Somaliland imeapa kuisaidia Kenya iwapo Vita Vitazuka baina ya Somalia na Kenya

Bila shaka hii habari umebuni mwenyewe maana ni vigumu saana kwa nchi yoyote kuonesha upande iliyopo aliyakuwa alama za kupigana bado ni ZIRO aise

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Raisi wa Somalia anakusanya kundi kubwa la Vijana kutoka Djibouty na Ethiopia ambao ni makabila yaliyo karibu na Kabila lake lwa Usiri mkubwa.

Na ameshaongea na Raisi wa Djibouty kwa msaada wa kijeshi na inasemekana maongezi hayo yalifanywa huku milango ikiwa imefungwa.

Leo Asubuhi Jenerali wa majeshi ya Sudani aliwasili mjini Mogadishu kwa maongezi na Utawala huo wa Somalia.

Pia kuna habari zinazosambaa mitandaoni kuwa Askari wenye asili ya Kisomalia walio ndani ya Jeshi la Kenya wanapangwa ili kufanya hujuma na kutoa habari za siri za jeshi la Kenya
Kuna hatari vita hii ikachukua msimamo wa kidini pia ili Qatar na Turkey kusaidia kijeshi
Sisi kama Watanzania tusikubali kuona mwenzetu akinyolewa.
Sasa Kamanda hizi habari za siri wewe umezijuaje MAPEMA hivi?

Au Tanzania ni ya tatu kwa upelelezi kweli?

Maelezo yako mwanzo Mazur ila hapo mwisho ndio Umevuruga
Unatuingizaje sisi na upuuzi wao
Tusikubari lipi we jamaa Hatutaki Hayo mambo yalituletea Taabu miaka nenda rudi
Ya Ngoswe mwachie Ngoswe
 
Kilichowaudhi upande wa somaliland ni Barre (late) kuishambulia wakati ule
Wewe unaonaje kuachana au kuwa nchi moja ipi bora
Maana upande mwingine hawataki kuwasikia kabisa Mogadishu
Kwa kweli inasikitisha sana maisha yao yalivyoharibika

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Siad Barre aliipindua Serkali ya kiraia na akalivunja Bunge halafu akatangaza makubaliano yote yaliyifikiwa baina ya nchi hizo mbili ni Haramu wabunge wengi wa Somaliland walifia magerezani sababu wakiachiwa watahoji.

Wabunge wa Somalia walikuwa wanasamehewa na kupewa ukubwa kwenye mashirika ya Umma

Akaanzisha Ujamaa na kujitegemea na miradi ya kufutilia mbali umiliki mali wa raia haswa Somaliland
Akaanza mradi wa kuwatoa watu kusini na kuwahamishia Kaskazini Somaliland

Wakati huo wananchi wa Somaliland wengi wakaanza Kuikimbia Nchi yao

Siad Barre akaanzisha harakati za kuwakomboa watu wote wanaoongea Kisomali

Akaanzisha Shifta Movement ili kuivamia Kenya
Wakati huo huo Barre akawaalika Warrusi ili waje kufundisha Ukomunisti,Warussi kwa furaha kubwa wakaenda Mogadishu na kumwaga Silaha za kila aina kasoro nyukilia

Askari wa Barre wakapewa Mafunzo ya Mapigano ya nchi kavu na Anga

Barre akasema Tuvamie Ethiopia kwanza halafu kenya baadae 1977 Majeshi ya Barre yakaingia Ethiopia alichukua vijana wengi kutoka Somaliland na kuwatanguliza mbele.

Barre alikuwa anacheza gemu ya mauaji ya "Kimbari"kiaina wakatu huo Jeshi la Ethiopia lilikuwa linapambana na vikundi vya waasi wanaotaka kujitenga ili kuikomboa ERITREA ambayo ilikuwa Chini ya Ethiopia.

Majeshi ya Somalia yalikutana na Upinzani mdogo yakawa yanatwaa mji hadi mji

Raisi wa Ethiopia wa wakati huo Mangistu Haile Mariam akaenda Urusi kuomba msaada

Urussi ikamwambia Barre aindoe majeshi yake ndani ya Ethiopia Barre akakaataa katakata kama tunavyojua tabia ya hawa wasomali wa kusini.

Urussi ikaongea na Cuba ya Fidel Castro na Cuba ikatuma askari 15000 na silaha nzito
Barre akafukuza aAskari na raia wote wa Kirusi kutoka Somalia.

Urussi nayo ikatuma Makomando 3000 kuisaidia Ethiopia

Barre akala kichapo cha Haja hapohapo Wale askari wa Somaliland wakapata fursa wakaongea na Mangistu Haile Mariam na wakajiandaa jeshi la Somalia likarudishwa hadi Mpakani

Askari wenye Asili ya Somaliland wakajipanga na kuanzisha mapambano ya kuwatoa askari wa Mogadishu

Siad Barre akapata fursa ya kuwamaliza Raia wa Somaliland takeiban watu Laki tano waliuwawa

1988 askari wa Siad Barre wakawa wameshindwa na kujisalimisha Mkuu wa majeshi ya Somaliland akaongea na mtu ambaye alikuwa anaogopewa na Siad Barre huyo jamaa alikuwa anaitwa General Mohamed Farah Aidid wakati huo Barre alimfanya Balozi nchini India.

Gen Farah Aidid akawachukua wale askari waliojisalimisha na kushuka nao Mogadishu
Somaliland ikatangazia ulimwengu kuwa imejitoa kwenye Project ambayo iliwaletea Vifo ubakwaji na kila aina mateso.
Vita vimekuwa vikiendelea huko Somalia hadi wa leo.
 
Aisee huyu jamaa Barre alikuwa mkatili sana na ni sababu ya ujeda maana kama alikuwa sergeant miaka ya nyuma ni hatari.
Lakini pia kulikuwa pia wakubwa wa jeshi walioshiriki kuangamiza huko Hargeisa kama kina Morgan huyu jamaa alikuwa katili sana na aliuwa sana pia kama sikosei alikuwepo pia Gani
Ile civil war ya 1991 ilikuwa mbaya sana iliwapelekea wasomali kupoteana mpaka kutokomea kila nchi duniani

Asante kwa makala yako haya kuhusu Somalia
Inaonekana wamekuzaa just kidding
Wanaitwa woghoyi ni balaa hao jamaa na wapambanaji haswa na wanaishi katika hali ya hewa ya kila aina

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Kuna jambo lingine ambalo hawa jamaa watafanikiwa kudhibiti mafuta hayo yaliyo baharini watatuma silaha Mombasa na Zanzibar na kutaka kurudisha Doula Othomania leo hii Kambi kubwa kuliko zote za Kituruki imejengwa Mogadishu, kumbuka waturuki ndio walikuwa watawala wa Mogadishu na ndio waliosaidia kuuangusha utawala wa Wareno huko Mombasa
 
Morgan huyu jamaa alikuwa katili sana
Huyu alikuwa ameoa mtoto wa Barre huyu jamaa ni mkabila sana na mpaka leo badala ya kushtakiwa amefanywa kuwa mshauri wa mambo ya kijeshi wa Somalia na baso huwa anajisifu kuwa yeye ndie kiboko ya Somaliland.
 
Sasa Kamanda hizi habari za siri wewe umezijuaje MAPEMA hivi?

Au Tanzania ni ya tatu kwa upelelezi kweli?

Sent using my iPhone using jamiiforum app
Naunga mkono hoja yako, kwa asilimia mia. Huu uzi una kauvundo ka danganya toto. No source, no sense. Hiyo ndio inafaa iwe motto ya jukwaa hili. Somebody halla at that guy, Maxence something, tell him I got other great ideas! (Btw, who names their child Maxence, who does that? ) NOT :cool:
 
Huyu alikuwa ameoa mtoto wa Barre huyu jamaa ni mkabila sana na mpaka leo badala ya kushtakiwa amefanywa kuwa mshauri wa mambo ya kijeshi wa Somalia na baso huwa anajisifu kuwa yeye ndie kiboko ya Somaliland.
Aisee yaani bado yuko hai huyu muuwaji?
Yaani wameshindwa kumuuwa kwa alivyowamaliza wasomali
Kumbe alioa mtoto wa barre ndio maana alimuamini sana
Laaa Asante kwa taarifa

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
turkish3-768x512-620x330.jpg
CGWa9uKW0AAy0mQ.jpg
maxresdefault.jpg
US-Military-Bases-In-Africa.jpg
20173246362593475009453511031061957.jpg
downloadfile-20.jpg
IMG_B8DCC5-1F48EC-88A7DB-43F64B-82B0B1-F85F1B.jpg

Angalia Waturuki wamejenga Base na Millitary Academy
Kuna siri gani hapo Kwanini wajenge jeshi jipya la Kisasa badala ya kusaidia wananchi maskini.
 
Hawa hawa Somaliland ambao wapo kwenye mgogoro na Puntland kwasababu ya mpaka? Wana uadui mkali sana na Somalia pia. Hivi karibuni kutaibuka vita vya aina yake kati ya Somaliland na Puntland na nadhani wao ndio wanataka tuwasaidie kumnyoosha adui yao Somalia. Puntland ni eneo ambalo linajitawala pia, ila lipo ndani ya Somalia tofauti na Somaliland ambayo ni nchi kivyake.
Don't get it twisted! Ingizeni pua muone kama hamjawekwa mtu kati!
 
Siad Barre aliipindua Serkali ya kiraia na akalivunja Bunge halafu akatangaza makubaliano yote yaliyifikiwa baina ya nchi hizo mbili ni Haramu wabunge wengi wa Somaliland walifia magerezani sababu wakiachiwa watahoji.

Wabunge wa Somalia walikuwa wanasamehewa na kupewa ukubwa kwenye mashirika ya Umma

Akaanzisha Ujamaa na kujitegemea na miradi ya kufutilia mbali umiliki mali wa raia haswa Somaliland
Akaanza mradi wa kuwatoa watu kusini na kuwahamishia Kaskazini Somaliland

Wakati huo wananchi wa Somaliland wengi wakaanza Kuikimbia Nchi yao

Siad Barre akaanzisha harakati za kuwakomboa watu wote wanaoongea Kisomali

Akaanzisha Shifta Movement ili kuivamia Kenya
Wakati huo huo Barre akawaalika Warrusi ili waje kufundisha Ukomunisti,Warussi kwa furaha kubwa wakaenda Mogadishu na kumwaga Silaha za kila aina kasoro nyukilia

Askari wa Barre wakapewa Mafunzo ya Mapigano ya nchi kavu na Anga

Barre akasema Tuvamie Ethiopia kwanza halafu kenya baadae 1977 Majeshi ya Barre yakaingia Ethiopia alichukua vijana wengi kutoka Somaliland na kuwatanguliza mbele.

Barre alikuwa anacheza gemu ya mauaji ya "Kimbari"kiaina wakatu huo Jeshi la Ethiopia lilikuwa linapambana na vikundi vya waasi wanaotaka kujitenga ili kuikomboa ERITREA ambayo ilikuwa Chini ya Ethiopia.

Majeshi ya Somalia yalikutana na Upinzani mdogo yakawa yanatwaa mji hadi mji

Raisi wa Ethiopia wa wakati huo Mangistu Haile Mariam akaenda Urusi kuomba msaada

Urussi ikamwambia Barre aindoe majeshi yake ndani ya Ethiopia Barre akakaataa katakata kama tunavyojua tabia ya hawa wasomali wa kusini.

Urussi ikaongea na Cuba ya Fidel Castro na Cuba ikatuma askari 15000 na silaha nzito
Barre akafukuza aAskari na raia wote wa Kirusi kutoka Somalia.

Urussi nayo ikatuma Makomando 3000 kuisaidia Ethiopia

Barre akala kichapo cha Haja hapohapo Wale askari wa Somaliland wakapata fursa wakaongea na Mangistu Haile Mariam na wakajiandaa jeshi la Somalia likarudishwa hadi Mpakani

Askari wenye Asili ya Somaliland wakajipanga na kuanzisha mapambano ya kuwatoa askari wa Mogadishu

Siad Barre akapata fursa ya kuwamaliza Raia wa Somaliland takeiban watu Laki tano waliuwawa

1988 askari wa Siad Barre wakawa wameshindwa na kujisalimisha Mkuu wa majeshi ya Somaliland akaongea na mtu ambaye alikuwa anaogopewa na Siad Barre huyo jamaa alikuwa anaitwa General Mohamed Farah Aidid wakati huo Barre alimfanya Balozi nchini India.

