Soma hapa: Ujue kwamba nchi imepigwa bei

nae mwekezaji atakazwa kuuza mahindi yake nje,kama jinsi wazawa wakulima wanavyozuiliwa kuuza mazao yao kwa sasa?
 
[h=6]An article on a big US-based agri-business company which intends to invest heavily in Tanzania has appeared in some US newspapers, and picked by one of the English weeklies.

According to this article, which the local newspaper gave a screaming headline of US investor set to acquire large chunks of land in Tan...zania, the intention of t...he investor is to bring modern and sustainable agriculture to the country, so that even small holder farmers can learn techniques of the 21st century farming.

The land earmarked for the massive grain and livestock operation is not less than 800,000 hectares.

If things go as planned, the company will secure a 99-year lease of the extensive area for the purpose of growing crops to be sold in the country, the rest of East Africa and other neighbour countries.

Some of the experts and international NGOs specializing in Third World development trends are already sounding an alarm about land grabbing in some countries by foreigners, who take advantage of poverty and corruption in targeted regions to effect their mission.

Question here is: who should have powers to give 800,000 hectares to a foreigner under a 99-year lease????
[/h]

Tunangoja nini? Funga milango tuzichape! Hii ni sababu tosha kwa wale wafia nchi kujitoa. Hivi hakuna anayeona umuhimu wa kukataa huu usaliti.

Hapa hakuna UDINI wala Ukabila wala UCCM/UCDM Nchi inauzwa! Hii si mali ya chama cha siasa ni yetu wote.
Where are the CSOs who can Civilise this Govt and its cheap leaders???!!!
 
[h=6]An article on a big US-based agri-business company which intends to invest heavily in Tanzania has appeared in some US newspapers, and picked by one of the English weeklies.

According to this article, which the local newspaper gave a screaming headline of ‘US investor set to acquire large chunks of land in Tan...zania’, the intention of t...he investor is to bring modern and sustainable agriculture to the country, so that even small holder farmers can learn techniques of the 21st century farming.

The land earmarked for the massive grain and livestock operation is not less than 800,000 hectares.

If things go as planned, the company will secure a 99-year lease of the extensive area “for the purpose of growing crops to be sold in the country, the rest of East Africa and other neighbour countries”.

Some of the experts and international NGOs specializing in Third World development trends are already sounding an alarm about land grabbing in some countries by foreigners, who take advantage of poverty and corruption in targeted regions to effect their mission.

Question here is: who should have powers to give 800,000 hectares to a foreigner under a 99-year lease????
[/h][JAKAYA KIKWETE = CHIEF MANGUNGU OF THE 21ST CENTURY!!!!]
 
inafanana sana na hii, au siyo!?

attachment.php
 
Afadhali hata hao wakija tutapata chakula na kupunguza utapiamlo, kuliko tuliowapa madini wanakamua peke yao sisi tunaishia kuomba chakula cha msaada. Nchi ishauzwa hii, we fikiria hapo jamaa hadi kuruhusi ardhi yote hiyo kakatiwa bei gani?
Utapiamlo utaongezeka kwani watakacholima hakinunuliki na watz wa kawaida. Ukifuatila kilimo huko ulaya na marekani, wakulima hupewa ruzuku na serilkali zao ili kupunguza bei kwa mlaji kwa maana gharama ya kuzalisha kwa kutumia mashine haikwepeki kwani mashine huwezi kuinyonya.
Kama mnakumbuka kuna wakati baba wa taifa aliwaambia wazungu kuwa kama ni kuondoa ruzuku kwenye kilimo wote tuonde halafu tuona nani atashindwa kwenye soko. Wazungu wakaogopa wakijua wakiondoa ruzuku kwenye kilimo bei itapanda sana na hivyo serikali zao zitaangushwa; lakini kwetu walitulazimisha wakisema kama hamuondoi ruzuku hatuwapi misaada.
Hivyo ndugu yangu, kama kampuni itakuja kuzalisha kwa technolojia ya kisasa, na kwa kuwa serikali yetu haitaweza kuweka ruzuku, bei itakuwa kuchaa na watz wa kawaida hawatamudu.
Kwa kuwa kampuni hiyo ni ya nje basi mazao yakipelekwa huko kwao yatapewa ruzuku kama yamezalishwa huko na yataweza kununuliwa.
Ukitaka kujua zaidi ruzuku kwa kilimo just google agricultural subsidy in USA. Hapo utapata yafuatayo:
European Union

In 2010, the EU spent €57 billion on agricultural development, of which €39 billion was spent on direct subsidies.[SUP][1][/SUP] Agricultural and fisheries subsidies form over 40% of the EU budget.[SUP][2][/SUP] Since 1992 (and especially since 2005), the EU's Common Agricultural Policy has undergone significant change as subsidies have mostly been decoupled from production

United States
The United States currently pays around $20 billion per year to farmers in direct subsidies as "farm income stabilization"[SUP][9][10][11][/SUP] via U.S. farm bills. These bills date back to the economic turmoil of the Great Depression with 1922 Grain Futures Act, the 1929 Agricultural Marketing Act and the 1933 Agricultural Adjustment Act creating a tradition of government support. A Canadian report claimed that for every dollar U.S. farmers earn, 62 cents comes from some form of government, with total aid in 2009 from all levels of government adding up to $180.8 billion.[SUP][12][/SUP]
 
Hii ni nzuri sana!

Modern farming comes to Tanzania at last.

* more food
* employment for rural workers
* opportnity for Tanzanian's to learn how it is done
* real agricultural research, as opposed to pathetic reserach currently done
* industries will spin off to process the output of these farms

Tunahitaji waje wengi zaidi.
 
hapo kwenye red, unanikumbusha kijana Godbless Lema! For sure this is a kind of MPs we need if we really want to move foward ...and not backward as we are doing now!
Tunangoja nini? Funga milango tuzichape! Hii ni sababu tosha kwa wale wafia nchi kujitoa. Hivi hakuna anayeona umuhimu wa kukataa huu usaliti.
Hapa hakuna UDINI wala Ukabila wala UCCM/UCDM Nchi inauzwa! Hii si mali ya chama cha siasa ni yetu wote.
Where are the CSOs who can Civilise this Govt and its cheap leaders???!!!
 
nendeni mkoa wa iringa hasa wilaya ya mufindi muone jinsi wageni wanavyopata ardhi bure kwa mikataba ya miaka 99......juzi nimefika wilaya mpya ya kilolo na kukutana na fibre optic cable imechimbwa kuelekea kijijini kwenye eneo lilizo wazi porini na imeachwa hapo...kuulza naambiwa kuna uwekezaji mkubwa wa mashamba unakuja so miundo mbinu ya mawasiliano ndo inaandaliwa.......wakati wilayan hakuna hata mfumo wa komputa....

hiki kitu kipo tena sana na kuna wawekezaji wakubwa wanachukua ardhi kwa mikataba hiyo ya 99yrs lease........
 
Ivi wakiwekeza ivyo hiyo inamaanisha kuwa asilimia 75 ya watz watakuwa hawana. ajira,kwahiyo we cant compete with em,eg power tillers compared with thoz sosphicated machines..kwahiyo tutakufa na umaskini wetu.coz kesho inatengenezwa na matendo mazuri ya leo..viongoz wote washindwe,walegeo,wanyong'onyee,wakose nguvu na watoke kwenye nchi yetu
 
Maskini Tanzania! Hivi wakati mnawafungulia milango mabepari mlitegemea waje na kitu gani tofauti na haya?
 
Hii ni nzuri sana!

Modern farming comes to Tanzania at last.

* more food
* employment for rural workers
* opportnity for Tanzanian's to learn how it is done
* real agricultural research, as opposed to pathetic reserach currently done
* industries will spin off to process the output of these farms

Tunahitaji waje wengi zaidi.

