Solo Thang: Tuzidi kumuombea Chid Benz

Watafuta kiki wakina babu tale wameamua kumuacha jamaa. Walimtoa rehab baada ya mwezi huku msimamizi wa kituo alisema mwezi mmoja hautoshi walau akae hata miezi 6. Pole sana chidi benz, mkono mfururu yaani pahpahpah wamekaa!
wewe usiyetafuta kiki umemuweka rehab kwa muda gani?
 
Mimi nilishangaa sana kwa Muda aliokaa Rehab kwamba awe amepona. Na cha ajabu kuna vyombo vya Bahari vilishabikia sana kutangaza kwamba Chidi kapona wakati kiuhalisia huyu jamaa alikuwa bado Sanaa.. Hivi vyombo vya habari vinachangia sana kuwafikisha hawa jamaa hapo walipo kwa kuwapa puplicity ambayo inawaathiri kisaikolojia.
 
Rapa Solo Thang ameposti video akiwa na Rapa Chid Benz ambaye walikutana usiku na kuongea baadhi ya mambo, lakini kutokana na hali aliyokuwa nayo Chid Benz Solo Thang alisema hawezi kumuhukumu bali anastahili kuombewa tu.
Chid%20Benz%20.jpg

Rapa Chid Benz

Katika ujumbe ambao Solo Thang aliandika kwenye mtandao wake wa Instgram alisema hawezi kuhukumu na hata iweje bado Chid Benz ataendelea kuwa mdogo wake, rafiki yake na mtu wake wa karibu.

"Met with my Young brother Chid Benz last night almost cried, I dont judge, no matter what still my hommie, tumeongea sana, tuzidi kumuombea Mola" aliandika Solo Thang

Tazama video hii ikimuonyesha Rapa Chid Benz akiwa na Solo Thang

Hayo ndio maisha uliyochagua, kila la heri king Kong.
 
Kula sembe chidi, kula Sana sembe ikieezekana changanya Na Dona kabisa kaka
 
Ch
Rapa Solo Thang ameposti video akiwa na Rapa Chid Benz ambaye walikutana usiku na kuongea baadhi ya mambo, lakini kutokana na hali aliyokuwa nayo Chid Benz Solo Thang alisema hawezi kumuhukumu bali anastahili kuombewa tu.
Chid%20Benz%20.jpg

Rapa Chid Benz

Katika ujumbe ambao Solo Thang aliandika kwenye mtandao wake wa Instgram alisema hawezi kuhukumu na hata iweje bado Chid Benz ataendelea kuwa mdogo wake, rafiki yake na mtu wake wa karibu.

"Met with my Young brother Chid Benz last night almost cried, I dont judge, no matter what still my hommie, tumeongea sana, tuzidi kumuombea Mola" aliandika Solo Thang

Tazama video hii ikimuonyesha Rapa Chid Benz akiwa na Solo Thang

Chidiii..., "the dead man working" kula sembe kijana..
 
Aiseee yani huyu wamebaki kumzika tuu ana hali mabaya sana na wanao weza kumsaidia kwa sasa ni ndugu zake tuu,....
Tafadhari SHILO kwa Prophet Frank akaombewe.Dar
Boko Magengeni.
Yupo pale hadi
31st Dec 2016.
Maisha ni yakwake anatakiwa kujihurumia.
Shalom.
 
Tatizo kubwa la ndugu yetu RASHIDI MAKWILO ni ujuaji uliopitiliza kifupi unaweza kusema ni sikio la kufa kaka zake dada zake wa dogo zake mama zake baba zake washikaji familia wameongea nae sna hataki kubadilika hizo REHAB ndio usisema amepelekwa km mara 10 hv hkn mabadiliko nafikiri tumpe nafasi hayo ndio maisha aliochangua kuishi
 
Hauna kilio msiba wa kujitakia,dunia nzima inapinga madawa ya kulevya,hakuna mahali duniani pote wanaporuhusu madawa ya kulevya,kwa hiyo ukitumia ujue lazima upate laana,hatuwezi kumuombea mtu wa hivo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom