Well, unaposema street lights, unamaanisha na mlingoti?njoo ofisin ushuhudie mzigo
mkuu ni u busy kiasi....typing error ni BOSCHView attachment 1234972
Hiyo namba 0754485617 nimetaka kui save imetoka ya mtu anaitwa Issa, Kumbe nilikuwa nayo kwenye simu yangu.
Kuweni nao makini sana. Mengi ni uongo mtupu. Sollar zao za Kichina siyo Ujerumani na ukiwapa order vitu vingine wananunua Kariakoo.
Najuta nilinunua solar system kutoka kwao wakaniletea kila kitu cha kichina tena quality mbovu kabisa.
sasa mkuu...mbona upo inferior sana...kama una wasiwasi njo ofisin utakuta details zote,...na solar zetu zenye logo ya DoschDoch imekuwa Bosch. Haya tuendelee...
Bosch ni mbia wenu basi nyinyi kampuni kubwa sana maana hiyo brand ina mambo mengi sana na si mchezo mchezo.
Au pia ulikosea kusema ni mbia wenu na mnanunua baadhi ya vitu vyao?
Bosch hii bosch?
Tuwache utani jamani.
Watu wawe na tahadhari tu. Unajuwa Tanzania hatuna "consumer protection" inayoeleweka ni kulindana wenyewe kwa wenyewe tu.bibi kashachomoa Betri[emoji16][emoji23]
Next time ukiwa unaandaa tangazo jitahidi kuwa serious, error kidogo tu watu washakua na mashaka na wewe. Siku zote jitahidi kupunguza maswali hasa negative questions kutoka kwa wateja unao taka wanunue bidhaa yako.mkuu ni u busy kiasi....typing error ni BOSCH
Nna AC mota ya pump yenye 3.5kW.sorry Bosch
Nna AC mota ya pump yenye 3.5kW.
1. Je nahitaji solar panel ngapi?
2. Inverted ya size gani na ipi unashauri ni nzruri kwa matumizi yangu?
3. Charger controller ya saizi gaini na ipi unashauri ni nzruri kwa matumizi yangu?
4. batter ya size gani na ngapi na ipi unashauri ni nzruri kwa matumizi yangu?
Inauzwa around pesa ngapi? Ni multiple LED?yap....na mlingoti mkuu
Nafahamu swali limekuwa gumu kwako na si rahisi kulijibu kwa kuwa uliouandika si ukweli.sasa mkuu...mbona upo inferior sana...kama una wasiwasi njo ofisin utakuta details zote,...na solar zetu zenye logo ya Dosch
Nafahamu swali limekuwa gumu kwako na si rahisi kulijibu kwa kuwa uliouandika si ukweli.
Jichunge tu, maana hao Bosch ku "advertise" brand yao kuchanganya na zingine kama ulivyofanya juu huko na kudanganya umma kuwa u mbia na wao wakiipata hii habari na kama hauna ruksa yao basi ujuwe namna ya kujihami tu. Natumai una ruksa yao.
Hao si kama watu wa Kariakoo. Kariakoo sana sana tutasema "tunamwachia Mungu".

Kwa mara ya kwanza natoa shukrani kwako, Ahsante mama.Hiyo namba 0754485617 nimetaka kui save imetoka ya mtu anaitwa Issa, Kumbe nilikuwa nayo kwenye simu yangu.
Kuweni nao makini sana. Mengi ni uongo mtupu. Sollar zao za Kichina siyo Ujerumani na ukiwapa order vitu vingine wananunua Kariakoo.
Najuta nilinunua solar system kutoka kwao wakaniletea kila kitu cha kichina tena quality mbovu kabisa.
Naomba kujua bei ya taa za fence na gharama za kufunga!yap....na mlingoti mkuu