Sokoine University of Agriculture (SUA) special Thread

Dr. A.J.P Tarimo , sijawahi kumuona mtu afe ila huyu huyu .
Mungu afanye kazi yake tu, Ili binafamu tuibariki.
 
Aliyekufa jana ni Prof. Amon Mattee, akifundisha Agricultural Extension, sijui siku hizi masomo yale yanaitwa vipi.
 
Habari wanasuaso Mimi ni mehitimu SUA kozi ya Bachelor of Environmental science and Management mwaka 2021. Naomba yoyote anisaidie niweze kupata kazi au mahali pa internship maana mtaani maisha sio poa..
 
Kwa sasa sifahama masomo anayofundisha, mimi kanifundisha miaka ya 2005 - 2007 na enzi hizo syllabus ilikuwa haijabadilika (ukicheki prospectus siku hizi degree programs zimeingiziwa masomo mapya mengi sana).

Enzi hizo alitufundisha course mbili: Principles of Agronomy & Crop physiology
 
Du! Mm crop physiology nilifundishwa na Dr Kimbi; na Dr Mrema kanifundisha Soil Chemistry. Inawezekana Tarimo alikuwa mnoko sana aisee, sio kwa kuchukiwa huko!
 
Hahahaaaa, soil chemistry pia nimefundishwa na Mrema (mzee wa kutembea ananesa ). Tarimo alikuwa mzuri sana na mimi sikuwahi ku-experience any hardship dhidi yake.
 
Anatembea kama vile anatoka nje ya darasa kumbe bado yupo ndani........hatari!! 🤣 😅 😂 :D
 
Back
Top Bottom