BestOfMyKind
JF-Expert Member
- Apr 26, 2012
- 1,348
- 1,466
Kwanini nisiamini tu yupo mpaka nijiridhishe? kwasababu inawezekana Mungu hayupo? Je akiwa yupo itakuaje baada ya kujiridhisha? Ntasemaje nina imani wakati nina uhakika yupo? Ile uncertainty ndio raha ya imani ( kwasababu hujui outcome ila unaamini itakua namna fulani ). Hata uncertainty sio neno zuri, niseme hali ya kutojua itakuaje ila unahisi itakua namna unavyotaka. Nionavyo mimi, nikijiridhisha nitakua nimebadili maana ya imani.Safi sana, naheshimu majibu yako yanayojikita kwenye uchambuzi.
Naomba tutumie Socratic method ya kutafuta ukweli kwa kuuliza maswali na kuyajibu kwa undani.
Sasa, tuendelee na mjadala vizuri.
Ikiwa umekubali kwamba tukitumia imani tu, tunaweza kuamini kitu ambacho hakipo kuwa kipo, kimsingi umekubali kwamba, kwa kutumia imani tu, unaweza kuamini Mungu ambaye hayupo yupo.
Sasa, unapoamini Mungu yupo, unawezaje kujiridhisha kwamba Mungu huyo unayemuamini yupo, yupo kweli, na huamini tu kama sehemu ya imani ya kuamini visivyopo kwamba vipo?
Maana tushaona imani inaruhusu mtu kuamini kisichopo kama kipo.
Sasa, ukiamini Mungu yupo, unajiridhishaje kwamba yupo kweli, na si imani tu ya kuamini kisichopo kipo?
Kwanini nisiamini tu yupo mpaka nijiridhishe? kwasababu inawezekana Mungu hayupo? Je akiwa yupo itakuaje baada ya kujiridhisha? Ntasemaje nina imani wakati nina uhakika yupo? Ile uncertainty ndio raha ya imani ( kwasababu hujui outcome ila unaamini itakua namna fulani ). Hata uncertainty sio neno zuri, niseme hali ya kutojua itakuaje ila unahisi itakua namna unavyotaka. Nionavyo mimi, nikijiridhisha nitakua nimebadili maana ya imani.
Stephen hawking, yeye hakuwa akizunguka zunguka. Alisema kuwa Mungu hakuumba ulimwengu. Hakuwahi kuwaambia watu kuwa swali lao ni priori fallacy badala yake alijikita kwenye kujibu swali kwa sababu alijiamini. Ila mwenzangu, wewe mpaka leo umeshindwa kuzungumzia msimamo wako ama kuutetea msimamo. Unaleta visingizio vingi kuepuka kujibu masuali unayouliza.
1) Unasema kuwa maswali yasijibiwe kwa imani, cha kushangza, sijawahi (au sikumbuki) hata siku moja kukujibu kwa kutumia aya kwenye Quran, badala yake, wewe ndie uliekuwa unaleta references kwenye vitabu vya kiimani.
2) Muda wa kuchunguza swali unao wa kutosha, unaweza ukatwambia, swali hili nahitaji muda kulijibu, tutasubiri.
3) Habari za kuwepo Mungu sio imani tu, ni ujuzi pia.
4) Habari unazotaka zipimwe ni zipi?
5) huo nao ni msimamo?
Nimekuuliza swali, ni upi msimamo wako juu ya Ulimwengu, je umeumbwa au hauna muumbaji? unanambia msimamo wako juu ya hilo ni maswali yasijibiwe kiimani? huo ni msimamo ndugu yangu? hivi kuna pahala umezuiliwa kujibu kutotumia imani?
Mimi tangu naanza kujadiliana na wewe as far as i know sijawahi kutumia imani yangu kukwambia kuwa Mungu yupo.
Kwa UWAZI KABISA, NIJIBU SWALI LANGU BILA KUTUMIA IMANI;
Je ULIMWENGU UNA ALIEUUMBA AU HAUKUUMBWA?
