Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 6,940
- 12,372
- Thread starter
- #81
Pesa haina ndugu wala rafiki, haina tajiri wala masikini, haina kiongozi wa dini wala muumini, haina mkubwa wala mdogo, mzee wala kijana.Emeritus Prof.Shivji,Warioba,kadinali Pengo,Padre Kitime wapo group gani hapo?
Nafikiri sio mara ya kwanza kusikia watu wameuwana kwa sababu ya pesa, tena wengine baba mmoja mama mmoja. Pesa unaweza kuuwa mtu afu ukaiba pesa zake na kwenda kutoa sadaka kanisani au msikitini na viongozi wataichukua.
Kwahiyo hata na wao wakitupiwa bahasha na wazee wa bandari ni vigumu kuikataa, asikudanganye mtu.