Sokoine University of Agriculture (SUA) special Thread

Nashauri wizara ya Elimu iweze kuajiri walimu wa kilimo Tanzania nzima Chuo cha SUA kinatoa walimu wazuri wa kilimo lakini hawana ajira , Ni muda wa serikali kuwaajiri vijana kwa maslahi mapana ya nchi yetu (Agriculture is the backborn of our country)
Wale EGB ana EAB au?

Kama ni hao,rudia tena ulichoandika.

Kuna waalimu wa kilimo ila sio waalimu wazuri wa kilimo!

Usipotoshe,sua haina ubora huu kutoa waalimu bora kwa kozi yoyote.
 
Matofali na Kassim hao wako serious na kazi zao, na wanajulikana.

Njoo hapa EMC uone watu wanavyogawa pepa kwa malipo ya chupi.
Kumbe ile ripoti ya UKIMWI iliyotoka juzi inaweza kuwa ya kweli? Na kibaya zaidi huenda hawo wahadhiri wanaowavua chupi wanafunzi wanapiga miti kavu bila changa. Kwa hali hiyo tutarajie maradhi mengi ndani ya chuo.

Kuna lecturer mmoja alikuwa bingwa wa kuwavua chupi wanafunzi kama hana akili nzuri. Alipoenda kusoma huko Ulaya, wajanja nao wakawa wanajimegea mke wake. Alipogundua tu kuwa anamegewa, akarudi Tanzania haraka sana hata kabla hajahitimu. Ikabidi chuo kimpige chini baada ya kushindwa kuhitimu masomo na alikuwa analipiwa na chuo. Mkuki ni kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu.
 
Ni kweli siyo mazimbu tu, huku main kuna hii school of engineering yaani upuuzi mtupu, miundombinu mibovu, madarasa hayana system bora za umeme, system za maji vyooni ni poor, roofs za madarasa zinapitisha maji, njia ndani ya chuo zimejaa matope. I wonder chuo gani hiki?? Afu wanatumia hela kwenda kumuenzi marehemu sokoine siku nzima, wakati madarasa hayana hata taa jengo la utawala ni chafu yaani hapa hamna kitu
 
Hayo ndiyo mawazo ya uongozi wa SUA,ikifika mwezi wa 6 hela zinarudi hazina eti hazijatumika.

Chuo hiki kinauwawa kwa viongozi wake kutokujali elimu bali pesa zao na teuzi.

Huu ukweli wakiambiwa wanaunda zengwe.
 
Back
Top Bottom