Mama Tibaijuka naye ni mzuri basi kazi ipo huko Uhayani................
mmmm wanagawa hawa watoto wa kike afu wengi wao hawazai kabla ya muda wana ile midawa yao ya asili sjui ya kuzuia mimba kwanza wanapewa na mama zao wakivunja tu ungo kwaiyo wanakuwa wanaona wako safe sana ila pia kuna wengine hawana hiyo kinga wanatoa mimba adi uruma ukimuona unaweza ukazani kumbe ameshachoropoa akuna mfanoziende mkuu wako wakutosha..
afu wengi wao siyo used (sijaprove)..
i
Kwenye sex ni mambwambwa... And not good in bedNilikuwa napuuza sana sifa wanazopewa Wahaya
on their beauty..
Baada yakuwaona mwenyewe tena huko vijijini kwao. Nimeamini..
Kwa uzuri na muonekano wa nje, really Wahaya ni wazuri..
Rangi zao na maumbo yao ni mazuri!!
Wengi wao ni weusi afu rangi zao zinavutia..
Kifuani na kwa nyuma wengi wao wako vizuri
Sijui sasa kwa upande mwingine(behavior & sex)
wakoje, kupima hiki kipengele ni vigumu.
Compare na maeneo mengine, kwa uzuri nawapa credit!!
You chagga girls on ur natural beauty generally hamwafikii wahaya (si shindanishi) ila ndiyo ukweli huo..
Najua kuna watu watakuja hapa na dhana ya "beauty is on the eyes of beholder"... wapi bana? shape and colour ndiyo uzuri wa macho ulipo...
mmmm wanagawa hawa watoto wa kike afu wengi wao hawazai kabla ya muda wana ile midawa yao ya asili sjui ya kuzuia mimba kwanza wanapewa na mama zao wakivunja tu ungo kwaiyo wanakuwa wanaona wako safe sana ila pia kuna wengine hawana hiyo kinga wanatoa mimba adi uruma ukimuona unaweza ukazani kumbe ameshachoropoa akuna mfano
yeees!! sasa hizo sample kule zimejaa kibao..
afu huko ndani ndani sasa..