Solar systems original kutoka ujerumani

Solar systems original kutoka ujerumani

Status
Not open for further replies.
Duh! Labda aliyenipa hiyo namba alinipa jina silo lake. Imetoka jina Issa na huwa si save namba kama sina kazi nayo.

Kama mmemuajiri huyo mtu mwenye namba hiyo basi muelewe kuwa hawafai.

Kama namba ni yako wewe basi jitambue.

Siwezi kuzua.
Mama, umetoa ushauri murua kabisa, kazi kwake mwenyewe kuyafanyia kazi mapungufu yake.
 
Nafahamu swali limekuwa gumu kwako na si rahisi kulijibu kwa kuwa uliouandika si ukweli.

Jichunge tu, maana hao Bosch ku "advertise" brand yao kuchanganya na zingine kama ulivyofanya juu huko na kudanganya umma kuwa u mbia na wao wakiipata hii habari na kama hauna ruksa yao basi ujuwe namna ya kujihami tu. Natumai una ruksa yao.

Hao si kama watu wa Kariakoo. Kariakoo sana sana tutasema "tunamwachia Mungu".
Mimi nime wa email nasubiri majibu ya Bosch wanielekeze kwa huyu mbia wa mbezi au nyerere road...

Kuakiki taarifa ni muhimu sana kwa protection ya mnunuzi...
 
umeshafanya pump test mkuu...kama tayari tupigie utupe details za kisima
Kila kitu kimeisha including pumps na kila kitu. Wewe nijibie hayo maswali kwa kuzingatia LOAD niliyo kupa. Kwa lugha rahisi hutakiwi ku design pump.
 
Solar ni OCEANIC tu haya matakataka mengine hamna kitu.

Hawa watu wanaojotangaza mitandaoni wengi ni matapeli huwa wanaenda kariakoo wanachukua mzigo kwa bei chee na ubora hafifu wanakuletea.

Mimi nikitaka kununua kitu naenda dukani mwenyewe wabongo wengi uaminifu sifuri.
Hiyo namba 0754485617 nimetaka kui save imetoka ya mtu anaitwa Issa, Kumbe nilikuwa nayo kwenye simu yangu.

Kuweni nao makini sana. Mengi ni uongo mtupu. Sollar zao za Kichina siyo Ujerumani na ukiwapa order vitu vingine wananunua Kariakoo.

Najuta nilinunua solar system kutoka kwao wakaniletea kila kitu cha kichina tena quality mbovu kabisa.
 
Naomba kujua bei ya taa za fence na gharama za kufunga!
taa za fensi laki 5 kwa taa 1....pamoja na gharama za kufunga....kama upo serious piga simu tukuelekeze zaidi au fika ofisin
 
Solar ni OCEANIC tu haya matakataka mengine hamna kitu.

Hawa watu wanaojotangaza mitandaoni wengi ni matapeli huwa wanaenda kariakoo wanachukua mzigo kwa bei chee na ubora hafifu wanakuletea.

Mimi nikitaka kununua kitu naenda dukani mwenyewe wabongo wengi uaminifu sifuri.
duh...maisha hayapo hivyo mkuu...
 
mkuu swali lako lina majibu yenye maelezo marefu....piga simu tukusaidie....au kama upo Dar njoo ofisin kwetu
Kila kitu kimeisha including pumps na kila kitu. Wewe nijibie hayo maswali kwa kuzingatia LOAD niliyo kupa. Kwa lugha rahisi hutakiwi ku design pump.
 
Kuna wajinga wengi sana hapa mjini wanaishi kwa utapeli hivyo ni lazima tuwe macho.

Pesa ya awamu hii kuipata ni ngumu sana halafu fala mmoja akutapeli kizembe kizembe haiwezekani.

Solar panel nzuri ni oceanic tu haya matakataka mengine tupa huko
duh...maisha hayapo hivyo mkuu...
 
jamani hii kampuni nmeshafanya nao biashara mara nyingi....siyo matapeli....ila Feiza anatahadharisha ni kweli watu wametapeliwa sana, point ya msingi ili msiingie mkenge wasilianeni nao fikeni ofisin kwao kwa usalama zaidi
 
Kuna wajinga wengi sana hapa mjini wanaishi kwa utapeli hivyo ni lazima tuwe macho.

Pesa ya awamu hii kuipata ni ngumu sana halafu fala mmoja akutapeli kizembe kizembe haiwezekani.

Solar panel nzuri ni oceanic tu haya matakataka mengine tupa huko
sasa si ungeanzisha uzi wa Tangazo lako mkuu....
 
Solar ni OCEANIC tu haya matakataka mengine hamna kitu.

Hawa watu wanaojotangaza mitandaoni wengi ni matapeli huwa wanaenda kariakoo wanachukua mzigo kwa bei chee na ubora hafifu wanakuletea.

Mimi nikitaka kununua kitu naenda dukani mwenyewe wabongo wengi uaminifu sifuri.
Hao oceanic wako wapi?
 
umeshafanya pump test mkuu...kama tayari tupigie utupe details za kisima
Si unaona jinsi ulivyo amateur? Wewe ndiyo mbia na Bosch? Mtu kishakuandikia ratings wewe unamuuliza kama kafanya pump test! Khaa.

Hebu acheni kudanganya watu.

Nyie tena isijekuwa hizo "Bosch" mnabandika sticker tu kuumiza watu.
 
Kwa hiyo wewe kila siku unafunga Solar hadi ufanye nao biashara mara nyingi au mmekuja kutuliza kasi ya mashambulizi
jamani hii kampuni nmeshafanya nao biashara mara nyingi....siyo matapeli....ila Feiza anatahadharisha ni kweli watu wametapeliwa sana, point ya msingi ili msiingie mkenge wasilianeni nao fikeni ofisin kwao kwa usalama zaidi
 
mkuu swali lako lina majibu yenye maelezo marefu....piga simu tukusaidie....au kama upo Dar njoo ofisin kwetu
Sasa mkuu hiyo ni part ya solar tu unasema yana maelezo marefu, je ulivyoomba "pump test" ningekupatia na kazi ya ku size pump si ingekua balaa? Atleast ungetoa kwa makadirio vinahitajika vitu hivi na hivi alafu umalizie kwa kusema nikutafute kwa full/detailed info atleast mtu anaona ana deal na professional supplier! badala yake umeishia kuniambia "...swali lako lina majibu yenye maelezo marefu"!

Anyways kila la heri mkuu!
 
boss kama upo serious piga contacts zipo hapo ...watanzania tunakwama wapi..dah!
 
Kwa hiyo wewe kila siku unafunga Solar hadi ufanye nao biashara mara nyingi au mmekuja kutuliza kasi ya mashambulizi
kama uelewa wenyewe ndiyo huu...bora magu atawale milele
 
samahan...naomba mtu yeyote aangalie kwenye mpesa na Tigo pesa kama kwenye hizo namba kuna namba inayosoma Issa kama Feiza anavyopotosha..
Mlimfanya kitu kibaya, bongo bwana ujanja ujanja, wizi, tamaa na uongo havitatuacha salama. Hesabu battery ishachomolewa mkuu...
 
Haya sasa unazidi kulikoroga Bosch imekuwa Dosch. Kijana unakwama wapi? Hebu nyoosha maelezo yako hili uondoe wasiwasi na mashaka kwa unawatangazia biashara yako.
sasa mkuu...mbona upo inferior sana...kama una wasiwasi njo ofisin utakuta details zote,...na solar zetu zenye logo ya Dosch
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom