Solar systems original kutoka ujerumani

Solar systems original kutoka ujerumani

Status
Not open for further replies.

netein

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2019
Posts
281
Reaction score
480
Kwa mahitaji ya accessories za solar kama water pumps, solar heaters, street lights, outdoor lights, garden lights na items zote za solar orijino kutoka ujerumani pamoja na ufundi wasiliana nasi NETEIN GERMANY SOLAR SOLUTION...

Email neteinsolarsolution@hotmail.com...mobile 0754485617...0718916971
IMG-20191015-WA0028.jpeg
IMG-20191015-WA0024.jpeg
IMG-20191015-WA0028.jpeg
IMG-20191015-WA0026.jpeg
IMG-20191015-WA0022.jpeg
IMG-20191015-WA0016.jpeg
IMG-20191015-WA0012.jpeg
IMG-20191015-WA0011.jpeg
IMG-20191015-WA0013.jpeg
 
Hiyo namba 0754485617 nimetaka kui save imetoka ya mtu anaitwa Issa, Kumbe nilikuwa nayo kwenye simu yangu.

Kuweni nao makini sana. Mengi ni uongo mtupu. Sollar zao za Kichina siyo Ujerumani na ukiwapa order vitu vingine wananunua Kariakoo.

Najuta nilinunua solar system kutoka kwao wakaniletea kila kitu cha kichina tena quality mbovu kabisa.
 
Hiyo namba nimetaka kui save imetoka ya mtu anaitwa Issa, Kumbe nilikuwa nayo kwenye simu yangu.

Kuweni nao makini sana. Mengi ni uongo mtupu. Sollar zao za Kichina siyo Ujerumani na ukiwapa order vitu vingine wananunua Kariakoo.

Najuta nilinunua solar system kutoka kwao wakaniletea kila kitu cha kichina tena quality mbovu kabisa.
Pole Sana Kiongozi Kwa Yaliyokukuta
Bahati Ni Kuwa Wanaleta Matangazo Wakijua Wameshaharibu Biashara Yao, Uongo Wa Kuaminisha Umma Vifaa Vya Germany Kumbe China

Nakushukuru Sana Wengi Sana Watu Watawaepuka Hawa Wajanja Wa Kariakoo
 
ukichafua biashara ya mtanzania mwenzako anayepambana kujikwamua kutoka kwenye umaskini inakuongezea nini kwa mfano....sisi tunauza vitu orijino kutoka ujerumani na tuna ubia na kampuni ya Doch toka ujerumani...wasiliana nasi...njoo ofisin kwetu mbezi kama unataka kuprove nnachokieleza...karibu
Hiyo namba 0754485617 nimetaka kui save imetoka ya mtu anaitwa Issa, Kumbe nilikuwa nayo kwenye simu yangu.

Kuweni nao makini sana. Mengi ni uongo mtupu. Sollar zao za Kichina siyo Ujerumani na ukiwapa order vitu vingine wananunua Kariakoo.

Najuta nilinunua solar system kutoka kwao wakaniletea kila kitu cha kichina tena quality mbovu kabisa.
IMG_20191016_103333.jpeg
 
hiyo namba umekosea kuisave haiji jina hilo...angalia kwa umakiniribiane biashara jaman
Hiyo namba 0754485617 nimetaka kui save imetoka ya mtu anaitwa Issa, Kumbe nilikuwa nayo kwenye simu yangu.

Kuweni nao makini sana. Mengi ni uongo mtupu. Sollar zao za Kichina siyo Ujerumani na ukiwapa order vitu vingine wananunua Kariakoo.

Najuta nilinunua solar system kutoka kwao wakaniletea kila kitu cha kichina tena quality mbovu kabisa.
 
Pole Sana Kiongozi Kwa Yaliyokukuta
Bahati Ni Kuwa Wanaleta Matangazo Wakijua Wameshaharibu Biashara Yao, Uongo Wa Kuaminisha Umma Vifaa Vya Germany Kumbe China

Nakushukuru Sana Wengi Sana Watu Watawaepuka Hawa Wajanja Wa Kariakoo
mkuu matapeli wapo kila sehem...wasiliana nasi njoo ofisin kwetu uprove kabla ya kuhukum
 
ukichafua biashara ya mtanzania mwenzako anayepambana kujikwamua kutoka kwenye umaskini inakuongezea nini kwa mfano....sisi tunauza vitu orijino kutoka ujerumani na tuna ubia na kampuni ya Doch toka ujerumani...wasiliana nasi...njoo ofisin kwetu mbezi kama unataka kuprove nnachokieleza...karibuView attachment 1234883
Sina sababu ya kuharibu biashara ya yeyote na sina sababu ya kuzua.

Nami nipo kulinda maslahi ya wengine.

Pitia jukwaa la matangazo ya biashara au uliza kama nimewahi kuharibu biashara ya yeyote humu.

Naandika yaliyonikuta.
 
hiyo namba umekosea kuisave haiji jina hilo...angalia kwa umakiniribiane biashara jaman
Duh! Labda aliyenipa hiyo namba alinipa jina silo lake. Imetoka jina Issa na huwa si save namba kama sina kazi nayo.

Kama mmemuajiri huyo mtu mwenye namba hiyo basi muelewe kuwa hawafai.

Kama namba ni yako wewe basi jitambue.

Siwezi kuzua.
 
Sina sababu ya kuharibu biashara ya yeyote na sina sababu ya kuzua.

Nami nipo kulinda maslahi ya wengine.

Pitia jukwaa la matangazo ya biashara au uliza kama nimewahi kuharibu biashara ya yeyote humu.

Naandika yaliyonikuta.
sasa kwanini upotoshe kuwa hiyo namba unayo kwenye phone book yako inasoma Issa wakati siyo!? namba hii haisomi Issa....kwanini mistakes zako zinihukum mimi...!?
 
Issa hatumjui kwenye kampuni yetu...na hapa kwenye constants zetu hamna namba yenye jina la Issa
Duh! Labda aliyenipa hiyo namba alinipa jina silo lake. Imetoka jina Issa na huwa si save namba kama sina kazi nayo.

Kama mmemuajiri huyo mtu mwenye namba hiyo basu muelewe kuwa hawafai.

Kama namba ni yako wewe basi jitambue.

Siwezi kuzua.
 
Watz sasa ni wasomi ww hutak biashara yako wakuharibie tetea hoja yako with supportive evidence ya screenshot na namba yenyewe na jina lenyewe hapo ndio utaeleweka zaid ya hapo acheni kurushiana mipira

Tumeni screenshot

hiyo namba umekosea kuisave haiji jina hilo...angalia kwa umakiniribiane biashara jaman
 
samahan...naomba mtu yeyote aangalie kwenye mpesa na Tigo pesa kama kwenye hizo namba kuna namba inayosoma Issa kama Feiza anavyopotosha..
 
sasa kwanini upotoshe kuwa hiyo namba unayo kwenye phone book yako inasoma Issa wakati siyo!? namba hii haisomi Issa....kwanini mistakes zako zinihukum mimi...!?

Nani kasema mistake?

Kama hiyo namba siyo yenu na kama hamna mtu hapo kwenu anaitwa Issa basi elewa kuwa kuna mtu anadanganya anauza vifaa vya solar vya ujerumani na anatoa namba hiyo pia.

Kama kuna watu wanajihusisha na solar mnawauzia bidhaa zenu Kariakoo basi eleweni kuwa wanawaharibia.

Mtaa wa Msimbazi Kariakoo.
 
samahan...naomba mtu yeyote aangalie kwenye mpesa na Tigo pesa kama kwenye hizo namba kuna namba inayosoma Issa kama Feiza anavyopotosha..
Kwenye mpesa halitoki jina Issa. Na sijasema nimelipata kwenye mpesa. Nimesema nimechukua hiyo namba hapo juu nilipokuwa na i save kwenye simu yangu likatoka jina Issa kwa kuwa nilisha i save zamani. Kanisome tena.
 
Watz sasa ni wasomi ww hutak biashara yako wakuharibie tetea hoja yako with supportive evidence ya screenshot na namba yenyewe na jina lenyewe hapo ndio utaeleweka zaid ya hapo acheni kurushiana mipira

Tumeni screenshot
hiyo hapo mkuu
Screenshot_2019-10-16-11-25-07.jpeg
 
Duh! Labda aliyenipa hiyo namba alinipa jina silo lake. Imetoka jina Issa na huwa si save namba kama sina kazi nayo.

Kama mmemuajiri huyo mtu mwenye namba hiyo basu muelewe kuwa hawafai.

Kama namba ni yako wewe basi jitambue.

Siwezi kuzua.
Dah, kwa hiyo bi mkubwa umeshoboka tu fasta bila kuhakiki? Usikute Issa alikuja kwenye foni-buku yako na upepo wa kisulisuli sasa wewe unachanganya madesa.
 
Kwenye mpesa halitoki jina Issa. Na sijasema nimelipata kwenye mpesa. Nimesema nimechukua hiyo namba hapo juu nilipokuwa na i save kwenye simu yangu likatoka jina Issa kwa kuwa nilisha i save zamani. Kanisome tena.
siku nyingine kuepuka matapeli wasiliana na mtu then fika ofisin kwake hakikisha unachokiamn....au tuma mtu unayemuamn akukagulie mzigo
 
ukichafua biashara ya mtanzania mwenzako anayepambana kujikwamua kutoka kwenye umaskini inakuongezea nini kwa mfano....sisi tunauza vitu orijino kutoka ujerumani na tuna ubia na kampuni ya Doch toka ujerumani...wasiliana nasi...njoo ofisin kwetu mbezi kama unataka kuprove nnachokieleza...karibuView attachment 1234883
Nimejaribu ku google jina ulilotoa kuwa mnashirikiana nao kutoka Ujerumani "Doch" sikuipata hiyo kampuni. Nilichopata ni kamusi tu ikieleza maana ya neno "Doch" linamaanisha nini.

Duh! Hata nilipotazama maana yake bado ina mashaka, jionee...

erman Summer Bootcamp again, you can find them under the "Work Out" section. Have fun and happy sweating 🙂

Show Menu

German is easy!
Skip to content

Word of the Day – “doch”
In this episode:
A fun explanation of the meanings and uses of "doch" and the core idea of the word. Yes, there is one. Of course as usual, with audio examples 🙂
190 Comments

picture of a unicorn claiming it exists
Hello everyone,
and welcome to our German Word of the Day. This time we will take a look at the meaning of:
doch
Doch
is one those words that give non-natives a really hard time. It has a million-and-no translations at the same time. It is even hard to formulate a single concept for it. Yet the Germans are all doch-in‘ it out, when they talk and there is never any confusing as to which doch is intended. Today I will try to boil down this shape-shifter to as few basic concepts as possible.

Source: https://yourdailygerman.com/meaning-of-doch/

Tusaidie tovuti yao.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom