Sokoine was not a hero, Salim was...

Sokoine was not a hero, Salim was...

Ila watanganyika sisi wakati mwingie ndio maana CCM inatufanya Gunia la Mazoezi....hebu nisaidiwe Magufuli kuna kipi cha maana amefanya....Kushtukiza kwenye taasisi za Serikali? au Barabara zinazoumuka alizojenga akiwa waziri?
 
Mkuu Sibonike nikushukuru sana kwa kusaidia thread isiharibike

tunaweza tusikubaliane kila kitu lakini angalau nikiri umesaidia watu kuona angle

siku zote tunapowasifia viongozi wa zamani tukumbuke 'wataigwa' na viongozi wa sasa
na kama kuna makosa 'yataigwa pia'

hivyo mijadala kama hii ni muhimu sana sana kuliko tunavyo fikiri

Ni kweli mijadala ya aina hii ni muhimu sana. Naamini kuna watu wengi wameelimika kwa mjadala huu.
 
Ila watanganyika sisi wakati mwingie ndio maana CCM inatufanya Gunia la Mazoezi....hebu nisaidiwe Magufuli kuna kipi cha maana amefanya....Kushtukiza kwenye taasisi za Serikali? au Barabara zinazoumuka alizojenga akiwa waziri?

mkuu mi hao kina sokoine sijui salim kwakwel sikuepo kipind chao....

ila kumfananisha magufuli na yeyote kati yao!? au kumwona km ni mtendaji mzuri kwakwel huwa nashindwa kuelewa aiseee

anyway ngoja tusiharibu thread ya mkuu The Boss ....sie tuendelee kujifunza!!
 
Last edited by a moderator:

Unajua nch hii kwa sasa ina OMBWE la UONGOZI so akitokea MTU yyt wanadhani huyo atawafaa...nahii CCM wamefanikiwa sana kuchezea Bongo za watanganyika kama sasa Nimeuliza hili swali nasubiri mwenye jibu anipe
 
mimi watu dizain ya mnyika, zzk, mbowe, mwigulu, makamba, na wafananao na hao I HATE THEM TO THE CORE.........

wanajiona km wana sifa za uongozi wkt what i see in them in UJANJA UJANJA TU.....

kwel nakubaliana na ww TANGANYIKA YES TANGANYIKA NOT ZANZIBAR TUNA OMBWE LA UONGOZI
 
Mkuu theboss umeleta mada iliyochangamsha sana mjadala kuhusu uongozi wa taifa hili. Lakini ili kufupisha hadithi yote hata kama wapo wengi wataudhika, ukweli ni kwamba taifa hili halijawahi KABISA kuwa ni kiongozi mwenye maono na utendaji wa dhati wa kuleta maendeleo endelevu zaidi ya kuhangaika kulinda maslahi na mitazamo yao binafsi. Kwa bahati mbaya sana, tunapojadili mwelekeo wa taifa ni ushabiki zaidi unaotawala na kuna watu wamegeuzwa wasiogusika tayari. Kama hujipendi, wakosoe hata positively.

Ukianzia na Nyerere alikuwa na msimamo rigid kabisa kuhusu sera alizoamini. Hakuwa tayari kukubali hata maboresho kidogo ya sera hizo. Na alikuwa amekamia kuhakikisha mfumo wa chama chake (TANU/CCM) unadhibiti kila nyanja zote za uendeshaji nchini kuanzia serikali kuu, serikali za mitaa, mashirika ya umma na hata vyama vya ushirika ilikuwa ni party supremacy tu. Kama hujapitishwa na chama with his endorsement hushiki uongozi popote hali iliyofanya watu wajenge taaluma ya kulamba viatu kuliko ujuzi mwingine wowote. Aliweza kuvumilia wezi kiasi fulani kuliko watu waliojaribu kuhoji misimamo yake ya kisera. Baadaye alikuja kukiri kosa kwenye kufa kwa mashirika ya umma na kudai collectively: "... hatukushughulikia ipasavyo suala la management". Kama vile hakujua alikuwa ametengeneza mfumo wa patronage ambao hauruhusu mameneja kuwa wabunifu na kutumia taaluma zao kikamilifu kwenye kazi.