Gen Farah Aidid akawachukua wale askari waliojisalimisha na kushuka nao Mogadishu
Somaliland ikatangazia ulimwengu kuwa imejitoa kwenye Project ambayo iliwaletea Vifo ubakwaji na kila aina mateso.
Vita vimekuwa vikiendelea huko Somalia hadi wa leo.
Umesimulia hiyo historia kweli kweli.
 
Mkikuyu- Akili timamu Geza Ulole joto la jiwe
Je WaBongo wakiongozwa na uncle Magufuli watatuunga mkono tukivamiwa na hawa Wasomali ?? :D:D
Aaaah! Wapi bana, hawa jamaa ni wabishi kupindukia, hadi kwenye vita utaskia wakisema eti wanabana matumizi. Hadi wataibuka na kauli matata za kupamba misimamo yao ya ajabu ajabu, utaskia, ukiishiwa na risasi pita na shingo.
 
Sijaelewa hapa. Yaani rais wa Somalia ataisaidia Kenya kupigana na Somalia?? Ama ndo ukilaza wangu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Somaliland ni nchi nyingine... hiyo nchi ina amani ile mbaya. Dolla zinabadilishwa huku zimepangwa barabarani... biashara masaa 24. Rate ya ujambazi ni 0%... niliwahi kwenda huko aisee mpaka raha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waturuki watarudisha utawala wao kupitia Somalia

Ozbaran’s work of collecting and presenting primary sources and interpretation of Ottoman diplomatic relations and naval power is particularly valuable. He details how in the late 15th century, having conquered Istanbul and established hegemony over Anatolia and several Baltic and Arab provinces, the Ottomans turned to Venetian shipbuilders to challenge the Portuguese in the Indian Ocean. At the head of the Red Sea, the Ottomans completed their new fleet, and in 1507, Amir Husayn led the fleet to fight the Portuguese at Diu. Despite their defeat by the Portuguese in 1509, the Ottomans remained a viable naval power in the Red Sea, with outposts on the Horn of Africa and control over the strategic port of Aden on the Yemeni coast.

Furthermore, the hostility of the Swahili city-states to Portuguese hegemony meant that Ottoman incursions down the East coast of Africa were perceived as a real threat. In about 1585, a single Turkish ship promising support was sufficient to bring on a general revolt of Swahili towns, which the Portuguese promptly quelled. A couple of years later, Amir Ali Bey—whom some sources picture as an Ottoman official, but others as a mere buccaneer—appeared with a small force. Again, several city states immediately broke away from Portuguese control. At Pemba, the townspeople annihilated the occupying garrison, and an attack was mounted against Malindi, Portugal's staunchest ally. Again a Portuguese fleet from India restored control with appalling brutality. At Faza, they slaughtered the entire population, destroyed its vessels and plantations, and sent the head of its king as a grizzly trophy to Goa.

Ali Bey returned with a somewhat larger force two years later and took possession of Mombasa. Another Portuguese relief force was dispatched, and sailed into the harbor to find the Turks had come under siege by invaders they called Zimba, reportedly a savage people who had already destroyed Kilwa. The Portuguese fleet attacked and pillaged the city, and then, as they departed, the Zimba rushed in to complete the devastation. Advancing farther north, the Zimba finally were defeated at Malindi by a force of warlike pastoralists whom the Portuguese called Masseguejos. Portugese control would continue until the Omanis (invited by Mombasa city leaders) finally wrested control of the coast from the them in 1698.

Of course there are other stories here too: the conflict between the Ottomans and the Ethiopian emperor Minas over the coastal imperial stronghold of Debarwa, the intermittent treaties between the two parties over the trading entrepots at Massawa and Arkiko. During the 15th century the Ottomans had used local Muslim intermediaries to wage war against the Ethiopian emperor, while the Portuguese backed the Ethiopians but tried to make them submit to Papal authority in Rome. As both Ottoman and Portuguese power declined in the 17th century, these machinations died down.
 
Back
Top Bottom