Soko la Tegeta Nyuki lateketea kwa moto

Au ndio zile sinema za kutuhamisha raia tusifatilie kikao cha Zitto na waandishi wa habari kesho nini?
Mkuu Tanzania ina watu wanakaribia 60 M,wanaojua zito anafanya nini hawafiki hata 2M.So usifikir taifa zima linamuwaza Zito

Senti bai yuzingi tecno T301
 
Unaeza ukute sio hitilafu ya umeme, inawezekana kuna mtu alisahau kipande cha mkaa tu hakukiona, na upepo unavyokuwa unavuma sasa hivi!
 
Pole kwa wafanyabiashara wote mliofikwa na majanga.





NB: Tanzania hakuna kampuni inayotoa bima ya moto kwa wafanyabisashara wadogo na wa kati. Bima ni kwa biashara za mitaji ya 500m na zaidi, pia wanakuwa na vigezo viiiiiiiiiiiiiiingiiiiiiii. Acheni kudanganya watu. Na ukikata malipo utazungushwa mpaka uchanganyikiwe.
Mkisema BIMA tajeni na makampuni yanayotoa bima za moto kwa wafanyabiashara wadogo na kati.
 
Back
Top Bottom