isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,125
- 6,250
Maana ya huyu ni kwamba hamna taifa linalotambulika kama Somaliland ndio maana AU na UN wanaifahamu Somalia na siyo Somaliland.Kweni Raisi wa South Sudan akiamua kuisaidia Misri iwapo atavamiwa na Sudan mbona kichwa kinakuwa kigumu kuelewa
Same kwako kama unaitambua Somaliland basi itambue Western Sahara, Zanzibar, Biafra, Luanda kama mataifa pia.