Solar systems original kutoka ujerumani

Solar systems original kutoka ujerumani

Status
Not open for further replies.
Haya sasa unazidi kulikoroga Bosch imekuwa Dosch. Kijana unakwama wapi? Hebu nyoosha maelezo yako hili uondoe wasiwasi na mashaka kwa unawatangazia biashara yako.
mkuu errors tu hizo...nshaomba radhi...
 
Sasa mkuu hiyo ni part ya solar tu unasema yana maelezo marefu, je ulivyoomba "pump test" ningekupatia na kazi ya ku size pump si ingekua balaa? Atleast ungetoa kwa makadirio vinahitajika vitu hivi na hivi alafu umalizie kwa kusema nikutafute kwa full/detailed info atleast mtu anaona ana deal na professional supplier! badala yake umeishia kuniambia "...swali lako lina majibu yenye maelezo marefu"!

Anyways kila la heri mkuu!
wewe najua lengo lako ....kama una shida serious njoo ofisin..au piga simu tukusaidie
 
Hiyo namba 0754485617 nimetaka kui save imetoka ya mtu anaitwa Issa, Kumbe nilikuwa nayo kwenye simu yangu.

Kuweni nao makini sana. Mengi ni uongo mtupu. Sollar zao za Kichina siyo Ujerumani na ukiwapa order vitu vingine wananunua Kariakoo.

Najuta nilinunua solar system kutoka kwao wakaniletea kila kitu cha kichina tena quality mbovu kabisa.
Swadakta.
 
Haya sasa unazidi kulikoroga Bosch imekuwa Dosch. Kijana unakwama wapi? Hebu nyoosha maelezo yako hili uondoe wasiwasi na mashaka kwa unawatangazia biashara yako.
Ni makosa yanayo jirudia jirudia... Kama una fanya biashara ya brand kubwa ni ngumu kuisahau sahau kwa kweli...
 
Hiyo namba 0754485617 nimetaka kui save imetoka ya mtu anaitwa Issa, Kumbe nilikuwa nayo kwenye simu yangu.

Kuweni nao makini sana. Mengi ni uongo mtupu. Sollar zao za Kichina siyo Ujerumani na ukiwapa order vitu vingine wananunua Kariakoo.

Najuta nilinunua solar system kutoka kwao wakaniletea kila kitu cha kichina tena quality mbovu kabisa.
Asante kwa kutufumbua machoo
 
Asante kwa kutufumbua machoo
nasikitika sana unapotusema vibaya huku ukijua unachoongea si cha kweli,,hiyo system ya solar fake uliouziwa uliletewa nyumbani au ulichukulia dukani, kama ni dukani inamaana unawafahamu kwanini usiwachukulie hatua za kisheria kuliko kuwachafua watu ambao hujawahi kufanya nao biashara.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom