Soma hapa: Ujue kwamba nchi imepigwa bei

Mambo bado kabisa....watu wanaendelea kula nchi tu, fuatilieni suala la kuhamishwa kwa wakimbizi huko katavi na matumizi ya ardhi hiyo baada ya wakimbizi kuondoka, mauzo mengine makubwa ya nchi
 
….and after acquiring those skills, there will be no land for cultivation as will all be taken by foreigners!

We shall learn the techniques of how 2 run agriculture in 21 centrury only if we give hectors of land for nearly a century!shame.
 


Question here is: who should have powers to give 800,000 hectares to a foreigner under a 99-year lease????
[/h]

Binafsi sioni shida kabisa hapo. kama kuna ardhi ipo ambayo haitaleta mgororo na kama otuput yao itatumika Tanzania na hata kuuza nje.

Tatizo sio hiyo 99 Year lease. Hizo term za 99 mbona za kawada tu. Kinachtakiwa ziende na masharti sahihi. Hiyo ndio challenge kwa Tanzania
 
Mama pritoni oh sory mama krintoni alikuja kukagua shamba la karoti kweli kule bagamoyo?au alikuja kuangalia hivyo vijihekta vya shamba kwa ajili ya uwekezaji mdogo wa EPZ?

Wamepitisha sheria ya msamaha wa kodi kwa miaka kumi,jamani!!uwekezaji wa miaka 99!!!then wanaanda sherehe ya kuikumbuka TANU kwa ukombozi wa nchi, nchi ipi iliyokombolewa? richmond, dowans, symbioni, meremeta, na sasa hao wamarekani.
 
the remaining thing to be sold in our beloved country is ourselves!!!!
Ourselves have been sold too, just make a little analysis on the situation. Colonialists returning in the name of investors and with the help of our rulers. No difference btn jk and chief mangungo. Mangungo is even better for he was not formally educated.
 
This is tz, few pple benefits out of many! jk's safaris got/gets investors to take our land! as far as they're drivers none will stop em not to give that huge tract of land!
 
Kuna uwezekana mkubwa pakawa na matatizo ya umakini may be we have to be out of mind Ili kuepuka matatizo hayo na ukosefu wa maadili
 
Napenda kujua ya kwamba isue hii itafika bungeni ama la? kama itafika basi naomba wabunge haikatae kwa nguvu zote na wakishindwa basi people s power itatumika . hilo ni eneo kubwa sana kupewa muwekazaji mmoja
 
Haya makampuni ya kigeni kwenye kilimo nayo yanakuja kuchuma raslimali zetu bure bure ingawa wanaingia kwa gia ya kuwasaidia waTZ kujitosheleza kwa chakula.

Mfano ni kampuni moja ya kigeni ya kilimo kule Arusha ambayo inapata msamaha kwa dhana zote za kilimo wanazoagiza kutoka nje, lakini ktk zana zinazogizwa, za kilimo zinawekwa kiushahidi tu, badala yake zinajaa spare za magari mengine yasiyo ya kilimo kama Toyota, mazda, prado etc. na hivyo kukwepa ushuru mkubwa sana.

Hakuna sehemu tunaibiwa kama kwenye mikataba na kampuni za kigeni, wageni wanajua jinsi viongozi wetu walivyo-corrupt.
 
Kiasi hiki cha ardhi ni tone la maji baharini wa TZ tusihofie kitu,mbona Marekani kwenyewe kuna mashamba ya raia wa Uingereza mbaya itakuwa kama hicho chakula watakachozalisha watauza nje ya nchi,kwa kuwa mifano mibovu tunaijua hilo halina shaka,mifano hai ni Zimbabwe,Ethiopia hata TZ enzi zile 1967 Mwl. Nyerere akaamua kutaifisha mashamba na nyumba zote.Mafisadi wa enzi hizo.
 
Sasa watanzania tunamtaka nani?? Angalau basi hata huyu haji kuchukua bali kuwekeza tofauti na kina Barick na wenzake..., kitu serikali inapaswa kuwa makini ni mikataba yetu katika uwekezaji ndani ya nchi yetu, mkulima ni bora kwakuwa mkulima hataacha mahandaki kama wachimba madini. Uchimbaji wa uranium hatujui baada ya miaka kadhaa utaleta madhara ya namna gani kwa wananchi, lakini kilimo tutafaidika kwakuwa nchi itakuwa na chakula na pia itatuongezea uuzaji nje ya nchi.

Vipi kuhusu Barick na wachimba madini wengineo wenye mikataba ya miaka 50? Hebu wana jamvi tuliangalie hilo, tatizo letu hizo hectares 800,000 ndio zinatuchanganya lakini tuulizane hapa tu7 kwenye jamvi nani kafunga akili angalau ana hata hectares 100?? au tunataka zikae tu kwa manufaa ya vizazi vijavyo na huku twafa kwa njaa?

La msingi hapa isije kuwa wawekezaji hawa watataka kumilikishwa maeneo ambayo itabidi wazawa wahamishwe, ikibidi serikali iwapatie maeneo yale magumu kwakuwa wao wana teknolojia wataweza kuyabadilisha na kufaa kwa kilimo.
 
Na baada ya hapo watakuja na misemo ya mafanikio makubwa katika kuwatafuta wawekezaji.. Kwa miaka 99 ni mtego kama ile ya MKAPA na MWINYI.

Baada ya miaka 10 ukijagundua madhara yake na ukitaka kufuta mikataba hiyo ndipo watakudaifidia na kulifirisi Taifa zaidi. Waliokubaliana na kupitisha mikataba hiyo au watakao fanya hivyo ndio wenye kuwauza Watanzania..
 
duh! uchizi mtupu!!!!!!!!!!!!!!! wanashindwa kuwawezesha wananchi kulima kisasa, matokeo yake wanaiuza nci hivi hivi. ninapinga kwa nguvu zote mppango huu. ni matumaini yangu NGOs, wanasiasa makini, wasomi na 'cadre' mbalimbali za watanzania watapinga mpango wa aina hii. ccm walianza kuuza nchi kwa mwarabu yule wa loliondo.....baada ya kuona wananchi wametulia...sasa wanaendelea kuiuza.hatimaye nchi yote itakuwa chini ya wageni tena......ninalaani.
 
Swali muhimu ni kwanini sisi tunashindwa kulima mashamba yetu wenyewe tukajitoshereza kwa chakula,tukaacha omba omba toka kwa wafadhili?

Tuna kasoro gani au mapungufu yapi,tumeimba sana kilimo cha kufa na kupona, mvua za kwanza ni zakupandia, ukulima wa kisasa, Kilimo kwanza n.k.Kama ni laana imetoka wapi au tutoe tambiko?
 
[h=6]An article on a big US-based agri-business company which intends to invest heavily in Tanzania has appeared in some US newspapers, and picked by one of the English weeklies.

According to this article, which the local newspaper gave a screaming headline of ‘US investor set to acquire large chunks of land in Tan...zania’, the intention of t...he investor is to bring modern and sustainable agriculture to the country, so that even small holder farmers can learn techniques of the 21st century farming.

The land earmarked for the massive grain and livestock operation is not less than 800,000 hectares.

If things go as planned, the company will secure a 99-year lease of the extensive area “for the purpose of growing crops to be sold in the country, the rest of East Africa and other neighbour countries”.

Some of the experts and international NGOs specializing in Third World development trends are already sounding an alarm about land grabbing in some countries by foreigners, who take advantage of poverty and corruption in targeted regions to effect their mission.

Question here is: who should have powers to give 800,000 hectares to a foreigner under a 99-year lease????
[/h]
Dear man, anybody in the ruling circles can have such powers in this corrupt stricken country. I'll not be surprised if I hear that the piece of that bland has been leased already. Everything will be done secretly and our MPs will be informed later as usual.
 
Sawa welevu wametufunua macho juu ya huo ufukunyuku sasa what is the way forward!

Zito, Mnyika, Tundu na wengineo wenye uzalendo lifanyieni kazi hili hectare 800,000 si sawa na robo tatu ya ukubwa wa mkoa wa kilimanjaro ie 8000square km wakati eneo zima la mkoa ni 13209square km.

Kwa lugha nyingine ilo eneo watakalopewa ni mara tano ya size ya mkoa wa DSM(1590KM2 )
UUUUUUUUUUUUUUUUUUUUWI TUFWILE BHANDU BHA KYALA Alafu tupe source ya habari maana twaweza payuka apa kumbe ni tetesi
 
Back
Top Bottom