Latimore Mimo wangeci
JF-Expert Member
- Feb 1, 2019
- 898
- 1,081
sijakataa walikuwa wameamua kukaa kenya,namibia na South africa ,lakini si hao pekee walicome up na map ya nairobi pia wakenya walikuwa wakichora how kenya and nairobi shud beWaingereza waliijenga kenya kwa sababu walikuwa hawana mpango wa kuiachia Kenya walipanga kuwa Kenya ingekuwa kama New Zealand Maoris hata wafanye nini waingereza hawawezi toa Uhuru hii inatokana na Hali ya hewa ya Kenya na Ardhi yenye Rutuba na Kwa Upande Mwingine Kenya ni Nzuri kijiografia angalia Central kenya angalia Rift Valley angalia Coast angalia Elgon nk.