Soko la Tegeta Nyuki lateketea kwa moto

Masoko nayo Yana history ya kuungua Sana.
Ila sirikali watajenga soko zur kabsa la kisasa
 
Aiseee poleni sana ni maumivu makubwa kwa wajasiliamali

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Usiku wa Manane huwa na mambo mengi sanaa
Wengine wana kufa na kuna wanaozaliwa.

Hasara iliyoje hii?
Mali iliyochumwa kwa miaka inaenda kuteketea ndani ya sekunde daah poleni sanaa mliofikwa na huo mkasa.

Ila hakuwepo hata nabii ambaye angetabiri hiyo Ajali?

Kuna haja kitengo cha maafa kiwe kinawapa hata kifuta machozi
Mungu awape nguvu Mana wakianza kutafakari unakuta mtu anakufa ghafla, kumbe amdbeba uchungu mwingi
 
watu wakate bima bima bima wajifunzege kwa mwanjelwa soko kuungua mara kadhaa
 
Usiku wa Manane huwa na mambo mengi sanaa
Wengine wana kufa na kuna wanaozaliwa.

Hasara iliyoje hii?
Mali iliyochumwa kwa miaka inaenda kuteketea ndani ya sekunde daah poleni sanaa mliofikwa na huo mkasa.

Ila hakuwepo hata nabii ambaye angetabiri hiyo Ajali?

Kuna haja kitengo cha maafa kiwe kinawapa hata kifuta machozi
Kitengo chenyewe kinakula mpaka rambirambi ndo kitoe chchote kuwafuta machozi ???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya masoko kuungua binafsi nina mashaka... ukiangalia historia, utasikia wengi walianza kuambiwa wapishe pajengwe upya lakini wengi waligoma....
Mpaka sasa
1. Soko la Songea liliungua likajengwa upya
2. Soko la Mwanjelwa liliungua likajengwa upya
3. Soko la Moshi liliungua likajengwa upya
4. Sasa Soko la Tegeta limeungua na litajengwa upya

Yapo masoko mengine pengine nimetasahau..
 
Back
Top Bottom