Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,190
- 128,243
na hapa ndipo tatizo letu lilipo kujitetea kusiko na mashiko tatizo hapa ni sera au kukosekana kwa vifaa?
swala ni vifaa kua vibovu sio sera alishikndwa nin huyo mkurugenzi kufanya ubunifu kihakikisha vifaa vinafanya kazi?
ameshindwa kazi aondoke utasemaje ww ni mkurugenzi wa hospitali wakati watu wanakufa hovyo tu bila sababu?
Tumia akili ndogo tu.
Kama hakuna sera ya afya inayowezesha Muhimbili et al kujitegemea kibajeti mtafukuza wakurugenzi kila baada ya wiki na hakuna marekebisho yatakayopatikana milele.
Tatizo hapa ni sera ya afya inayoweza kutatua tatizo la upungufu wa vifaa.
huyo mkurugenzi anayefanya kazi chini ya sera dhaifu akiwa mbunifu kwa kuwataka wagonjwa watoe pesa mtaanza kulia-lia kuwa mmeombwa rushwa.
Pombe na wewe tumieni akili.