Una mawazo kama Ki-Kwe-te
 
Acheni ushamba nyie msiokuwa na shukurani ya kulimiwa chakula. Wewe hujui kuwa nchi mpaka leo ina ardhi kubwa lakini hatujui kulima? Sasa huyu mmarekani akija kulima ili wewe na watoto wenu muwe na vyakula vingi kuna kosa gani? Acgeni kasumba ya nyerere ya kukaataa ma investors kwa kisingizio cha unyonyaji.
 
wewe kweli ni TANGO tena la mwaka 73!
 
Una mawazo kama Ki-Kwe-te

Ni kawaida kuwa mwenye nacho haelewi asiyekuwa nacho. Wewe una ajira yako inayokupa hata kompyuta yenye internet uweze ku-chat JF, ukitoka hapo unapanda gari lako na kurudi nyumbani ambako utakuta housgero amekupikia machakula ya mboga nne.

Hauwezi ukamuelewa kijana aliye kijijini, asiye kuwa na ajira, na ambaye anakula uyoga mara moja kwa siku. haya mashamba makubwa yatawapatia hawa vijana kazi - hayajilimi yenyewe.

Kwani kuna sifa gani kwa ardhi kubaki pori na huku tunatembeza bakuli la kuomba chakula cha msaada nje?

Kwa hili namuunga mkono JK 100%
 
mwaka wa 4 mie mzawa sijapata hiyo lease ya kijishamba changu cha eka 10, wageni hata wakitaka kununua kisiwa, yani wanapewa lease kabla ya hata huo mradi kuanza, halafu haya maswala ya kuwapa wageni ardhi ninasema yatakuja kututokea puani, hicho wanachukuja kulima si kwa ajili ya kujilisha wao, wawakilishi wetu bungeni nawaombeni embu livalieni njuga hili swali la wageni kupewa ardhi, ni bomu kubwa sana hapo baadae.
 
Ni kawaida kuwa mwenye nacho haelewi asiyekuwa nacho. Wewe una ajira yako inayokupa hata kompyuta yenye internet uweze ku-chat JF, ukitoka hapo unapanda gari lako na kurudi nyumbani ambako utakuta housgero amekupikia machakula ya mboga nne.

Hauwezi ukamuelewa kijana aliye kijijini, asiye kuwa na ajira, na ambaye anakula uyoga mara moja kwa siku. haya mashamba makubwa yatawapatia hawa vijana kazi - hayajilimi yenyewe.

Kwani kuna sifa gani kwa ardhi kubaki pori na huku tunatembeza bakuli la kuomba chakula cha msaada nje?

Kwa hili namuunga mkono JK 100%

Ndugu, kwenye red hapo. Hilo swali iulizwe CCM
 
It is sad that today's Tanzania is being run as if it were a country just out of the anarchy of war.
A lot of strange goings-on that no-one comes out in the open to tackle.... and the few that do end up being discredited by our own government infront of the common mwananchi
 
Ndugu, kwenye red hapo. Hilo swali iulizwe CCM

Ulitegemea CCM iende ikalime shamba la ekari 800,000? Au serikali labda?

Si chama wala serikali inayoweza kufanya biashara. Huko ni kujidanganya tu, na kubebeshana lawama ambapo apastahili. Biashara endelevu ni sharti ifanywe na watu binafsi.

Sasa jiulize, katika miaka hii 50, kuna mfanyabiashara gani mzawa aliyeweza kusimamisha mradi wa maana? Sana sana utawahesabu wachache sana. Na katika mashamba ndiyo hakuna kabisa, na wala hakuna dalili ya kutokea mtu wakuweza kufanya modern farming. Labda Mohammed Enterprise namuona kwenye katani. Jamani, Tanzania tunalishwa na peasants, hakuna farmers.

Tusipinge kila mwekezaji anayekuja kwa kisingizio cha nchi imeuzwa. wawekezaji wapo duniani kote, hata wewe leo ukipenda, nenda Texas utaweza kununua Ranch ya n'gombe 10,000 kama pesa ipo.
 
Back
Top Bottom