Sokoine University of Agriculture (SUA) special Thread

Sokoine University of Agriculture (SUA) special Thread

Unasomea kozi miaka 3 ukisota then unatafuta kazi maisha yako yote bila mafanikio
Wengi tulikuwa tunajaza kwenda SUA bila kujua tunakwenda kusoma nini (labda wale ambao tayari walikuwa na diploma). Halafu mtu anakomaa lazima atafute kazi (mfano) ya kilimo kama amepata degree hiyo wakati angeweza kutafuta options nyingine akaendelea na masomo ya juu.
 
Back
Top Bottom