Kuanzia hapo waliomfuatia wake wameendeleza mfumo wa party supremacy wakisaidiwa na madaraka makubwa ya rais (absolute power) kujifanyia watakavyo. Kipindi cha Mkapa watu walipata tumaini kidogo kwenye nyanja ya uchumi lakini naye alicho fanya ni kutimiza tu masharti ya IMF ya kuondosha non-performing assets toka kwenye umiliki wa serikali (uuzaji wa mashirika ya umma) na upunguzaji wa ruzuku (sera za kuchangia huduma). Hii iliipatia serikali mapato, kupunguza deni la taifa na kuruhusu mtiririko wa mikopo/misaada. LAKINI hakuwa na maono mbele ya hapo. Hakujali viwanda vilivyouzwa vitazalisha na kuongezeka.

Kwa kifupi yeye alipo-balance vitabu na kuweka akiba benki, hakujisumbua tena kuhusu uzalishaji utakuaje na kulinufaisha taifa kwa mtindo endelevu. Utekelezaji wa sera ya uwekezaji ukawa suala la dili za watendaji serikalini hata kama nchi hapati cha maana almuradi kwenye takwimu za World Bank uzalishaji unaoongezeka na GDP inapanda kwa kasi - one of Africa's fastest growing economies.

Sasa tunasubiri Magufuli aturejeshe kwenye vision stahili tuliyoikosa tangu uhuru. Let's maintain a good measure of optimism for our own health.
 
mkuu nikijikita ktk aya yako ya mwisho, unadhan MAGUFULI ana VISION yeyote ya kutupeleka mbele kama taifa??

ngoja tuendelee kuwa optimistic
 
Last edited by a moderator:
Lakini twendeni Mbele turudi nyuma ....kwa hali iliokuwapo kipindi kile Ambapo wakuu wa dunia walikuwa wakimpiga Nyerere vita ILI aachane na sera za ujamaa na kuingia kwenye mabadiliko ..hasa ya sera .....kwa kutumia WB na IMF ......unafikiri SOKOINE angekubali kufanya magaeuzi ya kiuchumi ????

Maana pamoja na yote lazima tumsifu Mwalimu kwa maono ...yeye alijuwa wazi kuwa sera za nchi zilizoendelea walikuwa na matatizo na sera zake kuliko yeye binafsi ..ndio maana akaamua kukaa pembeni ili mwingine ndio afanye ayo mabadiliko ....ni tofauti kabisa na viongozi wa sasa ambao wanatofautiana na nchi tajiri ...na kuona ushujaa kubaki madarakani huku raia zake wakikosa mahitaji muhimu kama sehemu ya vikwazo au hata kubidi kuingia vitani ..ambayo mwisho wa siku mnaipoteza kwa gharama ya damu
 
mkuu nikijikita ktk aya yako ya mwisho, unadhan MAGUFULI ana VISION yeyote ya kutupeleka mbele kama taifa??

ngoja tuendelee kuwa optimistic

Kitufe cha like hakipo; ningekupa. Mkuu, twende taratibu. Hilo swali ningeomba libaki lilivyo wakati huu tunapopitia kipindi kingine cha euphoria. Tusiharibu raha za watanzania wenzetu mapema kwa kujifanya wajuaji sana. Tuvute subra; tutalijibu kwa uhakika wakati muafaka.
 
Tumia akili ndogo tu.
Kama hakuna sera ya afya inayowezesha Muhimbili et al kujitegemea kibajeti mtafukuza wakurugenzi kila baada ya wiki na hakuna marekebisho yatakayopatikana milele.
Tatizo hapa ni sera ya afya inayoweza kutatua tatizo la upungufu wa vifaa.
huyo mkurugenzi anayefanya kazi chini ya sera dhaifu akiwa mbunifu kwa kuwataka wagonjwa watoe pesa mtaanza kulia-lia kuwa mmeombwa rushwa.