Ndio, kiimani ujinga huu mzuri zaidi, kwasababu kuna faida nyingi za kuamini ( sitakutajia hata ukiuliza nikutajie). Lakini nje ya imani ni bora kutokua na ujinga huu, imo. Sisi tulioamini tumekubali kua na maarifa haya.Kwa hiyo kama hayupo, ujinga wa kuamini yupo wakati hayupo ni mzuri kuliko ujuzi wa kwamba hayupo?
Ndio, kiimani ujinga huu mzuri zaidi, kwasababu kuna faida nyingi za kuamini ( sitakutajia hata ukiuliza nikutajie).
Lakini nje ya imani ni bora kutokua na ujinga huu, imo. Sisi tulioamini tumekubali kua na maarifa haya.
Lakini si mnaruhusu kabinti kabichi chini ya 18 kuolewa na libaba likomavu au??Hiyo mutah au temporary marriage, haijakubarika katika mainstream Islam, Qura'n au Sunna za mtume haipo....limeletwa na maadui wa uislamu kwa kutumia dhehebu la Washia wabao ishi Marican na Ulaya....Islam can't support such a foolish action.
Sio mafundisho ya dini ya kiislam kujadili umri, ni pale atakapo kua Mtu mzima kijiamlia kuolewa bila kulazimishwa kwa hiari yake.Lakini si mnaruhusu kabinti kabichi chini ya 18 kuolewa na libaba likomavu au??
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikua na maana kwamba hujui faida za imani, la! sikuwa tayari kujibu tu swali la faida za imani kama ungeliuliza.Hapa naona una assume sijui faida za kuamini hata uongo, nimeshaandikahapakushusu faida zilizothibitishwa kisayansi za "placebo effect" to name only one. So usifikiri kwamba sijui faida za imani, hata kamaimani haipo kwenye ukweli.
Nikisema kwamba imani ni coping mechanism katika ulimwengu usio na majibu ya uhakika, utakubali?
Kwaio wewe kumbe unachopinga wewe ni uwepo wa Mungu anaeitwa Allah tu? Yaani unaamini kama Mungu yupo, ila tu sio Allah. Si ndio? kwa sababu mimi namsema Allah, na wewe unasema Mungu ninaemsema mimi hayupo, unamaanisha yupo Mungu mwengine ila sio huyu ninaemsema mimi.What has Stephen Hawking got to do with the price of pork in China?
Mimi nimekwambia Mungu unayemsema yupo hayupo, hivyo hawezi kuwa kaumba ulimwengu, sasa nimezunguka nini hapo?
Msimamo wangu nimekwambiamaswali yachunguzwe, yajibiwe kwa ujuzi, siimani, sasa unataka msimamogani wakati nishakupa msimamowangu? Au msimamowangu simsimamowangu mpaka uwe sawa na msimamowako?
Onesha mahali nilipotetea hoja yangu kwa kutumia Bibilia au kitabu chengine cha kiimani.Hapa unafanya non sequitur fallacy kwamba
A. Quran ni kitabu cha imani
B. Hoja zinazotetewa kwa Quran ni hoja zinazotetewa kiimani
C. Mtu asiyetetea hoja zake kwa Quran, hatetei hoja zake kwa imani
Unaweza ukawa hujatetea hoja zako kwa Quran, ukatetea kwa Biblia, ukawa bado umetetea kwa imani.
Hii retort yako inaonesha usivyofikiri kimantiki
Unajulikana muda unaotosha pindi pale utakapokuwa tayari kujibu ulichoulizwa.Muda wa kutosha niupi na unajuaje huo unatosha?
Anything complex have a creator.Thibitisha unawezaje kujua Mungu yupo, nje ya kutumia imani tu.
nini ni nini?Msimamo ni nini?
Zimethibitishwa tayari zamani tu.Za uthibitishokwamba Mungu yupo, kiujuzi.
Nitakwambia uthibitishe kama ni mazingaumbwe hayo. Unaweza kuthibitisha na hili kama mimi na wewe ni mazingaumbwe? na anaefanya hayo mazingaumbwe ni nani basi? na anafanyiwa nani mazingaumbwe?Kwa wazi kabisa niambie kwa niniunauliza "aliyeuumba" kama vile ni lazima jibu liwe latoka kuhusiana na "aliyeuumba" ?
Nikikwambia habari nzima za kwamba vilivyopo vinahitaji "aliyeumba" ni mazingaombwe yasiyo na ukweli yanayoonekana kuwa hivyokutokana na scale yetu kwenye ulimwengu, utasemaje?
At the quantum level, cause and effect disappear, timedisappear, space is quantized at the Planck scale and beyond that it disappears.
How do you keep on insisting on these parochial "cause and effect" concepts, wihout even investigating what is essentialand fundamental?
Nikikwambia wewe ni kama kipofu unayeuliza rangi ya bluu iliyo kwenye bendera ya taifa ina mlio gani, kwa sababu maisha yako yote unajua sauti tu, hujuikwamba rangi haina mlio, utakataa?
Mpwa.Sikua na maana kwamba hujui faida za imani, la! sikuwa tayari kujibu tu swali la faida za imani kama ungeliuliza.
Naomba unifafanulie kuhusu coping mechanism katika ulimwengu usio na majibu ya uhakika uli nijibu ndio au hapana kama hutojali mjomba?
Sawa kabisa, nimeelewa kuhusu coping mechanism. Babu yangu mimi ni mganga, ana majini matatu na yanaongea kwa lafudhi na lugha tatu tofauti. Kwa mfumo wa coping mechanism ambayo nimeielewa sisi tulishindwa kutambua hali ya babu na tukasema tu ni majini na tukampa uganga. Inawezekana akija daktari wa afya ya akili akam-diagnose na D.I.D au Multiple personality disorder ( nasema inawezekana lakini ni likely kuwa hivi zaidi kuliko namna nyingine). Lakini vipi ikiwa ni majini kweli? tunapima vipi kama sio majini? kwanini tupime kama ni majini? ni kwa makadirio yapi kipimo kitakua sahihi? Kwanini ni majini na sio mchanganyiko-tabia?Mpwa.
Kisaikolojia, ubongo wa mtu hautakikukaa bilaya majibu ya maswali.
Kifizikia, wanasema "nature abhorrs a vacuum". Ukichukua chupa, ukaitoahewa yote kwa pampu, halafu ukaiachia wazi,hewa itarudi kwenye chupa kuchukua nafasi ya vacuum.
Watu kukaana maswali yasiyo na majibu ni sawa na chupa iliyo na vacuum kukaa bila kujazika chochote, ni kitu kigumu sana.
Hivyo, paleambapo watu hawana majibu, wanajitengenezea majibu yao tu, yawe ya ukweli au uongo. Hapo ndipo habari za imani zinapokuja kama ulivyosema.
Majibu haya, yawe ya ukweli au uongo, yanaweza kuwa na maana, kwa minajili ya.
1. Kuwaunganisha watu kiutamaduni.
2.Kuwapa watu tumaini kwamba wanajua duniainavyokwenda, hata kama hawajui
3. Tumaini hili na imanihii, vinaweza kutengeneza "placebo effect" ya kuwafanya watu wawe na amanikwamba wanaishi katika ulimwengu wanaouelewa, hata kama hawauelewi. Mtu anayeamini kuna Mungu anayejibu sala za watu, analala kwa amani baada ya kuomba sala Mungu amlinde, mtu anayesema hakuna Mungu, inawezekana akawa analala huku anajua wakati wowote kimondo kikubwa kinaweza kuiangukia dunia na kuiangamiza kabisa dunia nzima na viumbe wake karibu wote.
4.Imani ya Mungu inaweza kuondoa shaka za kufikiri sana kuhusu mambo ambayo watu hawawezi kuyakabili moja kwa moja kama vimondo vinavyoweza kuangukia dunia na kumaliza maisha.
5. Kuamini Mungu ni coping mechanism, watu wanaoamini Mungu wanaweza ku cope vizuri zaidi na ulimwengu wasiouelewa, kwa kumuachia mamboMungu na kumuomba tu awafanyie mema na awaepushe na mabaya, wasioamini Mungu hawana coping mechanism hiyo, inabidi wajikite kwenye ukweli kwamba sala hazisaidii kwa sababu Mungu hayupo.
Ume elevate mjadala, kwa namna ambayo nafikiri ni ya juu zaidi kwenye uzi huu.Sawa kabisa, nimeelewa kuhusu coping mechanism. Babu yangu mimi ni mganga, ana majini matatu na yanaongea kwa lafudhi na lugha tatu tofauti. Kwa mfumo wa coping mechanism ambayo nimeielewa sisi tulishindwa kutambua hali ya babu na tukasema tu ni majini na tukampa uganga. Inawezekana akija daktari wa afya ya akili akam-diagnose na D.I.D au Multiple personality disorder ( nasema inawezekana lakini ni likely kuwa hivi zaidi kuliko namna nyingine). Lakini vipi ikiwa ni majini kweli? tunapima vipi kama sio majini? kwanini tupime kama ni majini? ni kwa makadirio yapi kipimo kitakua sahihi? Kwanini ni majini na sio mchanganyiko-tabia?
Coping mechanism inatoa majibu ya kuridhisha kwa wasio na imani, sisi tulioamini tunaridhika na hali na maarifa yetu hivihivi yalivyo kwasababu imani inatutaka tuwe hivi. Inawezekana tunaoamini tunajua kwamba kwenye imani hakuna uhakika au tukawa hatujui kuhusu mitazamo ya kina Dawkins lakini bado tukaamini.
Wapi nimeandika napinga uwepo wa Mungu anayeitwa Allah tu?Kwaio wewe kumbe unachopinga wewe ni uwepo wa Mungu anaeitwa Allah tu? Yaani unaamini kama Mungu yupo, ila tu sio Allah. Si ndio? kwa sababu mimi namsema Allah, na wewe unasema Mungu ninaemsema mimi hayupo, unamaanisha yupo Mungu mwengine ila sio huyu ninaemsema mimi.
Hii ni Hatua nzuri uliofikia kuwa unakubali kwamba Mungu yupo, ila sio Allah.
Onesha mahali nilipotetea hoja yangu kwa kutumia Bibilia au kitabu chengine cha kiimani.
Nimesema Anything complex must have a creator, in fact everything have a creator. Kama hio statement ipo kwenye kitabu cha kiimani basi naomba uiweke wazi hapa. Au pia na hili kabla ya kujibu utataka kujua kama naamini mungu yupo? (Ile aya hukuileta tena)
Unajulikana muda unaotosha pindi pale utakapokuwa tayari kujibu ulichoulizwa.
Anything complex have a creator.
nini ni nini?
Zimethibitishwa tayari zamani tu.
Nitakwambia uthibitishe kama ni mazingaumbwe hayo. Unaweza kuthibitisha na hili kama mimi na wewe ni mazingaumbwe? na anaefanya hayo mazingaumbwe ni nani basi? na anafanyiwa nani mazingaumbwe?
At Quantum Level even smartphone zitakuwa non existence.
Jibu sio lazima liwe limetokana na aliyeumba, mbona unajitia wasiwawasi? Sema tu Ulimwengu haujaumbwa... hakuna rocket science hapo.
So far Karanga you have never been able to answer any question asked, all you do is tryna waste time tu.
Conclusion, huna hoja wala huwezi kutetea msimamo wako. mpaka saiv hujatoa majibu. Ukiiquote post hii, malizia kwa kuuliza KUTETEA ndio nini? π π π
Inawezekana Mzee anatuchezea kwa kweli, umesema vyema.Ume elevate mjadala, kwa namna ambayo nafikiri ni ya juu zaidi kwenye uzi huu.
Hayo mambo ya majini na watu kuongea lugha tofauti ni mambo ambayo hatujayajua vizuri, kwa sababu hatujui vizuri ubongo unavyofanya kazi, na inawezekana babu alikuwa sehemu fulani miaka ya nyuma akapata kujua hizo kugha, sisi hatujui, na akiwa katika haki fulani anaongea, kurahisisha majibu, tunaaema hayo ni majini yanaongea.
Inawezekana ni majini kweli. Hapo itabidi tujue namna ya kutenganisha majini na habari nyingine za kisaikolonia na zinazoelezeka vizuri kibaiolojia tu. Kuna chunguzi zinazotakiwa kuwa logical, non self contradicting, provable etc. Sio hqbari za kuamini kabla ya uchunguzi.
Inawezekana jibu si manini wala magonjwa ya kisaikolojia. Inawezekana babu anawachezea tu watu akili (I hooe not).
Kuna jamaa wawili wakikamatwa Mombasa wanacheza ngoma uchi kama vichaa. Wametelekeza gari waliloliiba. Ikasemwa kwamba wameiba gari lenye alarm ya uchawi, unewawehusha. Watu wanaoamini mambo bika kutaka uthibitisho wala uchunguzi wakakimbikia jibu rahisi. Uchawi huu. Kama kuna mtu anabisha uchawi jibu ni hili. Itakuwaje watu wazima wacheze uchi vike katika mazingira yale ya kuiba gari? Watu wakasema huu ni uthibitisho wa uchawi.
Nikawaambia nit so fast. Tuchunguze zaidi jamani. Mbona tunakuwa rahisi kusema uchawi?
Na kweli. Baada ya siku chache, polisi wa Mombasa wakawakamata wale watu. Kumbe walikiowa wafanye vike ili kumtangaza "fundi" aliyeiwekea alarm ile gari apate wateja zaidi.
Kwa hiyo unaweza kuanza uchunguzi ukifikiri jibu kitakuwa ama ugonjwa wa akiki au jini, ukakuta hakuna ugonjwa wa akiki wala jini, jibu tofauti kabisa.
Zaidi, mimi kama mtu ninayekubali kwamba imani haziji bila misingi, nakubali haki za kikatiba na za Universal Declaration of Human Rights za kuanzia December 10 1948, kwamba kila mtu ana haki ya kuamini anavyotaka.
Lakini habari za imani zikiletwa JF kufanyiwa mijadala huru, zinafanyiwa mijadala huru.
Mijadala huru ni kaulimbiu ya JF.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hapa hatubishani ila tunafahamishana Zanzibar ni kwetu na nimeishi nina zaidi ya miaka ishirini suala alioliongelea mtoa mada ni kuhusu wanawake na watoto wanaolewa na kutelekezwa pia hio story za kutolewana marinda siwez jua idadi ila wanawake wengi tu si wa visiwani wala bara wamekua na hio tabia hata wanaume pia sasa.Huwa sikurupuki na sibishani na watu wa aina yako mkuu!
Tafuta hizi taarifa kwa wahusika huko Zanzibar utapata fursa ya kujifunza mawili matatu.
Haya mambo yanafanyika sana huko. Ni kama mnavyofanya kwa kutifuana "Washeli" na "Ziro" kwa usiri wa hali ya juu. Nenda kamuulize Sheikh Nyundo atakueleza malalamiko anayopata kwa wakina mama na watoto wa kizenziberi.
mbele ya mtoto wa kisomali tena bikra lazima mtu udanganye ule kitu asiliSijui kwanini hudanganya hawana wake wachache sana husema ukweli
Wapi nimeandika napinga uwepo wa Mungu anayeitwa Allah tu?
This is another one of your logical non sequitur.
Yani kuanza tu unajiharishia akilini.
Snapshot yako haionekani.Naharisha Akilini Wewe utakuwa na kutu Ngumu...
Hii snapshot hapa unayoiona, niambie mimi ninamzungumzia mungu yupi?
Mimi nimekwambia Mungu unayemsema yupo hayupo, hivyo hawezi kuwa kaumba ulimwengu, sasa nimezunguka nini hapo?
Msimamo wangu nimekwambiamaswali yachunguzwe, yajibiwe kwa ujuzi, siimani, sasa unataka msimamogani wakati nishakupa msimamowangu? Au msimamowangu simsimamowangu mpaka uwe sawa na msimamowako?