Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,088
- 2,705
S/N 1/3
Historia ya Somalia.
Kuliangalia hili
Somalia imepata uhuru mwaka 1960
Kenya imepata uhuru mwaka 1963
Djibuit imepata uhuru mwaka 1977
Ethiopia haikutawaliwa isipokua sehemu ya Eritrea.
Somaliland ziliungana na Somalia mwaka 1960 July.Somaliland ilitawaliwa na Italy hivo iliitwa italy somalia au somaliland na Somalia ilitawaliwa na British na kuitwa British somalia au Somalia.
Mwaka 1960 ndio ziliunganishwa na kua nchi moja. Iliendelea hivyo hadi mwaka 1969 ambapo ilipinduliwa na Mohamed Siad Barre (Maxamed Siad Barre) Generali wa jeshi aliyepindua serikali ya kidemocrasia.
Raisi mpya huyu alikuja kupinduliwa mwaka 1995 na vikundi vya upinzani kutoka koo tofauti tofauti za kisomali.
Na hapo ndipo ilikua mwanzo wa somalia hii inayofahamika ya vita, maujaji ugaidi na uharamia.
Ni huyu huyu raisi ndiye aliyeongoza vita dhidi ya Ehiopia kujaribu kulichukua Eneo la Orgaden ambalo waishipo huko wengi ni wasomali.
Mtazamo wa wasomali wa sasa!
Wasomali wanaamini kua Sehemu yeyote wanayoishi wasomali inabidi iunganishwe na somalia kuuu!!
Kama unaifahamu bendera ya somalia basi utaona ina nyota katikati ! Kwamba wanaamini
One people ,one ethnic and One religion (Wamoja,dini moja na kabila moja)kwamba wao ni kitu kimoja.
Hivyo kwa mantic hii wanaona pia eneo La kenya Ambapo jamii ya wasomali inaishi pia ni la kwao na wanataka liwe sehemu ya somalia.
Pili bado hawajasahau vita ambayo walishindwa vibaya na Ethiopia kuhusu jimbo linalokaliwa na wasomali la Orgaden.Bado wana hamu kulirusha.
Kwa mantiki hii kupona kwa somalia ambako ni kitu kizuri lakini kuna kuja pia na mengi .Na kati ya hayo mengi ni pamoja na kupigana hii vita kuweza kuyakomboa (si kuyakomboa kiuhalisia) au kuyanyang’anya maeneo haya.
Picha za vita ya Ethiopia na somalia