Pombe na wewe tumieni akili.
kwa hiyo ww hapo umetumia akili? acha longologno sisi tunataka utendaji sio sera sijui nini hamna excuse hapa fanya kazi

km unajua hamna sera inakuwezesha kufanya hiyo kazi unakubali uteuzi wa nini? au huwa wanalazimmishwa ?

wabongo kwa kujitetea hatujambo watu wanakufa unaona upo ofisini tu siujiuzulu?

halafu unajiita mkurugenzi wa hospitali
 
Kitufe cha like hakipo; ningekupa. Mkuu, twende taratibu. Hilo swali ningeomba libaki lilivyo wakati huu tunapopitia kipindi kingine cha euphoria. Tusiharibu raha za watanzania wenzetu mapema kwa kujifanya wajuaji sana. Tuvute subra; tutalijibu kwa uhakika wakati muafaka.

Tuko pamoja...hasa hapo ulipoandika tusiharibu RAHA za watanzania wenzetu.....
 
Umeandika kishabiki sana na mjadala wako haujabalance hata kidogo ukizingatia hawa watu unaowasifia na kuwaponda hawakutawala kipindi kimoja ambapo mwingie alikuwa kwenye post war crisis na mwingine akaja baadaye kitu ambacho hali za uchumi katika nyakati hizi mbili zilikuwa tofauti.

Unashadadia importation of goods and services huku unaua local production.

Unaongelea Dar as if ndiyo Tanzanai nzima walikuwa na shida za usafiri Dar ambazo hadi leo hazijawahi kuisha.l

Husemi habari ya ubaya wa kitu alichokuwa anapambana nacho sokoine cha kuzuia watu wachache kukusanay bidhaa ili wa create scarcity na kuwafanya Watanzania waliotoka vitani wazidi kudhoofika, na kama salimu alimaliza tatizo la ulanguzi wa bidhaa bila kuathri uzalishaji wa ndani na mgawanyo wa raslimali.

Wwe ni shabiki tu wala huna facts sahihi na huwezi kujalidi fairly.

Mleta mada nadhani hajui historia ndio maana anaandika asichokijua tumsamehe na tumtake arudi darasani mara moja ili asiendelee na huu upotoshaji ambao haubebi facts.
 
Kitufe cha like hakipo; ningekupa. Mkuu, twende taratibu. Hilo swali ningeomba libaki lilivyo wakati huu tunapopitia kipindi kingine cha euphoria. Tusiharibu raha za watanzania wenzetu mapema kwa kujifanya wajuaji sana. Tuvute subra; tutalijibu kwa uhakika wakati muafaka.

Hahaa haa mkuu nimejikuta nacheka sana nilipokusoma hapa..
ngoja tusubiri
 
Kwa hiyo wewe unamfananisha na nani?

Mimi nnaona hafanani na yeyote kwa utendaji kati ya uliowataja.

your Highness the excellence Madame Faizafoxy......

uchaguzi umekwisha, ni wakati mujarabu wa ajira za mitandaoni kufungwa...

mmejitahidi sana kutuharibia jukwaa letu muda mrefu, kuligeuza kuwa kujiwe cha kucheza mdumange na sio critical thinking....

sisi wenzio tumejikita kwenye deduction na induction za ni nini kifanyike kusongesha mbele taifa lililokwama topeni kwa zaidi ya miongo miwili...

kama umegundua hapa hakuna tena vijana wa bavicha na lumumba .... hata mitusi imepungua...

Raisi Dr Magufuli ametoa rai kuacha kuwa walalamikaji na kuwa wabunifu...

tunapapasa gizani tuone ni wapi tulipokosea??

haya kama wewe mwenzetu ukao karibu na mheshimiwa sana tuelekeze, gauge yake inasimama wapi kati ya utendaji wa vichwa hivi viwili......Sokoine na Salim???

kimajumuisho anahitaji gadget gani tofauti na walizotumia hawa??

kama huna jibu kaa kimya
 
Haka kaajuza ni kagumu kuelewa, kamejaa UDINI vibaya mno.
 
Kuna kitu kimejificha kwenye kumpaka matope Sokoine na kumpa credit SAS. Kwa leo tuishie hapo.

Attempt ya kwanza ilikuwa ni kumdiscredit Nyerere, kwa kisinghizio kuwa ni waislamu ndio waliokomboa nchi hii, ilishindwa vibaya. Hii ni mwendelezo wa kitu kama udini.

My view, Sokoine wa great at his time. Salim was as well great at his time. Kuwalinganisha hawa wawili ni kitu cha ajabu sana. malengo yake yako wazi.
 
Back
Top Bottom